ARC Rally 2016 - Bagamoyo

ARC Rally 2016 - Bagamoyo

Last rally Moshi Subaru iliitesa sana Mitsubishi lakini wakongwe Miller na Pandya hawakushiriki... This timu watatia chachu timu Mitsubishi
Subaru haiingii kwa Mitsubishi Evo hata nukta.
Bado Subaru ni nzito sana na hazichanganyi faster
 
13592367_901831263279798_2648322104472576205_n.jpg
Asante sana Bavaria nilikuwa naangalia huyu mzee yuko wapi
 
Huyo mwanamana Monica Lyimo hongera zake.... labda wapo unajua tena ID fake
Huyo ni mwanamke wa shoka... Anatoka huko huko Arusha..

Ni mwezi uliopita tu alipata ajali mbaya kwenye haya haya mashindano hapo Bagamoyo, bahati nzuri hawakuumia sana, leo karudi tena.. Namtakia heri na amalize salama haya mashindano..

Mzunguko wa kwanza umeisha... Dharam Pandya amewakimbiza wenzake..

Lakini bado zinasubiriwa official result
 
Huyo ni mwanamke wa shoka... Anatoka huko huko Arusha..

Ni mwezi uliopita tu alipata ajali mbaya kwenye haya haya mashindano hapo Bagamoyo, bahati nzuri hawakuumia sana, leo karudi tena.. Namtakia heri na amalize salama haya mashindano..

Huyu mama ni jasiri sana! Ajali ya juzi sikuamini kama wangetoka wazima! Tairi lilifunguka likachomoka gari ikapaa !
 
Mpaka sasa waliokuwa wakitegemea akina Jas Mangat wa Uganda na Babu Miller wa Arusha wameachwa kama dakika moja hivi... Dakika 1 ni kubwa sana kwenye rally..

Ila Je, hao akina Dharam, Jamil na Tufail wataweza ku maintain hii pace mpaka wamalize hizi rally?? Wazee wa experience leo hawakimbii sana ili wamalize tu alafu kesho ndio watakiwasha.. Mpaka sasa ni Evo 9 na Subaru ndio zinakimbiza..
 
Kweli mchezo ukiingia damuni ni noma... Huyu mama ni member humu..
 
Huyo ni mwanamke wa shoka... Anatoka huko huko Arusha..

Ni mwezi uliopita tu alipata ajali mbaya kwenye haya haya mashindano hapo Bagamoyo, bahati nzuri hawakuumia sana, leo karudi tena.. Namtakia heri na amalize salama haya mashindano..

Duuh nitamfuta aisee mie gari speed 120 naanza sala
 
Mpaka sasa waliokuwa wakitegemea akina Jas Mangat wa Uganda na Babu Miller wa Arusha wameachwa kama dakika moja hivi... Dakika 1 ni kubwa sana kwenye rally..

Ila Je, hao akina Dharam, Jamil na Tufail wataweza ku maintain hii pace mpaka wamalize hizi rally?? Wazee wa experience leo hawakimbii sana ili wamalize tu alafu kesho ndio watakiwasha.. Mpaka sasa ni Evo 9 na Subaru ndio zinakimbiza..

endelea kutuhabarisha mkuu mie always ni Babu GM team.....Pandya naye kiboko sana
 
Back
Top Bottom