Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
- Thread starter
- #141
Jamil mwenyewe alikuwa anatumia Subaru kwa mda mrefu, ila alivyoanza tumia Evo mwaka huu ameivulia kofia na kakubali Evo ni zaidi ya Subaru..Ni expensive ila tutafika mdomdo hata kwa old version.
Nilikuwa namwambia mdau mmoja kwamba Evo iko vizuri compare to Subaru.
Kuna mahali walijisahau kidogo that time walivyokuwa kwenye peak wenzao wakawa wanaumiza vichwa haswa kuja kushtuka wenzao wako mbali