Hapo namuona G. Miller tuUmemsahau Gerald Miller huyo ndo all time champion... Anazeeka na ujuz wke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo namuona G. Miller tuUmemsahau Gerald Miller huyo ndo all time champion... Anazeeka na ujuz wke
Subaru haiingii kwa Mitsubishi Evo hata nukta.Last rally Moshi Subaru iliitesa sana Mitsubishi lakini wakongwe Miller na Pandya hawakushiriki... This timu watatia chachu timu Mitsubishi
Asante sana Bavaria nilikuwa naangalia huyu mzee yuko wapi
Huyu ndo bingwa!! Hakuna dereva toka Bongo atamzidi all the best Babuu make Tanzanians proud
Huyu ndo bingwa!! Hakuna dereva toka Bongo atamzidi all the best Babuu make Tanzanians proud
Asipate tatizo tu, mambo yataenda vizuri.Nina uhakika hatashinda. Trust me.
Mwaka jana gari ilimletea shida ndio maana hakushiriki MoshiAsipate tatizo tu, mambo yataenda vizuri.
Nilikuwa napenda sana that time akitumia landrover 110 V8 alikuwa anaitumia vizuri sana
Yes Babu GM
Huyo ni mwanamke wa shoka... Anatoka huko huko Arusha..Huyo mwanamana Monica Lyimo hongera zake.... labda wapo unajua tena ID fake
Mkuu umenikumbusha huyu jamaa Carl Tundo ana dada yake ni msoma ramani,! Halafu kuna jamaa anaitwa Tapio Laukkanen na Jaspreet Chatthe hawa jamaa nao wapo vizuri!Mziki ungukuwa mnene hapo wangekuwepo king of the mountain Ian Dancan, Bardev Chagga, Carl Tundo na Jassy Chaty
Huyo ni mwanamke wa shoka... Anatoka huko huko Arusha..
Ni mwezi uliopita tu alipata ajali mbaya kwenye haya haya mashindano hapo Bagamoyo, bahati nzuri hawakuumia sana, leo karudi tena.. Namtakia heri na amalize salama haya mashindano..
Kweli mchezo ukiingia damuni ni noma... Huyu mama ni member humu..Huyu mama ni jasiri sana! Ajali ya juzi sikuamini kama wangetoka wazima! Tairi lilifunguka likachomoka gari ikapaa !
Huyo ni mwanamke wa shoka... Anatoka huko huko Arusha..
Ni mwezi uliopita tu alipata ajali mbaya kwenye haya haya mashindano hapo Bagamoyo, bahati nzuri hawakuumia sana, leo karudi tena.. Namtakia heri na amalize salama haya mashindano..
Mpaka sasa waliokuwa wakitegemea akina Jas Mangat wa Uganda na Babu Miller wa Arusha wameachwa kama dakika moja hivi... Dakika 1 ni kubwa sana kwenye rally..
Ila Je, hao akina Dharam, Jamil na Tufail wataweza ku maintain hii pace mpaka wamalize hizi rally?? Wazee wa experience leo hawakimbii sana ili wamalize tu alafu kesho ndio watakiwasha.. Mpaka sasa ni Evo 9 na Subaru ndio zinakimbiza..
Anatumia i'd gani mkuu?Kweli mchezo ukiingia damuni ni noma... Huyu mama ni member humu..
Pandya namkubali sana labla gari imzingue!endelea kutuhabarisha mkuu mie always ni Babu GM team.....Pandya naye kiboko sana
Wao wakati wanapata ajali walikuwa 190 km/h teh teh tehDuuh nitamfuta aisee mie gari speed 120 naanza sala