Ardhi isiwe suala la muungano

Ardhi isiwe suala la muungano

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
586
Kwa kuwa sasa tunaelekea kutoa suala la mafuta na gesi katika orodha ya mambo ya muungano, NI DHAMBI KUBWA NA UTAPELI PAMOJA NA UNYONYAJI KAMA TUTARUHUSU SUALA LA ARDHI LIENDELEE KUWA LA MUUNGANO MAANA VITU HIVYO HUCHIMBWA ARDHINI,inawezekana mtu kununua ardhi na kuchimba gesi na kusafirisha kwa kibali cha kumiliki ardhi cha Muungano
 
Kweli umenena mzee wetu hata ardhi lisiwe suala la muungano
 
wazanzibari hapa bara wananunua ardhi hata maelfu ya maekali wapendavyo. ila sisi tukienda kununua kwao haturuhusiwi....mwinyi kajenga majengo kibao mikocheni huko, viongozi wengi wa kizenji wamejiimarisha sana na ardhi ya bara, lakini sisi bara kule kwao hatutakiwi. muungano ukivunjika hizi mali za ardhi walizonunua huku itabidi waanza kulipia kama wawekezaji wabadilishe status, wasipoitumia kama wawekezaji na kwa mtaji ule unaowekwa kwa foreigners, tena kwa kufanya application upyaa kule TIC, tunawanyang'anya wote na kuwafukuzia pemba huko...hapo ndo watajua kuwa sisi wabara tunawabeba na kuwadekeza kama watoto wachanga....unajua ukiwa na kitu huoni umuhimu wake sana, ila kile kitu kikiondoka ndo utaanza kujuta na kujua umuhimu wake....ningekuwa rais, leo, ningeipiga zanzibar teke la mbali sana hadi wakadondokeee shelisheli.
 
kwa kuwa sasa tunaelekea kutoa suala la mafuta na gesi katika orodha ya mambo ya muungano, ni dhambi kubwa na utapeli pamoja na unyonyaji kama tutaruhusu suala la ardhi liendelee kuwa la muungano maana vitu hivyo huchimbwa ardhini,inawezekana mtu kununua ardhi na kuchimba gesi na kusafirisha kwa kibali cha kumiliki ardhi cha muungano
sio ardhi tu, nadhan hata hewa iondlewe kutoka mambo ya muungano halafu tuataona tafsiri ya muungano. Kaa tutasema tanzania ni kutoka mita kadhaa juu ya usawa wa bahari nk
 
wazanzibari hapa bara wananunua ardhi hata maelfu ya maekali wapendavyo. ila sisi tukienda kununua kwao haturuhusiwi....mwinyi kajenga majengo kibao mikocheni huko, viongozi wengi wa kizenji wamejiimarisha sana na ardhi ya bara, lakini sisi bara kule kwao hatutakiwi. muungano ukivunjika hizi mali za ardhi walizonunua huku itabidi waanza kulipia kama wawekezaji wabadilishe status, wasipoitumia kama wawekezaji na kwa mtaji ule unaowekwa kwa foreigners, tena kwa kufanya application upyaa kule TIC, tunawanyang'anya wote na kuwafukuzia pemba huko...hapo ndo watajua kuwa sisi wabara tunawabeba na kuwadekeza kama watoto wachanga....unajua ukiwa na kitu huoni umuhimu wake sana, ila kile kitu kikiondoka ndo utaanza kujuta na kujua umuhimu wake....ningekuwa rais, leo, ningeipiga zanzibar teke la mbali sana hadi wakadondokeee shelisheli.
USITUMIE JAZBA ZA KITANGANYIKA KUHOJI YANAYOWEZA KUHOJIKA. HIVI KWA FIKIRA ZAKO ZANZIBA INAWEZA KUWAHUDUMIA WATU MILIONI 40 KWA ARDHI WALIONAYO? HIVI ALI HASSAN MWINYI HAMUMTAMBUI TENAKAMA MZARAMO? wACHENI UBAGUZI
 
kama katiba haitasema hvy itakua inajichanganya!kwanza ule mgogoro waliopeleka UN kuhupu Tz bara kuomba eneo lao la deep sea limeishaje!!?
 
USITUMIE JAZBA ZA KITANGANYIKA KUHOJI YANAYOWEZA KUHOJIKA. HIVI KWA FIKIRA ZAKO ZANZIBA INAWEZA KUWAHUDUMIA WATU MILIONI 40 KWA ARDHI WALIONAYO? HIVI ALI HASSAN MWINYI HAMUMTAMBUI TENAKAMA MZARAMO? wACHENI UBAGUZI
hatuhitaji kuhudumiwa, tunahitaji kuitumia. wazanzibari wakija hapa wanunue na kumiliki ardhi, na sisi tukija huko kwenye midebwedo tununue na kumiliki ardhi. kwanini nyie tu ndio mmiliki yetu na sisi yenu tusimiliki, si unaona mnavyodekezwa?
 
Naunga hoja!KARUME anamiliki SEA CLIFF HOTEL,aibebe apeleke zanzibar,marais wastaafu wamejenga bara
 
Kweli umenena mzee wetu hata ardhi lisiwe suala la muungano

Nadhani mawazo yako nami nayakubali 100%.

Hakika umewaza vema na kizalendo zaidi maana kama gesi na mafuta ni kila mtu kivyake why land iwe ya pamoja, Ebo!!!
 
Kuumaliza mgogoro wa muungano ni kufanya moja kati ya haya mawili

1. Iwepo serikali moja tu ya Tanzania, Zanzibar uwe mkoa tu kama mikoa mingine ya bara.

2. Muungano ufe tu, tuwa kama kabla ya 26/4/1964
 
Kwa muungwana na muerewa wa historia na uhalisia wa tanzania na zanzibar hawezi kutaka muungano uvunjike.. Nas swala la ardhi liwe la jumuiya sababu za kiusalama zaidiii
 
Kuumaliza mgogoro wa muungano ni kufanya moja kati ya haya mawili

1. Iwepo serikali moja tu ya Tanzania, Zanzibar uwe mkoa tu kama mikoa mingine ya bara.

2. Muungano ufe tu, tuwa kama kabla ya 26/4/1964

Kutokana na chuki na jazba kutoka upande wa pili, hilo la kwanza haliwezekani kabisa labda hili la pili.
Naunga mkono wazo la kuvunja Muungano, tunaweza kusimama wenyewe hata bila hao watu milioni oja wa upande wa pili.
 
Back
Top Bottom