D denisi_masoko Senior Member Joined Aug 15, 2016 Posts 195 Reaction score 156 Feb 18, 2026 Thread starter #21 M O N S T E R said: TZ ndiyo bei ishafika huko? Three bedrooms milioni mia tano na nusu? I wish you all the best. Click to expand... Jitahidi zunguka kwenye apartments za masaki harafu utakazana kutafuta michongo ya pesa hapa mjini, watu wanaishi
M O N S T E R said: TZ ndiyo bei ishafika huko? Three bedrooms milioni mia tano na nusu? I wish you all the best. Click to expand... Jitahidi zunguka kwenye apartments za masaki harafu utakazana kutafuta michongo ya pesa hapa mjini, watu wanaishi
D denisi_masoko Senior Member Joined Aug 15, 2016 Posts 195 Reaction score 156 Feb 18, 2026 Thread starter #22 RRONDO said: Location,location,location. Click to expand... Maasani beach nyuma ya kwa Nyerere mikocheni beach
RRONDO said: Location,location,location. Click to expand... Maasani beach nyuma ya kwa Nyerere mikocheni beach
D denisi_masoko Senior Member Joined Aug 15, 2016 Posts 195 Reaction score 156 Feb 18, 2026 Thread starter #23 RRONDO said: Location,location,location. Click to expand... Msasani beach nyuma ya Kwa nyerere mikocheni
RRONDO said: Location,location,location. Click to expand... Msasani beach nyuma ya Kwa nyerere mikocheni
M O N S T E R JF-Expert Member Joined Sep 26, 2022 Posts 8,825 Reaction score 20,941 Feb 18, 2026 #24 Allen Kilewella said: Hivi bei za uuzaji viwanja, majengo upangishaji hutegemea nini hasa kwa hapa Tanzania? Click to expand... Property values cha kwanza kabisa ni eneo, nyumba mbili zinaweza kufanana kila kitu na ukubwa wa plot ukawa unalingana lakini moja iko Mbagala nyingine iko Oyster Bay au Masaki yaani hapo utofauti wa bei inakuwa ni mbingu na ardhi.
Allen Kilewella said: Hivi bei za uuzaji viwanja, majengo upangishaji hutegemea nini hasa kwa hapa Tanzania? Click to expand... Property values cha kwanza kabisa ni eneo, nyumba mbili zinaweza kufanana kila kitu na ukubwa wa plot ukawa unalingana lakini moja iko Mbagala nyingine iko Oyster Bay au Masaki yaani hapo utofauti wa bei inakuwa ni mbingu na ardhi.