ARC Rally 2016 - Bagamoyo

ARC Rally 2016 - Bagamoyo

Ni expensive ila tutafika mdomdo hata kwa old version.
Nilikuwa namwambia mdau mmoja kwamba Evo iko vizuri compare to Subaru.
Kuna mahali walijisahau kidogo that time walivyokuwa kwenye peak wenzao wakawa wanaumiza vichwa haswa kuja kushtuka wenzao wako mbali
Jamil mwenyewe alikuwa anatumia Subaru kwa mda mrefu, ila alivyoanza tumia Evo mwaka huu ameivulia kofia na kakubali Evo ni zaidi ya Subaru..
 
Jamil mwenyewe alikuwa anatumia Subaru kwa mda mrefu, ila alivyoanza tumia Evo mwaka huu ameivulia kofia na kakubali Evo ni zaidi ya Subaru..
Good driver anayetumia Subaru akija akipewa Evo atafanya wonders.
Muna Sigh wa Zambia ni driver mzuri hope alikuwa na Subaru
 
Good driver anayetumia Subaru akija akipewa Evo atafanya wonders.
Muna Sigh wa Zambia ni driver mzuri hope alikuwa na Subaru
Muna alitumia Subaru.. na Tufail pia.. hawa wakija kwenye Evo watakimbiza sana
 
Nimechapia ni Subaru WRX STI!!

wale team Haris siwaona bila kumsahau Madebe sijui atakwepo jina lake kama silioni kwenye list!!
Madebe amejitoa leo asubuhi gari iliserereka kwenye raundi ya kwanza zinga- parokia.
 
Jump of the DAY..

13645202_1034842366605012_4343253724412522616_n.jpg
Section hii ni ile bago - lugoba?
 
Hivi Erick Comark yuko wapi siku hizi last time nimemuona kwenye rali iliyofanyika Masaki huko chanika akiwa na Evo 9 kama sikukosei ,na wale mademu wa kizungu na timu yao ya kula vumbi
 
Hivi Erick Comack yuko wapi siku hizi last time nimemuona kwenye rali iliyofanyika Masaki huko chanika akiwa na Evo 9 kama sikukosei ,na wale mademu wa kizungu na timu yao ya kula vumbi
Eric Comark yupi?? Yule chotara wa Arusha?
 
Back
Top Bottom