Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jean Marie Dia ndiyo Al Fawzan?
Huu mjadala umekuwa mrefu. Kwa maoni yangu munazungumza lugha moja kwa mitazamo miwili tofauti. Ingependeza mukaendelea kujadili yaliyomo badala ya kuzungumza yameandikwa na nani.It states clear the words were of zal Fawzan don’t try to distract the contents.
Huu mjadala umekuwa mrefu. Kwa maoni yangu munazungumza lugha moja kwa mitazamo miwili tofauti. Ingependeza mukaendelea kujadili yaliyomo badala ya kuzungumza yameandikwa na nani.
Who "states clearly"?It states clear the words were of zal Fawzan don’t try to distract the contents.
Ni sawa. Nilikuwa wa kwanza kucomment na nikaonesha kuna ukweli na uongo ndani yake kwa kutumia lugha nyepesi sana. Binafsi niliona kuna uongo ndani ya maandishi, ila sio ya sky Eclat bali ni ya mwandishi wa hicho kitabu. Sasa ndo nadhani kuna umuhimu wa kujadili kilichoandikwa badala yakutafuta ni nani aliandika.Kwanza ni lazima tujuwe uzushi uliokuwemo katika hayo maandiko umeletwa na nani.
Ni sawa. Nilikuwa wa kwanza kucomment na nikaonesha kuna ukweli na uongo ndani yake kwa kutumia lugha nyepesi sana. Binafsi niliona kuna uongo ndani ya maandishi, ila sio ya sky Eclat bali ni ya mwandishi wa hicho kitabu. Sasa ndo nadhani kuna umuhimu wa kujadili kilichoandikwa badala yakutafuta ni nani aliandika.
Asante saba Mimi nilibase kwenye historia si kule ga dini. Tatizo heading ya kitabu imetaja dini.Ila ukweli upo palepale ,biashara ya utumwa Imeua waafrika wengi sana mamilioni ya babu zetu walipoteza maisha.
Warabu,wazungu na jamaa zao wengine walioshiriki mchezo huu waliua waafrika wengi.Nashangaa ukweli huo mchungu mtu akijaribu kuusema anashambuliwa kwa msingi wa udini. Hawa ndugu zetu waarabu na wazungu tunawashadadia tu lkn wametufanya vibaya historia haindanganyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona jiwe la gizani ......