Arafat Haji: Yanga haitocheza mechi nyingine ya Derby zaidi ya hii ya March 8 katika msimu wa 2024/2025

Arafat Haji: Yanga haitocheza mechi nyingine ya Derby zaidi ya hii ya March 8 katika msimu wa 2024/2025

πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜ƒ naogopa kusema mtani.

Ila tu ukishakuwa Utopolo akili zinaruka ndio maana HANA AKILI.

Hama, hamia Ubaya Ubwela mtani upate akili πŸ˜‚πŸ˜‚
Ahamie kwetu huku kwa MA MBUMBUMBU
 
Ukiwa kiongozi usiendeshwe na mihemko, lazima uwe mtu unayeona mbali. Ok TFF wakapanga tarehe mpya na mkaja uwanjani upo tayari kujiuzulu nafasi yako kuonyesha kile unachokiamini? Kuja uwanjani lazima mtakuja. Hata kwa mtu yeyote hata mwenye upeo mdogo analiona hilo
 
Hii game itarudiwa tu,na Hii ndio itatoa bigwa wa Msimu huu.Yaani game hii ndio itakuwaa na point kinyang'anyiro.
 
Binafsi

Naongezea kwenye hili si swal la kucheza machi lah Hasha! Ni swala na nani atawajibika kwa kiwango kile kile cha maumivu ya wapenda soka. Nani katufikisha hapa! Kati ya hawa 3 yupo 1
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
1)SIMBA SC
2)YANGA
3)TFF
mmoja lazima aondoke kwenye jamii ya mpira bila kuwaondoa kati yao huu mpira tunauzika rasmi...

Mwanzo ilipotekea may be yalikuwa makosa
Ya kibinadam(human error) ila kwa mara 2 hapan... linahitajika fundisho kuu ili hata huko nje wajue kuwa kuna wapenda soka nchi inaitwa tz hawana mzaha.

Maswal ya kujiuliza tu
Je simba kuzuiliwa kufanya mazoezi ndo mechi ighailishwe? Kwan hawakufanya mazoezi mda wote? Kanuni inasema kwamba usipofanya mazoezi siku moja kabla kwa sabb zozote zile huleti timu uwanjani?

Kwa nn simba wana toa taarifa uck kuwa hawachezi then saa 6 mchana tff wana cement walichosema simba?

Hii kamati ya saa72 inajadili matukio ya kabla ya machi au baada? Waje na mfano niwati upi waljadili incidence kabla ya machine?

Yanga watujibu wanahusikaje kwenye kuahilisha mechi? Kwamba wao ni mameneja wa uwanja au walituma makomandoo kuwazuia simba?

Maswali n mengi wadau wataongeza ila wakishindwa kuamua kwenye maamzi waniete nitawasaidia... wanipe wiki 1 uone kitakachotokea..
 
Game itapangwa siku nyingine, ili kuipa umuhimu kiongozi mmoja mkubwa wa serikali atapewa ugeni rasmi huenda kiingilio kisiwepo na supu mkapewa ili kuzima kelele

Machawa watapewa jezi zenye mapambio ya kusifu na kuabudu, maisha yataendelea
Mkuu kurudia mechi sawa nani kuahilisha kwa sabb zipi? Kama si mgeni na mpira wa simba na yanga! Utakumbuka tukio la simba kucheza kipindi kimoja tu!! Na hatimae walipoenda mapumziko simba hawakurudi kabisa uwanjani...
Kwa hyo unachosema kinaweza kutokea ila mpka adhabu stahiki itolewe kwa waliohusika.. na wasimtoe mtu kafara... maana sisi wapenda soka neutral tunajua kabisa kuna kikundi kimeyatimba..
Safari hiii watayanywa, kuyakoga au kuyabakata
 
Bodi ya ligi wapuuzi tu nao.

Hapo mwenye kosa aadhibiwe sio kutaka mechi uchezwe tena wakati watu washaingia bonge ya loss

Azam tv kwenye barua yao ni wazi kua wamesikitika mno
 
Ndugu Wananchi kwa dhati ya moyo wangu niwapongeze kwa kufika uwanjani kutoka kona zote nchini, mliosafiri kwa anga, mliosafiri kwa magari, mliopanda Pikipiki, mliopanda boti hadi Watembea kwa miguu, yote ni kwa ajili ya Yanga Afrika, huu sio tu upendo bali mahaba ya kulevya kwa klabu hii bora zaidi nchini.

Ndugu Wananchi poleni mno kwa kadhia ya leo, sisi kama Viongozi mliotupa dhamana kusimamia hii chapa kwa niaba yenu tumepigana, tumehakikisha mawazo yenu, matakwa yenu na sauti yenu inasikika kwa sauti ya juu sana, kwa kuheshimu mpira wa miguu na kuheshimu uthubutu wenu tuliandaa na kuleta timu uwanjani tayari kwa kushindana ila yaliyotokea yametokea.

Ndugu Wananchi, poleni kwa kupoteza muda wenu, kwa kupoteza fedha zenu kwa ajili ya mechi hii kubwa na ya kihistoria, ninyi ni sisi na maumivu haya ni yetu sote kama ambavyo tumeimba pamoja, tumelia pamoja basi hata sasa mpaka milele tupo pamoja, hilo likae vyema kwenye kumbukumbu kuwa sisi ni Yanga.

WACHEZAJI na Benchi la Ufundi, asanteni kwa heshima mliowapa Wapenzi wa soka nchini bila kujali timu zao, mmehakikisha mpira wa miguu umeshinda, kuna wakati sio suala la Mshahara wala posho bali heshima kwa nembo ya Kijani na Njano, Asanteni Vijana kwa kufika na angalau Mashabiki wameweza kuwaona na kuwalaki.

WANANCHI, mechi yetu dhidi ya Mtani wetu SIMBA imeisha leo hii kwa msimu wa 2024/25 raundi ya pili na ieleweke vyema hakutakuwa na mechi nyingine sehemu nyingine, siku nyingine na tarehe nyingine yoyote ya kuihusu Yanga dhidi ya Simba kwa Ligi kuu, iwekwe sawa kwenye kumbukumbu na ikolezwe vyema kwa wino kuwa its done and dusted, sisi tunasonga mbele na ratiba zingine.

Hii ndio sauti yenu moja, kamba moja ya DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO na tutashikilia hapo hapo Wananchi, niwatakie safari njema Wananchi wote kurejea makwenu, Mungu awalinde, awatunze mkaungane tena na familia zenu, tutakutana tena wakati mwingine panapo majaaliwa In shaa Allah.
View attachment 3264063
Inapangwa tarehe ingine halafu mgeni rasmi "Mwenyekiti wa chama"

Tuone hao chawa wake kama watagoma kuja uwanjani
 
Soka la kihuni,simba safi kabisa kwa kuukataa uhuni.
Na timu zingine ziige kwa simba.Haya waendelee na ligi yao
 
Wanasheria wa yanga wafanye kitu ili FIFA walete rungu lao tukose wote maana simba na baba yao tff wanaleta upumbavu hata kama kwenda mahakamani au vyovyote vile ilimladi tufungiwe tu kwa muda mrefu ili tujifunze na wajingawajinga mfano wa kalia na wenzie waache ujinga wao
 
Kumbe mechi ingine! Simba imeachana na ligi nzima ina uhuni. Ni bora waende ligi ta Zanzibar
 
Ndugu Wananchi kwa dhati ya moyo wangu niwapongeze kwa kufika uwanjani kutoka kona zote nchini, mliosafiri kwa anga, mliosafiri kwa magari, mliopanda Pikipiki, mliopanda boti hadi Watembea kwa miguu, yote ni kwa ajili ya Yanga Afrika, huu sio tu upendo bali mahaba ya kulevya kwa klabu hii bora zaidi nchini.

Ndugu Wananchi poleni mno kwa kadhia ya leo, sisi kama Viongozi mliotupa dhamana kusimamia hii chapa kwa niaba yenu tumepigana, tumehakikisha mawazo yenu, matakwa yenu na sauti yenu inasikika kwa sauti ya juu sana, kwa kuheshimu mpira wa miguu na kuheshimu uthubutu wenu tuliandaa na kuleta timu uwanjani tayari kwa kushindana ila yaliyotokea yametokea.

Ndugu Wananchi, poleni kwa kupoteza muda wenu, kwa kupoteza fedha zenu kwa ajili ya mechi hii kubwa na ya kihistoria, ninyi ni sisi na maumivu haya ni yetu sote kama ambavyo tumeimba pamoja, tumelia pamoja basi hata sasa mpaka milele tupo pamoja, hilo likae vyema kwenye kumbukumbu kuwa sisi ni Yanga.

WACHEZAJI na Benchi la Ufundi, asanteni kwa heshima mliowapa Wapenzi wa soka nchini bila kujali timu zao, mmehakikisha mpira wa miguu umeshinda, kuna wakati sio suala la Mshahara wala posho bali heshima kwa nembo ya Kijani na Njano, Asanteni Vijana kwa kufika na angalau Mashabiki wameweza kuwaona na kuwalaki.

WANANCHI, mechi yetu dhidi ya Mtani wetu SIMBA imeisha leo hii kwa msimu wa 2024/25 raundi ya pili na ieleweke vyema hakutakuwa na mechi nyingine sehemu nyingine, siku nyingine na tarehe nyingine yoyote ya kuihusu Yanga dhidi ya Simba kwa Ligi kuu, iwekwe sawa kwenye kumbukumbu na ikolezwe vyema kwa wino kuwa its done and dusted, sisi tunasonga mbele na ratiba zingine.

Hii ndio sauti yenu moja, kamba moja ya DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO na tutashikilia hapo hapo Wananchi, niwatakie safari njema Wananchi wote kurejea makwenu, Mungu awalinde, awatunze mkaungane tena na familia zenu, tutakutana tena wakati mwingine panapo majaaliwa In shaa Allah.
View attachment 3264063
Mnajifariji tu, hakuna wa kugomea mamlaka za nchi hii, mechi itachezwa na uwanjani mtarnda. Wabongo mdomon mko vizuri , itadhani mko serious ila matendo hamna kitu
 
Back
Top Bottom