Apps zinazohamasisha ushoga zifungiwe

Wewe ndio unahamasisha ushoga, watu hatujui hizo apps ulizokuja kuzitangaza hapa.
 
Google 'LGBTQ+ Dating apps' zitakuletea
»Grindr
»Hornet
»Wapo
»Disco
»Blued
»GuysOnly
Na zingine

LG = Lesbians & Gay's

NB: LG ndio yule yule anaetajwa kwenye wimbo wa HONEY HONEY

LG
Aaah LG
Wewe ulishaleft group
 
Yaan ww utakua n shoga?? sasa ulikua unaingia kwene hizo app kufanyaje?? maana huko n mashoga wanakaa na kukutana??… kuna siku utajikuta umefokolewa maana najua hutaingia mara moja!!?

Curiosity killed a cat
Kufanya research, ili uweze kuongea kitu mbele za watu lazima ufanye tafiti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…