Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Unamaana Malecela et al...kelele kwamba ni "Kikwete tu 2010"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaana Malecela et al...kelele kwamba ni "Kikwete tu 2010"
Unamaana Malecela et al...
Huge explosions rocked an ammunition dump at an army camp in Tanzania's commercial capital Wednesday, killing three people and injuring more than 150, officials said.
This type of unfortunate event has the effect of exposing our military capacity.
know it's not very patriotic and all that jazz to say this, and I will probably catch some backlash for this, it needs to be said.
Mpaka sasa sijasikia lolote kutoka kwa Amir Jeshi Mkuu ( Mh. Jakaya Mrisho Kikwete), sijasikia kutoka kwa mkuu wa Majeshi. Nimesikia kuna special team iliyoundwa na Jee imeundwa kuchunguza nini? Na ni muda gani italeta majibu? Jee majibu yatakwenda kwa raisi tuu kisha kama ilivyo ni mila na desturi yake kukaliaa report? Sijasikia kama kuna anybody kwenye uongozi amesha jiuzulu sababu ya hili.
Huu ni muda muafaka wa kuwajibishwa walio zembea, serikali inabidi ilipe fidia za losses zote zilizotokana na uzembe wao. Jakaya as a leader inabidi awe ameshaitishi prime time news conference kuelezea kwamba hali inaendelea vipi.
Hofu kuu!! Mabomu yalipuka ghala la JWTZ yatikisa Jiji la Dar es Salaam.
...Naye Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alikaririwa na redio akiwataka wananchi wasiende Mbagala kwa kuwa eneo hilo ni hatari. Akizungumza na Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC Taifa), Kamanda huyo pia aliwataka wananchi walioko huko wazime simu za mkononi kwa kuwa zinavuta mabomu...🙄
Hi ni kweli jamani au ndo uongo wa viongozi unaendelea. Hii inaniboa, maana hawa viongozi wetu utakuta wanajifanya sana. Kumbe ni mbumbumbu tu! Has this been proven scientifically? Simu zinavuta mabomu😕...hehehhee. Kichekesho hichi sasa.
Mkuu, serikali hii inatia aibu sana katika inaction yake. Tumwache huyo Amiri Mkuu wa Jeshi, labda alikuwa anatalii nje, lakini hata basi Makamu rais angetembelea wahanga hospitali, au waziri wa Ulinzi (siyo naibu) au waziri mkuu angetoa pole. Jana Pinda alionekana TBC akiwa amekaa mpaka saa 2 usiku katika bunge tupu akisikiliza miswaada!!! Inatia aibu sana. Kwanza Pinda angetakiwa aombe ruhusa mchana arudi mara moja, si tumeambiwa ile idara ya maafa iko chini ya ofisi yake. Sasa wote wanakuja na kisingizio eti wanasubiri kamati ilete majibu. Kamati? Kamati ndo itawaeleza wakatoe pole au la?
I have only one sentence to define what happened to these guys : THEY JUST DON'T CARE!
Mpaka sasa sijasikia lolote kutoka kwa Amir Jeshi Mkuu ( Mh. Jakaya Mrisho Kikwete), sijasikia kutoka kwa mkuu wa Majeshi. Nimesikia kuna special team iliyoundwa na Jee imeundwa kuchunguza nini? Na ni muda gani italeta majibu? Jee majibu yatakwenda kwa raisi tuu kisha kama ilivyo ni mila na desturi yake kukaliaa report? Sijasikia kama kuna anybody kwenye uongozi amesha jiuzulu sababu ya hili.
Huu ni muda muafaka wa kuwajibishwa walio zembea, serikali inabidi ilipe fidia za losses zote zilizotokana na uzembe wao. Jakaya as a leader inabidi awe ameshaitishi prime time news conference kuelezea kwamba hali inaendelea vipi.
Rais mwenyewe hafai,
Watu wame stoop low mpaka kum photoshop Salim katika a nasty propaganda campaign, kuna ustaarabu hapo?
?
Poleni sana wote mliopo Dar es salaam. Mshikamano kiwe kitu cha kwanza katika kukabiriana na hali hii ya kutisha![]()
Mbagala Jeshini