Aquiline damu yako bado inatafuta haki

Aquiline damu yako bado inatafuta haki

Mimi na Wewe ni Marafiki wazuri na wakubwa tu na humu JamiiForums ni miongoni mwa Members ninaowakubali nadhani hata Wewe unalijua hilo na katika Watu ambao hata wakinisema kama siyo kunichamba huwa nakuwa mpole na kuwasikiliza ni Wewe Mkuu ila sijui ni kwanini Mimi na Wewe tumepishana Kiitikadi ya Vyama vya Kisiasa ambapo Mimi ni mwana CCM ' lialia ' na Wewe ni mwana CHADEMA ' kindakindaki '. Natafuta mbinu za kukufanya uje ujiunge nasi wana CCM Mkuu japo najua nina Kazi pevu Kwako ila kwa Mafunzo na Ujanja wangu nina uhakika kuwa sitokushindwa.
Nilikuwa huko kwenu, hii awamu ya 5 ilinitoa huko ni pamoja na double standards zinazoendelea. Mimi nilibishana sana na mama yangu alimpigia kura Lowasa wakati mimi mgombea wangu alikuwa JPM.

Infact mimi nilikuwa team Membe lakini sikuhizi ninampenda Tundu Lissu kupita maelezo na ni mtu aliyenivutia kujiunga na CHADEMA.

Urafiki wangu mimi na wewe hauwezi kufa, wote tuna passport za bongo sisi ni familia
 
Nikikushindwa ' Kukushawishi ' Mkuu Mimi siyo GENTAMYCINE na Vyeti vyangu vyote nitavichoma moto mbele yako.
 
Mimi na Wewe ni Marafiki wazuri na wakubwa tu humu JamiiForums na ni miongoni mwa Members ninaowakubali nadhani hata Wewe unalijua hilo na katika Watu ambao hata wakinisema kama siyo kunichamba huwa nakuwa mpole na kuwasikiliza ni Wewe Mkuu ila sijui ni kwanini Mimi na Wewe tumepishana Kiitikadi ya Vyama vya Kisiasa ambapo Mimi ni mwana CCM ' lialia ' na Wewe ni mwana CHADEMA ' kindakindaki '. Natafuta mbinu za kukufanya uje ujiunge nasi wana CCM Mkuu japo najua nina Kazi pevu Kwako ila kwa Mafunzo na Ujanja wangu nina uhakika kuwa sitokushindwa.
Mkuu, hauna sababu ya kutafuta mbinu za kulazimisha.
Umesema yy ni mkubwa mwenzio na rafiki yako hapa JFs....
Ss mwache ajiongoze, ndiyo sifa ya kuitwa Mkubwa.
Ukubwa jalala....
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom