wazanzibari hapa bara wananunua ardhi hata maelfu ya maekali wapendavyo. ila sisi tukienda kununua kwao haturuhusiwi....mwinyi kajenga majengo kibao mikocheni huko, viongozi wengi wa kizenji wamejiimarisha sana na ardhi ya bara, lakini sisi bara kule kwao hatutakiwi. muungano ukivunjika hizi mali za ardhi walizonunua huku itabidi waanza kulipia kama wawekezaji wabadilishe status, wasipoitumia kama wawekezaji na kwa mtaji ule unaowekwa kwa foreigners, tena kwa kufanya application upyaa kule TIC, tunawanyang'anya wote na kuwafukuzia pemba huko...hapo ndo watajua kuwa sisi wabara tunawabeba na kuwadekeza kama watoto wachanga....unajua ukiwa na kitu huoni umuhimu wake sana, ila kile kitu kikiondoka ndo utaanza kujuta na kujua umuhimu wake....ningekuwa rais, leo, ningeipiga zanzibar teke la mbali sana hadi wakadondokeee shelisheli.