Apps za kuulizwa maswali na kulipwa pesa zipo kweli?

Apps za kuulizwa maswali na kulipwa pesa zipo kweli?

ukara

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
285
Reaction score
168
Natumaini nyote mmekuwa na siku njema. Niende moja kwa moja kwenye mada husika
Nimeuliza swali kama kweli zipo mfano wake ni zipi?
 
Zipo moja ni Geopoll
hawa wanakulipa mtindo wa vocha kila poll ni 200-220tsh kwa siku unaweza pata poll hata 3

Nilipata zaidi ya 60k tsh nilikuwa sinunui vocha.
Niliachana nayo nilivyouaga ujobless.
Na hizo unaweza kuzibadilisha kuwa katika mpesa au tigopesa au Airtel money?
 
Zipo moja ni Geopoll
hawa wanakulipa mtindo wa vocha kila poll ni 200-220tsh kwa siku unaweza pata poll hata 3

Nilipata zaidi ya 60k tsh nilikuwa sinunui vocha.
Niliachana nayo nilivyouaga ujobless.
Mkuu mpaka sasa hiyo bado ipo na unafanyaje ili kujiunga nayo
 
Mkuu ebu fafanua kidogo hapa inakuwaje
Kama wewe ni expert kwenye eneo lako........unaweza kupata calls za kutoa ushauri au maoni online ukawa unalipwa. Nafikiri zipo database zinazoorodhesha wataalamu wa maeneo mbalimbali na ikitokea wanakuhitaji kutoa ushauri wanakucheki.
 
Kuna njia nyingi za kulipwa online, kama una skill nzuri unaweza kwenda kwenye freelancing sites kama fiverr. Ama ukauza data zako kwa njia ya kujaza questionaire mtandaoni kama pale AfriSight na Geopoll.
 
Zipo moja ni Geopoll
hawa wanakulipa mtindo wa vocha kila poll ni 200-220tsh kwa siku unaweza pata poll hata 3

Nilipata zaidi ya 60k tsh nilikuwa sinunui vocha.
Niliachana nayo nilivyokwe

Zipo moja ni Geopoll
hawa wanakulipa mtindo wa vocha kila poll ni 200-220tsh kwa siku unaweza pata poll hata 3

Nilipata zaidi ya 60k tsh nilikuwa sinunui vocha.
Niliachana nayo nilivyouaga ujobless.
Mimi nnayo lakini sijuw jinsi ya kupat izo vocha
 
Geopol hawa wanalipa kwa vocha, premises wao wanalipa kwa vocha na pia mpesa
 
Geopol hawa wanalipa kwa vocha, premises wao wanalipa kwa vocha na pia mpesa
Hawa premises ni dar tu au atamkoani maana nilipokuwa huko ndo niliwafahidi ila huku mkoani hawana ata habari nami
 
Hawa premises ni dar tu au atamkoani maana nilipokuwa huko ndo niliwafahidi ila huku mkoani hawana ata habari nami
Nafkri hata mikoani.. sema wankuaga na hyo shida..wakikususa hupati kitu
 
Back
Top Bottom