April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

JK anakuwa wapi yanapotokea majanga kama haya? Kuna nini Arusha cha muhimu kuzidi uhai wa wananchi wale ambao maisha yao na mali zao zinateketea huku yeye akinywa mvinyo pale Ngurdoto!! Mkuu jifunze kuact fast kwenye majanga kama haya, shauriana na wasaidizi wako husika na toa briefing kwa umma wa wadanganyika haraka bila kusubiri upate habari kamili (baada ya mwezi) na kuishia kusema wapa pole walalahoi wa tz kwenye hotuba zako za mwisho wa mwezi zisizo na tija!

Mbona tunawaona responsible prezidaz ulaya na kwingineko wanakatiza ziara zao majanga kama haya yanapotokea!! Natamani mabomu haya yangelipuka Oysterbay na Masaki pengine wake na watoto wa kina Rostam wangepelekewa magari na kuondolewa kwenye maeneo hayo!!

Sipati picha mkuu wa mkoa wa dsm (Lukuvi) kwenye taarifa ya habari ya Channel 10 anasema ati maafa ni kidogo tu na watu wengi waliopelekwa maospitalini wamepata mshtuko mdogo tu. Je anafahamu kwamba kuna watu kadhaa wamefariki na wengine wengi kupoteza viungo vyao? Achilia mbali mali zilizotekea na moto!!

Vp kuhusu compensation ya hasara zilizotokea? Nilifikiri cha haraka ni kuwatafutia makazi wale ambao nyumba zao zimeungua na kubomolewa na mabomu ili wapate angalau makazi ya muda na kuendelea na kazi zao za ujenzi wa taifa lakini waziri anaunda tume ili walipane per diem za laki tano kwa siku!!

Kweli CCM nambari one!!!!
 
Nchi hii watu hawako serious kabisa, hivi toka lini kambi ya Jeshi ikawekwa karibu na makazi ya raia ambao sio wanajeshi? Kinachotakiwa JK awapige chini wote waliohusika na uzembe mkubwa kama huu kuanzia waziri hadi kwa mkuu wa hiyo kambi ya Mbagala.
 
Last edited:
shida ni kwamba siasa imetawala hadi ktk uhai wa raia.
ccm itavuna ilichopanda wakati wa uchaguzi ukifika.
 
Nchi wetu hawako serious kabisa, hivi toka lini kambi ya Jeshi ikawekwa karibu na makazi ya raia ambao sio wanajeshi? Kinachotakiwa JK awapige chini wote waliohusika na uzembe mkubwa kama huu kuanzia waziri hadi kwa mkuu wa hiyo kambi ya Mbagala.


Mkulima unachekesha kweli, wapigwe chini au wapandishwe vyeo kwa utumishi uliotukuka!!!!!!!!!!!! Dont expect anything JK is never serious though people loves and still have confidence with him. Lakini do not expect something like that from this guy. The whole system in the country messed and has to be overhauled.

By the way subiri uone.
 
nchi wetu hawako serious kabisa, hivi toka lini kambi ya jeshi ikawekwa karibu na makazi ya raia ambao sio wanajeshi? Kinachotakiwa jk awapige chini wote waliohusika na uzembe mkubwa kama huu kuanzia waziri hadi kwa mkuu wa hiyo kambi ya mbagala.


kati ya wanchi na kambi nani alimfuata mwenzake?????
 
Ukweli sifahani ni nani aliyemfuta mwenzake. Lakini either side kuwa ya kwanza kufika pele ni tatizo. Assume kuwa Jeshi ndio lilitangulia, ni Jukumu la serikali kuhakikisha kuwa wananchi hawajengi karibu na kambi ya Jeshi kwa sababu ya kuepuka majanga kama ilivyotokea jana.

Kwa upande wa pili kama Wananchi tayari walikuwa pale, ni undeshaji mbovu wa Serikali kuweka kambi ya Jeshi kwenye makazi ya raia ambao sio wanajeshi.
 
kwa wanaofahamu hiyo kambi iko jirani na makazi ya watu?


Kambi haipo jirani na makazi ya watu!! Ila watu ndiyo wapo jirani na kambi na wameizunguka pande zote ipo katikati !!! maana kambi ilikuwepo enzi na enzi mbagala ikiwa 25km from town centre
 
jamani nimepata habari mpya na ni confirmed kuwa mlinzi wa kike aliyekuwa ana fanya kazi KTM mbagala , bom limemkata shingo na kufariki na bado serikali inatuficha!!!!

mpaka lini watatudanganya ???????????? bora hata wale mafisadi maana hawauwi wananchi!!!
 
Kuna mtu yeyote anaweza kutupa taarifa kuna nini KINAENDELEA kule Mbagala Jeshini siku ya pili baada ya milipuko ya jana?

NI MUHIMU.
 

Mzee kuna muda unakaa na kusema kweli mnyonge ananyongwa na haki yake hapewi. Muda mwingine unaomba mola awapumzishe viongozi wetu kwa kutumia either Tsunami au something else. Maana they're failure from top to bottom.

Sasa Pinda ana washauri au? Wameshindwa kuona umuhimu wa kumdisperch yeye akaja hapo Dar, na kufanya news conference kuwaambia wananchi nini wanafanya so far. I will be very surprise kama 2010 tutawapa tena Njano na Kijani nafasi nyingine. They fucked up all the chances that poor Tanzanian gave to them.

CCM is a worse enermy, am sorry but they're the worse of the worse..... I disrespect the Chama and the people. Their unhuman, they don't care about anybody. They only worry for their own interest which is MONEY. Jakaya is on top of the list, corrupted and losers.

There are tons of reason why Vijana wanakimbia nchi na kusaka uraia wa nchi nyingine. Tanzania doesn't care about her people.

God Bless Tanzania.... I wish i could help more.
 
Kambi haipo jirani na makazi ya watu!! Ila watu ndiyo wapo jirani na kambi na wameizunguka pande zote ipo katikati !!! maana kambi ilikuwepo enzi na enzi mbagala ikiwa 25km from town centre


Sasa wewe ulitaka mji usikuwe? Namna gani wewe? Au mlitaka mji ukuwe kuelekea upande mmoja? Hujasoma geography jamani - on how cities/towns grow? Hapa kipi rahisi kuhama - jeshi au watu? Nadhani kuhamisha kambi ya jeshi ni rahisi zaidi ya watu. Furthermore, kama watasema hapo ilipo ni strategic position - i.e: karibu na maeneo nyeti nchini, basi kwa jinsi hiyo kambi iliyo karibu na watu isingetakiwa kuwa na silaha hatari namna hiyo. Wakaziweke Morogoro au Munduli.

On the otherside, Kama ni watu wamefuata jeshi, basi tatizo sio wananchi bali watu wagawao maeneo - town planners.
 
kati ya wanchi na kambi nani alimfuata mwenzake?????


wananchi always ndio walifuata kambi..wakati mwalimu anaunda JWTZ ...makambi yote yalikuwa mbali na wananchi..

katika hili zingatieni hukumu ya wananchi waliovamia WAZO cement...ambayo nayo ilijengwa miaka ya mwisho ya 60...na kutokana na uchafuzi uliotarajiwa ilijengwa mbali na wananchi ...siku wananchi waliovamia walipotaka kuondolewa walienda mahakamani...mahakama ya rufaa iliwakatalia rufaa yao kwa sababu kuu kuwa KIWANDA KILIKUWEPO KABLA YA WAO KUVAMIA PALE...KWA HIYO WAKAKOSA HAKI YA FIDIA YA NYUMBA AU YA UCHAFUZI WA HEWA......

TATIZO WATU WANAVAMIA HOVYO KWA KUWA HAKUNA VIWANJA..[MIAKA YA KATI ] ..SIKU HIZI VIPO VYA KUPIMA ILA GHALI...

WANANCHI WA MBAGALA UWEZEKANO WA KULIPWA FIDIA NI MDOGO...LABDA WENYE HATI WALIOHARIBIWA MALI...

ILA WALIOUMIA/KUFA WANASTAHILI FIDIA....
 
shida ni kwamba siasa imetawala hadi ktk uhai wa raia.
ccm itavuna ilichopanda wakati wa uchaguzi ukifika.
Sasa hivi watu wanasema hivyo kwa hasira, wakati ukifika hao hao wanaimba "nambari wani eeeeh...."
Ukiuliza, wamepewa tshirt na khanga. Ah!
 

This is from your point of view au? Serikali ilikuwa wapi ikawaacha watu wakajenga na kuishi? Why hawakuzuia mwanzoni na kuwaambia you can't build hapa? Jee kwa miada hiyo serikali inalinda wananchi wake na mali zao? au inajilinda na mafisadi wao?

People lost their homes, their family members, their belonging or other lost their body parts and your talking about wenye hati? How many people in Tanzania own hati? I will spare that argument next time, soma kitabu cha Fernando De Soto concern The mystry of capital ndio utajua what % ya watanzania wanajua hata nini maana ya hati.
 

Bill, nakubaliana na wewe lakini kiukweli kabisa hawa Jamaa walitakiwa kupigwa chini. Unajua nashindwa kuelewa kabisa kwa nini watanzania wanaimani na JK wakati mpaka sasa hivi hajafanya lolote na nchi inaonekana kama imemshinda!!!

Na kama kawaida yetu wanzania utasikia kuna tume imeundwa kuchunguza hii incident ya Mbagala, watazania kwa kutumia pesa za serikali ovyo kwa kuunda tume za uchunguzi hatujambo sana.
 
Nchi hii watu hawako serious kabisa, hivi toka lini kambi ya Jeshi ikawekwa karibu na makazi ya raia ambao sio wanajeshi? Kinachotakiwa JK awapige chini wote waliohusika na uzembe mkubwa kama huu kuanzia waziri hadi kwa mkuu wa hiyo kambi ya Mbagala.
Awapige chini walio weka kambi katikati ya mji au walio fanya uzembe mpaka mabomu yakalipuka...hivi hakuna mtu anae jua sheria ili atuambie kambi ya jeshi inapaswa kuwa umbali gani namakazi ya raia na
2. silaha nzito kama hizo zina paswa kuwa umbali gani na makazi hakuna sheria....
chakusikitisha jana maeneo ya Mapipa tulikuwa tukiangalia taarifa ya habari ITV na wana-JWT ambao nao walikuwa wakipata chakula pembeni yetu sasa kukawa na mwasilika wa janga la mabomu akilalamika kwamba nyumba yake ya thamani imeungua wale wana jeshi wakasema huyu mpumbavu kweli anajua thamani ya Bomu hata moja..Nikagudua kitu, askari wetu wanasikitika kupoteza silaha na si maisha ya TZ wenzetu...kweli hapa Bongo
 
10 killed by explosions at Dar armoury
By VINCENT MNYANYIKA and ZEPHANIA UBWANI Posted Wednesday, April 29 2009 at 20:19

More than 10 people, among them five soldiers, were killed on Wednesday in bomb explosions at Tanzania's Mbagala military base. According to Red Cross personnel, about seven people were found dead at the site while three bodies were counted at the Temeke Municipal Hospital which had more than 100 injured victims admitted.

More than 300 victims were also admitted at a specially created space at Mbagala Saba Saba. The bomb explosions from four out of 11 armouries at the 671 camp of the Tanzania People's Defence Forces (TPDF) caused panic and paralysed activities for about six hours.

The explosions destroyed houses forcing people to flee. More than 200 children were reported missing. Some of the injured were taken to Temeke District Hospital as the Tanzanian government called for calm. The deputy minister for Defence and National Service, Dr Emmanuel Nchimbi, told reporters that everything was being done to bring the situation under control.

Dr Nchimbi, who was attending the East African Community heads of state summit at a lodge outside Arusha, flew to Dar es Salaam to attend to the crisis. The Chief of Defence Forces (CDF), General Davis Mwamunyange, confirmed bombs had exploded at an army base in Mbagala but could not shed more light on what triggered the explosions.

"I have just heard that bombs have exploded. As we are speaking now, I have already ordered a contingency of bomb experts to go and start investigating what went wrong," he said.

Three camps

At that time, Gen Mwamunyange was also not certain as to which army base the explosions had occurred as there are three army camps in Mbagala suburb. Unconfirmed sources said that the minister for Defence and National Service, Dr Hussein Mwinyi, was outside Dar es Salaam during the explosions which occurred at Mbagala armouries from around 11.45am.

He said President Jakaya Kikwete, who was attending the Arusha summit at the time of his press conference, had been adequately briefed and was concerned about the situation. Dr Nchimbi urged people living close to the TPDF installations to keep off the area and to avoid collecting strange metallic objects.

News of the explosions reached Arusha as the five EAC heads of state - President Kikwete, Mwai Kibaki of Kenya, Pierre Nkurunziza of Burundi, Rwanda's Paul Kagame and Uganda's Yoweri Museveni - were consulting before the summit.

Source; Daily Nation
 
Jana Dar es Salaam iligubikwa na hofu kubwa. Hii ni hofu ya milipuka katika maeneo ya jeshi Mbagala Kizuiani.

Inaonyesha Tanzania ipo makini. Imejizatiti kwa kila kitu hasa kwa Mabomu kwa ajili ya usalama. Je Mabomu yaliyolipuka Mbagala Kizuiani ni uzembe au ni jambo la kawaida kijeshi? Je waliopoteza maisha, walioumia na walioharibikiwa na mali za watalipwa fidia. Au itasemwa ni bahati mbaya.
 

kwa staili hii tutafika kweli, inawezekana hata huyo mwanajeshi aliye tamka maneno hayo anaupungufu wa akili. Kwa mtu mwenye akili timamu atangalia maisha ya raia kwanza alafu swala la hasara litafuata baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…