Apps zinazohamasisha ushoga zifungiwe

Apps zinazohamasisha ushoga zifungiwe

Waupate wapi uwezo huo?

Mifumo ya TRA na TPA (bandari) wamesema haisomani, wamekiri imewashinda, Rais kakubali.

IT Systems za kwao wenyewe, za hapa hapa Bongo, wametangaza zimewashinda.

Sembuse ma IT Systems na ma software programs na ma VPN yako kwenye server za Ulaya huko, uzifungie, wewe m-bongo, kichwa fyongo, unaanzia wapi?
Uwezo wa kuzifunga au kuwakamata watumiaji upo.. ingawa ni maswala ya kiutaalam zaidi. Tataz hawatak ku outsource kwa watu private. Au waweke bounty hunting hapo waone show.
 
Zipo Apps mitandaoni zinahamasisha ushoga ambapo zinaunganisha watu walio eneo moja mfano Sinza.

Ukiingia humo dakika 10 nyingi mtu anakuja na Bodaboda ulipo huku anahema juu juu na unapata wa kufukua mapema asubuhi.

Wanachuo wanashinda humoView attachment 2729255View attachment 2729256
Utafunguia vingapi? Unalazimishwa mkuu kuiweka hiyo APP kwenye simu yako?
 
Hata JF baadhi ya member wanahamasisha hivyo ni bora ifutwe nayo😀😃😄
 
Dogo 0678 443431 Ni aibu Kwa familia yake
 
Back
Top Bottom