Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
She is always in my mind, may her soul rest in eternal peace.Baby girl Aquiline umekufa lakini kifo Chato ni moja ya sababu za maandamano ya 26/4. Hii haijawahi jutokea.
RIP Aquiline
kwa avatar tu ulioweka sidhan km unapaswa kujibiwaMnajifanya mna uchungu wa kinafiki mitandaoni siyo? . To much of everything is harmful.
Je unadhani ww avatar yako inafaa mtu kubishana na wewe?kwa avatar tu ulioweka sidhan km unapaswa kujibiwa
Je unadhani ww avatar yako inafaa mtu kubishana na wewe?
Sawahaifai
Mtaamini kama mnafarijiana humu ifikapo tarehe 26. Then tukutane humu humu kuleta mirejesho ya maandamano.
Note my fact
hatua ndefu hufupisha urefu wa safariNi kweli kaka Leo serikali yote inatos matamko
Uchungu wa kinafiki ndio unakuaje mkuu?Mnajifanya mna uchungu wa kinafiki mitandaoni siyo? . To much of everything is harmful.
Nani anavuruga amani maandamano ni ya Amani kabisa au wao ndio wanataka kuvuruga AmaniSiungi mkono kuvuruga Amani nimeona mwenyewe..
wamesema wanaandamana kwa amani, hizo kuvuruga zinatoka wapi?Siungi mkono kuvuruga Amani nimeona mwenyewe..