ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Hii sio shidah. Kwan yote hayo yanaepukika before hata hujanunua iyo ardhi.
- uwekezaji kwenye ardhi pia una risk
- unaweza kununua ardhi kumbe ni ardhi iliyotengwa Kwa ajili ya maeneo ya wazi, sehemu ya viwanda,hifadhi ya barabara,hifadhi ya vyanzo vya maji, hifadhi ya miundombinu ya maji like dawasa, pia kunaweza kukawa na migogoro ya ardhi.
Hii sio shidah. Kwan yote hayo yanaepukika before hata hujanunua iyo ardhi.
Izi shida nyingi unasema zinaepukika ndg may be kama mtu hafati utaratibu unaotakiwa kisheria.-Cha muhimu ni kufanya diversification
- yana epukika kweli lakini sio yote.
- Wakazi wa kimara waliobomolewa nyumba hawakujua upana wa barabara
- Kuna utapeli pia kwenye ardhi i.e double allocation unanunua ardhi ya mtu
- Kwa mtu anayejitafuta kama sisi vijana kununua ardhi halafu usubiri upande thamani wengi wetu tunaona sio
Huo ndio ukweli mkuu kuwekeza kwenye real estates kunahitaji ambao tayari wana mitaji mikubwa ila kwa mtu anaeanza yani ndio kwanza umebahatisha milioni 5 za kujiunga unga tayari ukimbilie kwenye ardhi ambayo itakuja kukupa faida baada ya miaka 10 hii sio sawa, kwa mtaji mdogo sio sawa nakataa.Habari zenyu wana JF
Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi.
Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?
Kwahyo unamsema kocha wa piesijii😆Kwa mfumo wako huo ungekua KOCHA tunasema unashambulia Sana bila kujilinda, siku ukiingia kwenye mfumo ukifeli kidogo unapigwa mvua.
Ndio hvyoKwahyo unamsema kocha wa piesijii😆
Ni kweli risks zipo lakini kwa mtu makini anaweza akaziepuka kwa kuzingatia utaratibu wa manunuzi ya ardhi mfano kabla hajalipa kuuliza majirani wa eneo husika kinachoendelea kwenye ardhi anayotaka kuinunua so kama pana mgogoro unaambiwa mapema.
- uwekezaji kwenye ardhi pia una risk
- unaweza kununua ardhi kumbe ni ardhi iliyotengwa Kwa ajili ya maeneo ya wazi, sehemu ya viwanda,hifadhi ya barabara,hifadhi ya vyanzo vya maji, hifadhi ya miundombinu ya maji like dawasa, pia kunaweza kukawa na migogoro ya ardhi.
Sawa kaka but ni muhimu kuwa financially stable kabla ya kuwekeza kwenye ardhiAcha kupotosha watu, mwaka huu nimeunguza karibia milioni 8 Kwa kufosi biashara.
Akili inanituma kuwekeza kwenye ardhi ( viwanja na mashamba) Kwa sasa. Huyo ndiyo mkombozi asiyesaliti.
Habari zenyu wana JF
Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi.
Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?
Mkuu!Sawa kaka but ni muhimu kuwa financially stable kabla ya kuwekeza kwenye ardhi
- Usiende serikali ya mtaa kwenda kuulizia matumizi ya eneo mara nyingi Huwa wanadanganya Ili wapate ile % yao, manispaa au halmashauri ya maji.Ni kweli risks zipo lakini kwa mtu makini anaweza akaziepuka kwa kuzingatia utaratibu wa manunuzi ya ardhi mfano kabla hajalipa kuuliza majirani wa eneo husika kinachoendelea kwenye ardhi anayotaka kuinunua.
Kuhusu kutengwa kwa shughuli za kijamii kwenda serikali ya mtaa husika kuulizia ramani ya eneo zima na kuangalia,ardhi bado ni salama sana kuweka hela japo ajali inaweza kutokea pia.
Kwenye mfano wangu pale juu yule aliyepewa 63 mill assuming alipanunua kwa 5mill (japo haikufika kwa sababu viwanja vyetu vinafanana ukubwa kidogo na muuzaji alikuwa mmoja) baada ya 14 years amekuja kupauza 63mill kwamba 63-5=58 yaani faida 58mil unataka kusema huu ni uwekezaji wenye hasara?Shida ni baada ya mda mrefu kama hapo ni 14yrs
Ni huzuni kwa kweli. Mtoa elimu anahitaji elimu.Kwa mfumo wako huo ungekua KOCHA tunasema unashambulia Sana bila kujilinda, siku ukiingia kwenye mfumo ukifeli kidogo unapigwa mvua.
Pole sana kwa ushauri ardhi ni asset sahihi kabisa kati ya asset zote kwanza inapanda samani kila kukichaHabari zenyu wana JF
Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi.
Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?
Kwenye mfano wangu pale juu yule aliyepewa 63 mill assuming alipanunua kwa 5mill (japo haikufika kwa sababu viwanja vyetu vinafanana ukubwa kidogo) baada ya 14 years amekuja kupauza 63mill kwamba 63-5=58 yaani faida 58mil unataka kusema huu ni uwekezaji wenye hasara?
Kiwanja kimekaa tu halipii kodi,halipii ulinzi maji au license?mkuu hesabu zako za kwenye makaratasi huku mitaani hatuzizingatii sana hiyo 5mill aliyoiwekeza wakati ule isingetosha kuanzisha biashara itakayompa leo faida ya million 58 kwa wakati mmoja wakati faida aliyoipata kutokana na mtaji wa mill tano anaweza akaanzisha biashara ya kumpa faida ya huo mtaji kila mwezi.
Usitumie nguvu kumwelekeza mtuKwenye mfano wangu pale juu yule aliyepewa 63 mill assuming alipanunua kwa 5mill (japo haikufika kwa sababu viwanja vyetu vinafanana ukubwa kidogo) baada ya 14 years amekuja kupauza 63mill kwamba 63-5=58 yaani faida 58mil unataka kusema huu ni uwekezaji wenye hasara?
Kiwanja kimekaa tu halipii kodi,halipii ulinzi maji au license?mkuu hesabu zako za kwenye makaratasi huku mitaani hatuzizingatii sana hiyo 5mill aliyoiwekeza wakati ule isingetosha kuanzisha biashara itakayompa leo faida ya million 58 kwa wakati mmoja wakati faida aliyoipata kutokana na mtaji wa mill tano anaweza akaanzisha biashara ya kumpa faida ya huo mtaji kila mwezi.
Mkuu kutafuta hela hakuna kituo maana tunaandika hapa kana kwamba mtu akipata hela yake kidogo basi atakuwa ameji-limit kwamba asiendelee kufanya kile alichofanya kikampa hiyo hela eg ajira,winga au udalali basi atoke akaanzishe biashara,ila tujue pia kwamba kwenye biashara kadiri mtaji unavyokuwa mdogo ndivyo inavyompa ugumu mmiliki kuiendesha na kuwa failed.-
- hoja yake ni inachukua muda mrefu,
- na Msingi wa thread hii ni kwamba kama bado unajitafuta umepata hela ya ngama letsay 4m kuinunulia ardhi halafu usubiri ipande thamani ni changamoto kidogo.