Kuna watu wamesma kuwa kwa nini naibu waziri atoetaaRifa na wakati wataalamu wa jeshi wapo.ningependa kuwaambia hio taarifa kwa uelewa wangu huwa hazitoki kichwani kwa waziri bali anatumiwa na jeshi kuitoa na yeye anakuwa na dhamana tu ya kuwasilishana kwa wananchi
Duh kwakweli nawapa pole waathirika wa hili janga la mabomu. Kwa maoni yangu there is a message in this 'issue', kwa tunaofuatilia mambo tutakumbuka last week kuna wanaJF walionya kwamba kuna jambo moja la hatari litatokea this week kwakuwa wafisadi walikuwa wanajipanga kuhusu ishu flani...haya sasa yameanza mabomu,sijui nini kitafuata. STAY TUNED!
Kuna watu wamesma kuwa kwa nini naibu waziri atoetaaRifa na wakati wataalamu wa jeshi wapo.ningependa kuwaambia hio taarifa kwa uelewa wangu huwa hazitoki kichwani kwa waziri bali anatumiwa na jeshi kuitoa na yeye anakuwa na dhamana tu ya kuwasilishana kwa wananchi
Nchimbi,
Ni wazi kuwa wananchi hivi sasa hawana imani na serikali ya JK hasa mawaziri wake na wengine wote walioteuliwa kiajabu ajabu bila sifa.
Kama taarifa ya waziri imetoka jeshini kwanini watofautiane? Waziri anasema mambo shwari,mnadhimu mkuu wa jeshi anasema kuna uwezekano wa kutokea milipuko zaidi tena ya kwenda mbali zaidi...
Mimi sioni tofauti ya habari hizo kwa maana ukiambiwa hali ni shwari haina maana kuwa hali imetengemaa.kwa kuwa ukweli ni kuwa shwari kwa maana kuwa hakuna mabomu yanayolipuka tena....lakini pia ujue kuwa hizi taarifa mbili yani za waziri na mnadhimu mkuu hazikuchukuliwa muda mmoja japo wamezitoa wakati mmoja na huu ni uzembe wa waandishi wetu.Hizi taarifa zilikuwa zimepishana muda wa masaa matatu.hivyo zote ni sahihi kwa wakati ziliotolewa ila moja sio sahihi kwa wakati zilipotangazwaKama taarifa ya waziri imetoka jeshini kwanini watofautiane? Waziri anasema mambo shwari,mnadhimu mkuu wa jeshi anasema kuna uwezekano wa kutokea milipuko zaidi tena ya kwenda mbali zaidi...
Mimi sioni tofauti ya habari hizo kwa maana ukiambiwa hali ni shwari haina maana kuwa hali imetengemaa.kwa kuwa ukweli ni kuwa shwari kwa maana kuwa hakuna mabomu yanayolipuka tena....lakini pia ujue kuwa hizi taarifa mbili yani za waziri na mnadhimu mkuu hazikuchukuliwa muda mmoja japo wamezitoa wakati mmoja na huu ni uzembe wa waandishi wetu.Hizi taarifa zilikuwa zimepishana muda wa masaa matatu.hivyo zote ni sahihi kwa wakati ziliotolewa ila moja sio sahihi kwa wakati zilipotangazwa
Kwanza hakuna mtu alieteuliwa kiajabu na wala hakuna mbunge wa ajabu kwa kuwa mawaziri wote ni wateule wa kutoka miongoni mwa wabunge ambao ni wawakilishi halali wa wananchi wa Tanzania...kama ni kweli wananchi wanashangaa uteuzi wa wabunge wao kuwa mawaziri basi ni wazi kuwa rais nae ana haki ya kuwashangaa hao wananchi kwa kumchagulia wabunge wasiofaa na hatimaye yeye kujikuta hana choice zaidi ya kuwateua haoNchimbi,
Ni wazi kuwa wananchi hivi sasa hawana imani na serikali ya JK hasa mawaziri wake na wengine wote walioteuliwa kiajabu ajabu bila sifa.
Kwanza hakuna mtu alieteuliwa kiajabu na wala hakuna mbunge wa ajabu kwa kuwa mawaziri wote ni wateule wa kutoka miongoni mwa wabunge ambao ni wawakilishi halali wa wananchi wa Tanzania...kama ni kweli wananchi wanashangaa uteuzi wa wabunge wao kuwa mawaziri basi ni wazi kuwa rais nae ana haki ya kuwashangaa hao wananchi kwa kumchagulia wabunge wasiofaa na hatimaye yeye kujikuta hana choice zaidi ya kuwateua hao
Nadhani hapa tunatoka nje ya mada lakini swala la kubandika qualification ni jambo lenye kuhitaji mjadala mrefu sana.Kwa kuwa nachojua mimi ni kuwa ata wahitimu wetu wa udsm kuna vyuo haviwakubali kwa masters kwa kuwa wanakiona chuo chetu bora kabisa ambacho ata mimi nimekisoma kuwa ni substandard.....wao nao wanasema kuwa ni za kubandika..proffessor wetu wa magonjwa ya moyo muhimbili aruhusiwi wala kumtibu mgonjwa wa BP india.Tena wachovu wenye kujibandika 'Qualifications' ambazo hawana!!!!
si kweliMkuu unajicontradict...
...taarifa ya Mnadhimu na waziri lakini kimsingi hizi taarifa mbili zilitoka kwa tofauti ya masaa 3
Ammo Explodes at Tanzania Dump Site, 3 Killed
By THE ASSOCIATED PRESS
Published: April 29, 2009
ARUSHA, Tanzania (AP) -- Huge explosions rocked an ammunition dump at an army camp in Tanzania's commercial capital Wednesday, killing three people and injuring more than 150, officials said.
Dr Sylvia Mamkwe, a doctor at Temeke Municipal, said it had received the three fatalities, and state-run Tanzania Broadcasting Corp., citing police on the site, gave the injury total.
Police spokesman Mohamed Mhina said the blasts lasted for about two hours and fires were still burning two hours after that. Local media reports said houses around the military base were on fire.
Local schools have called parents to come pick up their children. The blast rattled windows in houses 37 miles (60 kilometers) away, said resident Kate Esmail.
William Nchimbi, the deputy defense minister, said bombs, bullets and other ammunition exploded in an armory at the Bagala Army Camp in the coastal city of Dar es Salaam.
''We have formed a team to assess the source and the loss incurred,'' Nchimbi told journalists in the northeastern town of Arusha, where he was attending a regional leaders' meeting. He did not take any questions.
Ammunition dumps in Tanzania are volatile and easily ignited. The Bagala Army Camp is surrounded by civilian homes but is far from downtown Dar es Salaam.
kelele kwamba ni "Kikwete tu 2010"