Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Hapo ndo hivo hivo ukiona hipo hivi Jua umekamilishaNaombeni kuuliza sehemu ya preview mbona haiji tiki ya kijani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo hivo hivo ukiona hipo hivi Jua umekamilishaNaombeni kuuliza sehemu ya preview mbona haiji tiki ya kijani
Afadhali umefika kwa mdhani.Guarantor umefanya lini? Mimi inazunguka tu...
Kwa uaminifu mkubwa huenda kwasababu tupo pembezoni mwa nchi kwa wenzetu mlio maeneo mazuri msaada tafadhaliGuarantor niliifanya toka last week haikusumbua kbs
Apo sawa mkuu na je Ile fomu tuliyoprint tunaituma kwa posta au tunabaki nayo maana nishascan zile page ya 2 na ya 5 nakutupia online Sasa Ile fomu ndo sijajua naituma au naombeni msaada apo?Hapo ndo hivo hivo ukiona hipo hivi Jua umekamilisha
Kwahyo kwako imegoma kabisa mkuu?Kwa uaminifu mkubwa huenda kwasababu tupo pembezoni mwa nchi kwa wenzetu mlio maeneo mazuri msaada tafadhali
Baki nayo kama ukumbusho mkuu mwaka huu atutumi postaApo sawa mkuu na je Ile fomu tuliyoprint tunaituma kwa posta au tunabaki nayo maana nishascan zile page ya 2 na ya 5 nakutupia online Sasa Ile fomu ndo sijajua naituma au naombeni msaada apo?
apo sawa mkuu ila nilkua nauliza isje ikawa inatumwa kwa email labda?Baki nayo kama ukumbusho mkuu mwaka huu atutumi posta
Imegoma kabisa.Kwahyo kwako imegoma kabisa mkuu?
Muongozo huuapo sawa mkuu ila nilkua nauliza isje ikawa inatumwa kwa email labda?
Kama picha yako ina ukubwa zaidi ya 1MB nenda playstore download image compressor app zipo nyingi chagua moja then jaribu kuipunguza size hiyo picha ikiwa tayari ushaiseti kwa 120px 150pxViongozi na vipi kuhusu picha jamani, maana picha pia mimi nashindwa kunifanya kuwa MB 1, naweza kuiweka kuwa 120 kwa 150 ila sasa kwenye size ya MB 1 ndio changamoto naomba msaada au application ya kunisaidia kufanya hivyo. Natangulisha shukrani zangu za dhati kwenu viongozi.
Tafuta Image reducer playstoreUmetumia application gani kuiweka picha kuwa na size ya MB moja?
Picha inatakiwa JPG ikiwa na size 1MB na Vipimo 120px kwa 150pxKwahiyo na picha ya passport nayo inatakiwa kuwa pdf? Maana mimi picha ya passport ndio inasumbua sana
Bila shaka mkuu 0752466957 whatsappKwa uaminifu mkubwa huenda kwasababu tupo pembezoni mwa nchi kwa wenzetu mlio maeneo mazuri msaada tafadhali
Sawa mkuu nitakuchekiBila shaka mkuu 0752466957 whatsapp
Haina shidaSawa mkuu nitakucheki
Preview inabaki bila rangi yoyoteNaombeni kuuliza sehemu ya preview mbona haiji tiki ya kijani
Mkuu ukishatuma zile form 2 page ya2 na ya 5 si ndo basiPreview inabaki bila rangi yoyote
Kwahiyo na picha ya passport nayo inatakiwa kuwa pdf? Maana mimi picha ya passport ndio inasumbu