Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
- Thread starter
-
- #141
Jamil mwenyewe alikuwa anatumia Subaru kwa mda mrefu, ila alivyoanza tumia Evo mwaka huu ameivulia kofia na kakubali Evo ni zaidi ya Subaru..Ni expensive ila tutafika mdomdo hata kwa old version.
Nilikuwa namwambia mdau mmoja kwamba Evo iko vizuri compare to Subaru.
Kuna mahali walijisahau kidogo that time walivyokuwa kwenye peak wenzao wakawa wanaumiza vichwa haswa kuja kushtuka wenzao wako mbali
Good driver anayetumia Subaru akija akipewa Evo atafanya wonders.Jamil mwenyewe alikuwa anatumia Subaru kwa mda mrefu, ila alivyoanza tumia Evo mwaka huu ameivulia kofia na kakubali Evo ni zaidi ya Subaru..
Muna alitumia Subaru.. na Tufail pia.. hawa wakija kwenye Evo watakimbiza sanaGood driver anayetumia Subaru akija akipewa Evo atafanya wonders.
Muna Sigh wa Zambia ni driver mzuri hope alikuwa na Subaru
Madebe amejitoa leo asubuhi gari iliserereka kwenye raundi ya kwanza zinga- parokia.Nimechapia ni Subaru WRX STI!!
wale team Haris siwaona bila kumsahau Madebe sijui atakwepo jina lake kama silioni kwenye list!!
Section hii ni ile bago - lugoba?Jump of the DAY..
Yes mkuu..Section hii ni ile bago - lugoba?
Eric Comark yupi?? Yule chotara wa Arusha?Hivi Erick Comack yuko wapi siku hizi last time nimemuona kwenye rali iliyofanyika Masaki huko chanika akiwa na Evo 9 kama sikukosei ,na wale mademu wa kizungu na timu yao ya kula vumbi
Huyo huyo nadhani makazi yake ni huko naberera analima ila sijamskia siku nyingi kwenye RallyEric Comark yupi?? Yule chotara wa Arusha?
Hata mimi sijamwona siku nyingi sana mkuu..Huyo huyo nadhani makazi yake ni huko naberera analima ila sijamskia siku nyingi kwenye Rally
Kipande kilikuwa na sehemu nzuri lakini si kama pale magereza ya bagamoyo palikuwa na bumps tatu duuhYes mkuu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] babu babu[emoji85]Ileile ya voda. TiGo nimeipiga chini. Sitaki kukosa safari ya mbinguni