Apps zinazohamasisha ushoga zifungiwe

Apps zinazohamasisha ushoga zifungiwe

Zipo Apps mitandaoni zinahamasisha ushoga ambapo zinaunganisha watu walio eneo moja mfano Sinza.

Ukiingia humo dakika 10 nyingi mtu anakuja na Bodaboda ulipo huku anahema juu juu na unapata wa kufukua mapema asubuhi.

Wanachuo wanashinda humoView attachment 2729255View attachment 2729256
Wewe ndio unahamasisha ushoga, watu hatujui hizo apps ulizokuja kuzitangaza hapa.
 
Google 'LGBTQ+ Dating apps' zitakuletea
»Grindr
»Hornet
»Wapo
»Disco
»Blued
»GuysOnly
Na zingine

LG = Lesbians & Gay's

NB: LG ndio yule yule anaetajwa kwenye wimbo wa HONEY HONEY

LG
Aaah LG
Wewe ulishaleft group
 
Yaan ww utakua n shoga?? sasa ulikua unaingia kwene hizo app kufanyaje?? maana huko n mashoga wanakaa na kukutana??… kuna siku utajikuta umefokolewa maana najua hutaingia mara moja!!?

Curiosity killed a cat
Kufanya research, ili uweze kuongea kitu mbele za watu lazima ufanye tafiti...
 
Back
Top Bottom