Application za mkopo HESLB

Application za mkopo HESLB

Attachments

  • Screenshot_20230820-110116.jpg
    Screenshot_20230820-110116.jpg
    30.5 KB · Views: 9
Nimefanikiwa..jaribuni pia kutumia pia browser nyengine...inasaidia
 
Apo sawa mkuu na je Ile fomu tuliyoprint tunaituma kwa posta au tunabaki nayo maana nishascan zile page ya 2 na ya 5 nakutupia online Sasa Ile fomu ndo sijajua naituma au naombeni msaada apo?
Baki nayo kama ukumbusho mkuu mwaka huu atutumi posta
 
Viongozi na vipi kuhusu picha jamani, maana picha pia mimi nashindwa kunifanya kuwa MB 1, naweza kuiweka kuwa 120 kwa 150 ila sasa kwenye size ya MB 1 ndio changamoto naomba msaada au application ya kunisaidia kufanya hivyo. Natangulisha shukrani zangu za dhati kwenu viongozi.
Kama picha yako ina ukubwa zaidi ya 1MB nenda playstore download image compressor app zipo nyingi chagua moja then jaribu kuipunguza size hiyo picha ikiwa tayari ushaiseti kwa 120px 150px
 
Back
Top Bottom