Application za mkopo HESLB

Hapo ndo hivo hivo ukiona hipo hivi Jua umekamilisha
Apo sawa mkuu na je Ile fomu tuliyoprint tunaituma kwa posta au tunabaki nayo maana nishascan zile page ya 2 na ya 5 nakutupia online Sasa Ile fomu ndo sijajua naituma au naombeni msaada apo?
 
Nimefanikiwa..jaribuni pia kutumia pia browser nyengine...inasaidia
 
Apo sawa mkuu na je Ile fomu tuliyoprint tunaituma kwa posta au tunabaki nayo maana nishascan zile page ya 2 na ya 5 nakutupia online Sasa Ile fomu ndo sijajua naituma au naombeni msaada apo?
Baki nayo kama ukumbusho mkuu mwaka huu atutumi posta
 
Kama picha yako ina ukubwa zaidi ya 1MB nenda playstore download image compressor app zipo nyingi chagua moja then jaribu kuipunguza size hiyo picha ikiwa tayari ushaiseti kwa 120px 150px
 
Kwahiyo na picha ya passport nayo inatakiwa kuwa pdf? Maana mimi picha ya passport ndio inasumbua sana
Picha inatakiwa JPG ikiwa na size 1MB na Vipimo 120px kwa 150px
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…