April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

Huyu GT ana matatizo ya akili.....(hopeful)! MKUU NEXTY LEVEL CHUKUA JUKUMU LA KUMWOMBEA MTU KAMA HUYU MUNGU AMBADILISHE NIMMEMONITOR SIKU NYINGI ILA UNAVYOENDELEA KUMWAKIA NDIO MASHETAN YANAPANDA KUANDIKA UJINGA....POLEN WANDUGU

Tatatizo ni kula jani
 
Heshima Mbele,

Kutokana na amri ambayo imetolewa na serikali watu waondoke katika maghrofani naomba niulize yafuatayo

1.Kumbu kumbu zangu zinaonesha hapo Muhimbili hospital kuna baadhi ya sehemu kuna maghorofa, Je wafanyakazi na wagonjwa wameenda wapi?au madaktari na manesi wameondoka?

2.Huduma za mabenki zikoje hapo?karibia bank zote zipo kwenye maghorofa

Baada ya majibu ya maswali hayo ningependa kujua pia ni kwasabbu gani waziri alitoa maelekezo hayo yasiyo ya kitaalam na kuurupuka?

Nne,Nimepitia documents zangu na kufanya utafiti kidogo ni kuwa Mabomu siku zote huwa hayawi na bauti ,Je inakuwaje Bomu lilipuka wakati baruti na bomu huwa vinatengwa.

This time mie sitaki iundwe time..ichukuliwe hatu tu,tumechoka na tume kila siku na nasikia kuna tume imeundwa kuchunguza suala la ile tovuti(salva huyu)...
 
Ansubiri apewe majina ya tume,un adhani anaweza kuongea hivi hivi bila kuunda tume..Lazima afanye hivyo..

zamani kulikuwa na Lucas Siyame na alikuwa waziri wa majanga,hivi vyeo kama hivi still vipo au vilifutwa?
 

ndio ni milton mahanga alitoa hiyo
 

Na mimi niliye juu ya mwembe sijui Nchimbi atasema nini?
 
ansubiri apewe majina ya tume,un adhani anaweza kuongea hivi hivi bila kuunda tume..lazima afanye hivyo..

Zamani kulikuwa na lucas siyame na alikuwa waziri wa majanga,hivi vyeo kama hivi still vipo au vilifutwa?

je ikulu ingelipuka angesubili iundwe tume? Au tanzania ingevamiwa je angeunda tume ?

Hii ni dalili ya uongozi mbovu nchi yetu inavyoiendekeza tu kwa watu,

basi tanzania inaongozwa na tume na sio rais
 

Vipi hapa umeshatoka kuangalia maafa sasa unataka kuleta mada ya CAG; si kuna thread yake!!!???? Vipi wewe mbona umekuwa ndivyo/sivyo aisee... Uko kwenye dawa gani tukupe antidote yake!!!!????

Hata kama ni kweli baadhi watatumia mida hiyo kujivinjari, do you really want to be documented as unsympathetic, egocentric self centred JF member wakati huu wa msiba???
It is these comments and sentiments that sometimets make some people believe that a few members are stinkers and not thinkers!!! WEWE HUNA HATA NDUGU AU JAMAA ANAYEWEZA KUWA AMEATHIRIKA NA MLIPUKO??

RESPECT THOUGH... PROBABLY YOU HAVE A GOOD REASON TO TAKE IT EASY!!!!... BUT WHATEVER IT IS; ITS SO UNKIND OF YOU....-----
 
Nimeopokea taarifa(zisizo rasmi) kutoka huko kambini kwamba inaofiwa wanajeshi 28 wamepoteza maisha
 
Vipi hapa umeshatoka kuangalia maafa sasa unataka kuleta mada ya CAG; si kuna thread yake!!!???? Vipi wewe mbona umekuwa ndivyo/sivyo aisee... Uko kwenye dawa gani tukupe antidote yake!!!!????

HUYU SOLN APEWE DOPE!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ansubiri apewe majina ya tume,un adhani anaweza kuongea hivi hivi bila kuunda tume..Lazima afanye hivyo..

zamani kulikuwa na Lucas Siyame na alikuwa waziri wa majanga,hivi vyeo kama hivi still vipo au vilifutwa?

Sasa hivi hiyo ofisi hiko chini ya Ofisi ya waziri mkuu
 
Are they landmines or what is really happening in Dar? I hope it has nothing to do with a mutiny!!!!!!!!!
 
Inasikitisha kuona tanzania ni kama hakuna disaster management policy,kwani baada ya kutoka hiyo amri ya kushuka maghorofani mitaani hakuna hata askari wa kuwaelekeza wananchi safe points za kwenda wala paramedics wa kuhudumia wananchi in case of anything. Watu matokeo yake watu wamesambaa ovyo kila kona, foleni, watu hawajui kwa kuelekea matokeo yake kama linatokea jambo au bomu jingine la ghafla basi wananchi wengi wanakuwa katika hatari ya kufa bora hata wangebaki huko maghorofani.Halii hii ya kushughulikia mambo kwa zima moto imekuwa ikitucost sana,sijui wakuu wetu huko wanfanya nini?
 
Nimeopokea taarifa(zisizo rasmi) kutoka huko kambini kwamba inaofiwa wanajeshi 28 wamepoteza maisha

Si kweli, japo vipo vifo: Waliokufa hadi sasa ni digit moja. Yaani kati ya 1-9 wamkiwamo wanajeshi kati ya watatu na watano. Taarifa zinahakikiwa kwa kuwa baadhi ya watu walitaharuki na kukimbia wakiwamo askari ambao baadhi walipagawa. Ni hali ya kawaida kwa binadamu kwa kuwa hakukuwa na hali ya hatari na mtu anakutwa katika taharuki. Majeruhi ni wengi lakini takwimu hazijakamilika, wanaweza kuwa kati ya watu 5o hadi 100.

Jambo la HATARI ni kwamba sehemu kubwa ya mabomu yaliyoangukia mitaani hayajalipuka na hivyo kuweza kulipuka baadaye na kuleta madhara makubwa zaidi.

Mengine mengi baadaye.
 
Inakuwaje mabomu yanalipuka tu! What are the facts? What is the expected damage? How much can we control? is it possible to stop it? With all these going on, at the end of the day, people have to sleep and eat. Did the state has an open house or location to host victims? What are NGO's doing - any humanitarian approach!
 
mabenki na maofisi yote yalifungwa...........

mabomu yanalipuka kwa kuambukizana....yaliyo expire ndiyo yalianza kulipuka ...mlipuko uka catalyse milipuko inayoendelea ..hofu ni kuwa milipuko usifike kwenye bunker storage ..ambako kunakaa mabomu mazito zaidi!
 
Ndugu zetu Mkoje huko Dar, tupeni taarifa nyoyo zetu zimeturuka hatuwezi kula wala Kunywa ni msiba kwa Wanyonge
 
Ammo explodes at Tanzania dump site; deaths feared
By SUKHDEV CHHATBAR – 2 hours ago
ARUSHA, Tanzania (AP) - Huge blasts rocked an ammunition dump at an army camp in Tanzania's commercial capital on Wednesday, officials said.
Several people were feared dead, according to police spokesman Mohamed Mhina. The blasts lasted for about two hours and fires were still burning two hours after that, he said.
Local media reports said houses around the military base were on fire and several people had been injured. Local schools have called parents to come pick up their children. The blast rattled windows in houses 37 miles (60 kilometers) away, said resident Kate Esmail.
William Nchimbi, the deputy defense minister, said bombs, bullets and other ammunition exploded in an armory at the Bagala Army Camp in the coastal city of Dar es Salaam.
"We have formed a team to assess the source and the loss incurred," Nchimbi told journalists in the northeastern town of Arusha, where he was attending a regional leaders' meeting. He did not take any questions.
Ammunition dumps are volatile and easily ignited. The Bagala Army Camp is surrounded by civilian homes but is far from downtown Dar es Salaam.
Associated Press writer Tom Maliti in Nairobi, Kenya, contributed to this report.

The Associated Press: Ammo explodes at Tanzania dump site; deaths feared
 

Hatuna hata first responders kila kitu ni mzobe mzobe yani kazi za kimamoto zimamoto ndo zinazofanyika.
 
Jamani poleni sana, inasikitisha, nimeangalia picha kule GPL mmh

yapo mengi yanayosikitisha ila hili limenitouch sana kama mzazi
...mama huyu anaangua kilio baada ya kumpoteza mtoto wake mdogo wa MIEZI MINNE wakati wa hekaheka ya kukimbia milipuko ya mabomu!
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…