App ipi kati ya hizo? Link hizo hapo.Nimejaribu ku-download inasema 'App Not Working," nikajaribu tena wananiambia 'App Not Supported." Nimekasirika narudi kulala.
Movie gani nzuri jamani ya kingono ngono nicheki hii mvua yetuBonus: MovieBox hii kwaajili ya movies na series.
Hii ina mpinzani wake kwa sasa anaitwa NetMirror ni noma sana, ni folk ya Netflix yaani unaweza kuhisi unatumia Netflix yenyewe.. ila kuna feature muhimu ambayo watu ndo wanaipenda ya kudownload natively ndiyo ina miss ila movies zote unazoona kwenye Netflix na Prime Video hii una stream free ni bando lako tu.. bado naona wanaifanyia maboresho time to time kuongeza features mpya..Bonus: MovieBox hii kwaajili ya movies na series.
Hizi apps zimekuja kuondoa gap la hizi kampuni kuhodhi upatikanaji wa movies kwenye platforms zao pekee mfano Netflix, Prime, Apple au Hulu.Hii ina mpinzani wake kwa sasa anaitwa NetMirror ni noma sana, ni folk ya Netflix yaani unaweza kuhisi unatumia Netflix yenyewe.. ila kuna feature muhimu ambayo watu ndo wanaipenda ya kudownload natively ndiyo ina miss ila movies zote unazoona kwenye Netflix na Prime Video hii una stream free ni bando lako tu.. bado naona wanaifanyia maboresho time to time kuongeza features mpya.
Mkuu stremio kwangu inafunguka lakin aiplay movies sjui ata shida ninKusambaa kwa internet kunabadilisha namna tunavyoishi na kufanya mambo, kwangu mimi imeondoa matumizi ya ving'amuzi(tv decoders) sasa natumia apps kuwatch kila kitu Tv channels, movies, michezo mbalimbali kwa gharama nafuu.
Hizi ni list ya Apps ninazotumia kwenye Android TV na Android phone.
1. Stremio - Hii kwaajili ya movies, Tv channels, una download add-ons kwaajili ya kuStream.
2. Criscfy - Hii kwaajili ya michezo (live matches zote) hii inafahamika zaidi.
3. Ministream - Hii ni kwaajili ya kuangalia channels zote za Azam Tv na Dstv.
Screenshots:
Stremio.
View attachment 3337745
View attachment 3337748
Cricfy
View attachment 3337749
View attachment 3337750
Ministream
View attachment 3337751
View attachment 3337752m
Hizi apps zimekuja kuondoa gap la hizi kampuni kuhodhi upatikanaji wa movies kwenye platforms zao pekee mfano Netflix, Prime, Apple