Aquiline damu yako bado inatafuta haki

Aquiline damu yako bado inatafuta haki

Baby girl Aquiline umekufa lakini kifo chako ni moja ya sababu za maandamano ya 26/4. Hii haijawahi jutokea.
RIP Aquiline

Naona unaendelea tu ' Kuwaponza ' Wenzako ili ' Wakafe ' vizuri hiyo siku Mkuu. Ni matumaini yangu makubwa kwamba utakuwa unaenda kuwatembelea Mwaisela na Kibasila mara kwa mara na pia kusaidia Kuitambua miili yao katika ' Mochwari ' mbalimbali za nchini.
 
Kibasila na Mwaisela mbona ni ndogo sana, huu mtiti Muhimbili na Mloganzila kote kutakuwa na mahema ya dharura
 
kwa avatar tu ulioweka sidhan km unapaswa kujibiwa

394922.jpg
 
Naona unaendelea tu ' Kuwaponza ' Wenzako ili ' Wakafe ' vizuri hiyo siku Mkuu. Ni matumaini yangu makubwa kwamba utakuwa unaenda kuwatembelea Mwaisela na Kibasila mara kwa mara na pia kusaidia Kuitambua miili yao katika ' Mochwari ' mbalimbali za nchini.
Ataendaje wakati kajibanza kwa Trump?
 
Kibasila na Mwaisela mbona ni ndogo sana, huu mtiti Muhimbili na Mloganzila kote kutakuwa na mahema ya dharura

Mnasubiriwa kwa hamu sana ' mjipendekeze ' siku kwa kudaganywa na ' Mghaibuni Mpinzani ' wenu ili mpewe dawa.
 
Kwani wasi wasi wenu ni nini waandamaniji si ni sisi na tutakaoumia si ni sisi?
 
Msiwe na hofu nyinyi fanyeni yenu na sisi tunafanya yetu

Mimi na Wewe ni Marafiki wazuri na wakubwa tu humu JamiiForums na ni miongoni mwa Members ninaowakubali nadhani hata Wewe unalijua hilo na katika Watu ambao hata wakinisema kama siyo kunichamba huwa nakuwa mpole na kuwasikiliza ni Wewe Mkuu ila sijui ni kwanini Mimi na Wewe tumepishana Kiitikadi ya Vyama vya Kisiasa ambapo Mimi ni mwana CCM ' lialia ' na Wewe ni mwana CHADEMA ' kindakindaki '. Natafuta mbinu za kukufanya uje ujiunge nasi wana CCM Mkuu japo najua nina Kazi pevu Kwako ila kwa Mafunzo na Ujanja wangu nina uhakika kuwa sitokushindwa.
 
Back
Top Bottom