Brooklyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 1,459
- 286
JK anakuwa wapi yanapotokea majanga kama haya? Kuna nini Arusha cha muhimu kuzidi uhai wa wananchi wale ambao maisha yao na mali zao zinateketea huku yeye akinywa mvinyo pale Ngurdoto!! Mkuu jifunze kuact fast kwenye majanga kama haya, shauriana na wasaidizi wako husika na toa briefing kwa umma wa wadanganyika haraka bila kusubiri upate habari kamili (baada ya mwezi) na kuishia kusema wapa pole walalahoi wa tz kwenye hotuba zako za mwisho wa mwezi zisizo na tija!
Mbona tunawaona responsible prezidaz ulaya na kwingineko wanakatiza ziara zao majanga kama haya yanapotokea!! Natamani mabomu haya yangelipuka Oysterbay na Masaki pengine wake na watoto wa kina Rostam wangepelekewa magari na kuondolewa kwenye maeneo hayo!!
Sipati picha mkuu wa mkoa wa dsm (Lukuvi) kwenye taarifa ya habari ya Channel 10 anasema ati maafa ni kidogo tu na watu wengi waliopelekwa maospitalini wamepata mshtuko mdogo tu. Je anafahamu kwamba kuna watu kadhaa wamefariki na wengine wengi kupoteza viungo vyao? Achilia mbali mali zilizotekea na moto!!
Vp kuhusu compensation ya hasara zilizotokea? Nilifikiri cha haraka ni kuwatafutia makazi wale ambao nyumba zao zimeungua na kubomolewa na mabomu ili wapate angalau makazi ya muda na kuendelea na kazi zao za ujenzi wa taifa lakini waziri anaunda tume ili walipane per diem za laki tano kwa siku!!
Kweli CCM nambari one!!!!