wazanzibari hapa bara wananunua ardhi hata maelfu ya maekali wapendavyo. ila sisi tukienda kununua kwao haturuhusiwi....mwinyi kajenga majengo kibao mikocheni huko, viongozi wengi wa kizenji wamejiimarisha sana na ardhi ya bara, lakini sisi bara kule kwao hatutakiwi. muungano ukivunjika hizi mali za ardhi walizonunua huku itabidi waanza kulipia kama wawekezaji wabadilishe status, wasipoitumia kama wawekezaji na kwa mtaji ule unaowekwa kwa foreigners, tena kwa kufanya application upyaa kule TIC, tunawanyang'anya wote na kuwafukuzia pemba huko...hapo ndo watajua kuwa sisi wabara tunawabeba na kuwadekeza kama watoto wachanga....unajua ukiwa na kitu huoni umuhimu wake sana, ila kile kitu kikiondoka ndo utaanza kujuta na kujua umuhimu wake....ningekuwa rais, leo, ningeipiga zanzibar teke la mbali sana hadi wakadondokeee shelisheli.Kwa kuwa sasa tunaelekea kutoa suala la mafuta na gesi katika orodha ya mambo ya muungano, NI DHAMBI KUBWA NA UTAPELI PAMOJA NA UNYONYAJI KAMA TUTARUHUSU SUALA LA ARDHI LIENDELEE KUWA LA MUUNGANO MAANA VITU HIVYO HUCHIMBWA ARDHINI,inawezekana mtu kununua ardhi na kuchimba gesi na kusafirisha kwa kibali cha kumiliki ardhi cha Muungano
sio ardhi tu, nadhan hata hewa iondlewe kutoka mambo ya muungano halafu tuataona tafsiri ya muungano. Kaa tutasema tanzania ni kutoka mita kadhaa juu ya usawa wa bahari nkkwa kuwa sasa tunaelekea kutoa suala la mafuta na gesi katika orodha ya mambo ya muungano, ni dhambi kubwa na utapeli pamoja na unyonyaji kama tutaruhusu suala la ardhi liendelee kuwa la muungano maana vitu hivyo huchimbwa ardhini,inawezekana mtu kununua ardhi na kuchimba gesi na kusafirisha kwa kibali cha kumiliki ardhi cha muungano
USITUMIE JAZBA ZA KITANGANYIKA KUHOJI YANAYOWEZA KUHOJIKA. HIVI KWA FIKIRA ZAKO ZANZIBA INAWEZA KUWAHUDUMIA WATU MILIONI 40 KWA ARDHI WALIONAYO? HIVI ALI HASSAN MWINYI HAMUMTAMBUI TENAKAMA MZARAMO? wACHENI UBAGUZIwazanzibari hapa bara wananunua ardhi hata maelfu ya maekali wapendavyo. ila sisi tukienda kununua kwao haturuhusiwi....mwinyi kajenga majengo kibao mikocheni huko, viongozi wengi wa kizenji wamejiimarisha sana na ardhi ya bara, lakini sisi bara kule kwao hatutakiwi. muungano ukivunjika hizi mali za ardhi walizonunua huku itabidi waanza kulipia kama wawekezaji wabadilishe status, wasipoitumia kama wawekezaji na kwa mtaji ule unaowekwa kwa foreigners, tena kwa kufanya application upyaa kule TIC, tunawanyang'anya wote na kuwafukuzia pemba huko...hapo ndo watajua kuwa sisi wabara tunawabeba na kuwadekeza kama watoto wachanga....unajua ukiwa na kitu huoni umuhimu wake sana, ila kile kitu kikiondoka ndo utaanza kujuta na kujua umuhimu wake....ningekuwa rais, leo, ningeipiga zanzibar teke la mbali sana hadi wakadondokeee shelisheli.
hatuhitaji kuhudumiwa, tunahitaji kuitumia. wazanzibari wakija hapa wanunue na kumiliki ardhi, na sisi tukija huko kwenye midebwedo tununue na kumiliki ardhi. kwanini nyie tu ndio mmiliki yetu na sisi yenu tusimiliki, si unaona mnavyodekezwa?USITUMIE JAZBA ZA KITANGANYIKA KUHOJI YANAYOWEZA KUHOJIKA. HIVI KWA FIKIRA ZAKO ZANZIBA INAWEZA KUWAHUDUMIA WATU MILIONI 40 KWA ARDHI WALIONAYO? HIVI ALI HASSAN MWINYI HAMUMTAMBUI TENAKAMA MZARAMO? wACHENI UBAGUZI
Kweli umenena mzee wetu hata ardhi lisiwe suala la muungano
Kuumaliza mgogoro wa muungano ni kufanya moja kati ya haya mawili
1. Iwepo serikali moja tu ya Tanzania, Zanzibar uwe mkoa tu kama mikoa mingine ya bara.
2. Muungano ufe tu, tuwa kama kabla ya 26/4/1964
Mimi nilikuwa napendelea tuvunje muungano kabisa.