- cha muhimu mimi naona ni kufanya diversification tu, yaani unanunua ardhi, unaweka kidogo Utt, unakuwa pia na biashara like tigopesa/mpesa/airtel money,Mkuu kutafuta hela hakuna kituo maana tunaandika hapa kana kwamba mtu akipata hela yake kidogo basi atakuwa ameji-limit kwamba asiendelee kufanya kile alichofanya kikampa hiyo hela eg ajira,winga au udalali basi atoke akaanzishe biashara,ila tujue pia kwamba kwenye biashara kadiri mtaji unavyokuwa mdogo ndivyo inavyompa ugumu mmiliki kuiendesha na kuwa failed.
Hata wengi walionunua hizo ardhi na leo wanaziuza kwa bei kubwa hawakuwa na lengo la kuziuza au hawakujua zitakuja kuwa na thamani kubwa kiasi hiki sababu hawakuzinunua kibiashara,my point is mtu akipata hiyo mill 4,(sisemi 20mil sababu huo tayari ni mtaji japokuwa kama anahisi hana idea sahihi ya biashara bora na yenyewe akaitia kwenye ardhi) aiweke kwenye ardhi huku akiendelea kujazia mtaji siku akiona anaweza akafanya kitu akauze kiwanja ajazie afungue biashara kuliko kulazimisha biashara na mtaji mdogo.
Wewe umewekeza kwenye nini huko unapata faidaHabari zenyu wana JF
Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi.
Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?
2023 nimenunua ardhi shamba kwa tsh 33 Million asah hv nauza kwa kwa tsh 100 million mteja kapatikanaMara nyingi huwa naamini wenye mawazo kama haya hawajawahi kufanya biashara kwani biashara ni ngumu sana,kuzungusha hela izae hela na iwe endelevu siyo kazi ndogo ni nusu uwendawazimu ndiyo maana watu huwa wanaamua kiasi fulani cha pesa wakiweke kwenye ardhi kama backup kwa sababu ndiyo kitu pekee kisichopungua thamani kiwepesi.
Ninapoishi jirani kuna mwenzangu tulinunua wote mwaka 2008 mimi nililipa Tsh 3mill na point yeye sijui ilikuwa bei gani but juzi Feb alinitangazia anauza offer yake ilikuwa 70mill mnunuzi aliyepatikana akampa Tsh 63mill,Goba nina jamaa yangu alinunua ardhi chini ya 4mill mwaka 2011 mwaka jana mwishoni akapauza kwa 50Mill,uwekezaji wa ardhi na nyumba unampa mtu guarantee ya kupata hela kesho wakati mwenye biashara anaweza akakosea kidogo hesabu akaamka na tra wakamfilisi akarudi zero.
Sahihi mkuu, mwaka huu nimekula hasara ya Milioni 8 kwenye biashara. Najiuliza hiyo pesa ningepeleka kwenye mashamba huko Songwe ndani ndani ningechungia hata ng'ombe.2023 nimenunua ardhi shamba kwa tsh 33 Million asah hv nauza kwa kwa tsh 100 million mteja kapatikana
Kuna eneo nilinunua kwa tsh 40 million 2019 juzi hapa wachina wamefika kwa 250 million ila sijauza kwani nina project nalo
Ardhi ni uwekezaji mzuri kwa mtu ambaye hana muda wa kufanya biashara
Mfano mtumishi wa umma
Uko correct sn zaidi ya sn me naona ardhi kwa mtu ambae hana uzoefu wa biashara n nzuri sn na kama umebahatisha hela hujawah fanya biashara yyte n bora ukawekezavkwenye ardhi mana ukiingia kwenye biashara n ngumu kutoboa biashara inataka ile unaanza mdogo mdogo mwisho wa siku inakuwa sio leo hii umepata hela yako ya urithi ghaflauanzishe biashara hutoboi ndo mana wastaafu wengi wamefeli kwenye biashara2023 nimenunua ardhi shamba kwa tsh 33 Million asah hv nauza kwa kwa tsh 100 million mteja kapatikana
Kuna eneo nilinunua kwa tsh 40 million 2019 juzi hapa wachina wamefika kwa 250 million ila sijauza kwani nina project nalo
Ardhi ni uwekezaji mzuri kwa mtu ambaye hana muda wa kufanya biashara
Mfano mtumishi wa umma
Ok sw hakuna shidamtu wa system habari yako mkuu, naomba connection
Inategemea na sehemu ardhi ilipo na ukuaji wa mji pia ongezeko la watu.Mara nyingi huwa naamini wenye mawazo kama haya hawajawahi kufanya biashara kwani biashara ni ngumu sana,kuzungusha hela izae hela na iwe endelevu siyo kazi ndogo ni nusu uwendawazimu ndiyo maana watu huwa wanaamua kiasi fulani cha pesa wakiweke kwenye ardhi kama backup kwa sababu ndiyo kitu pekee kisichopungua thamani kiwepesi.
Ninapoishi jirani kuna mwenzangu tulinunua wote mwaka 2008 mimi nililipa Tsh 3mill na point yeye sijui ilikuwa bei gani but juzi Feb alinitangazia anauza offer yake ilikuwa 70mill mnunuzi aliyepatikana akampa Tsh 63mill,Goba nina jamaa yangu alinunua ardhi chini ya 4mill mwaka 2011 mwaka jana mwishoni akapauza kwa 50Mill,uwekezaji wa ardhi na nyumba unampa mtu guarantee ya kupata hela kesho wakati mwenye biashara anaweza akakosea kidogo hesabu akaamka na tra wakamfilisi akarudi zero.
Uko correct sn zaidi ya sn me naona ardhi kwa mtu ambae hana uzoefu wa biashara n nzuri sn na kama umebahatisha hela hujawah fanya biashara yyte n bora ukawekezavkwenye ardhi mana ukiingia kwenye biashara n ngumu kutoboa biashara inataka ile unaanza mdogo mdogo mwisho wa siku inakuwa sio leo hii umepata hela yako ya urithi ghaflauanzishe biashara hutoboi ndo mana wastaafu wengi wamefeli kwenye biashara
Vipi suala la kununua ardhi mikoa tofauti na kujenga broh mfano nanunua dar najenga nanunua tabora najenga nanunua arusha ivo yaan au kununua sehem moja ukawekeza mm nna mpango huo wa kuwekeza kwenye ardhi biashara nimefeli snCha msingi chukua taadhali kabla ya kununua ardhi
1. Fanya screening kujua matumizi yake mfano
makazi , shule au msikiti Hiyo kazi inafanya na surveyor mi huwa natoa hata 50,00 anachukua cordinate za enea na kwenda ardhi kucheki matumizi
2. Nunua eneo ambalo halina mgogoro
Huwa sinunue eneo la familia au urithi
3. Jitahidi uwe na documents halali baada ya kununua , mfano hati
Kwa mtu yeyote,ni asset ambayo kwanza huwezi ibadili kuwa liquid Kwa haraka na ukilazimisha lazima uuze chini ya value yake.Habari zenyu wana JF
Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi.
Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?
Hiyo ni nzuri kama utajenga sehemu ambayo inaVipi suala la kununua ardhi mikoa tofauti na kujenga broh mfano nanunua dar najenga nanunua tabora najenga nanunua arusha ivo yaan au kununua sehem moja ukawekeza mm nna mpango huo wa kuwekeza kwenye ardhi biashara nimefeli sn
wellVipi suala la kununua ardhi mikoa tofauti na kujenga broh mfano nanunua dar najenga nanunua tabora najenga nanunua arusha ivo yaan au kununua sehem moja ukawekeza mm nna mpango huo wa kuwekeza kwenye ardhi biashara nimefeli sn
Inategemea kazi ya mtu.Ardhi sio uwekezaji kwa mtu anayejitafuta
Uko sw ajira rasmi uwekezaji wake n kwenye ardhi tu hata wasanii siku izi unawaona wanawekeza sn kwenye ardhi biashara n kitu kinahitaji umakini sn na icho kitu kinahitaji ukianze ukiwa na umri mdogo ndo mana wenzetu wahindi na waarabu wanawarithisha watoto wao mapema leo hii mtu una miaka 35 au 40 uanze biashara kwenye 100 labda 10 tu ndo watafanikiwa biashara n process mtt wa bakhresa au wajaukuu wake n simple kutoboa ila sio mtu from no where uanzishe biashara unaweza pewa milion 100 ukafilisi zote halaf kuna mtu kapewa milion 5 akatoboa akazalisha iyo milion 100Inategemea kazi ya mtu.
Kama upo kwenye ajira rasmi, uwekezaji kwenye ardhi ni chaguo bora zaidi, maana ukijiingiza kwenye biashara wakati huna muda wa kutosha kusimamia wala ujuzi juu ya biashara husika, watu utakaoweka kusimamia watakuliza vibaya.
Kwa ardhi unatakiwa tu kuwa makini wakati wa kununua usiingizwe mkenge. Ukifanikiwa kununua sehemu nzuri, ni suala la muda tu unapata pesa ndefu.
Vinginevyo kama huna ajira rasmi, jikite kwenye biashara
Wewe una akili sana. Nunua ardhi kwa kadri uwezavyo. Jitese miaka minne, mwaka wa tano utafurahia maisha.Mara nyingi huwa naamini wenye mawazo kama haya hawajawahi kufanya biashara kwani biashara ni ngumu sana,kuzungusha hela izae hela na iwe endelevu siyo kazi ndogo ni nusu uwendawazimu ndiyo maana watu huwa wanaamua kiasi fulani cha pesa wakiweke kwenye ardhi kama backup kwa sababu ndiyo kitu pekee kisichopungua thamani kiwepesi.
Ninapoishi jirani kuna mwenzangu tulinunua wote mwaka 2008 mimi nililipa Tsh 3mill na point yeye sijui ilikuwa bei gani but juzi Feb alinitangazia anauza offer yake ilikuwa 70mill mnunuzi aliyepatikana akampa Tsh 63mill,Goba nina jamaa yangu alinunua ardhi chini ya 4mill mwaka 2011 mwaka jana mwishoni akapauza kwa 50Mill,uwekezaji wa ardhi na nyumba unampa mtu guarantee ya kupata hela kesho wakati mwenye biashara anaweza akakosea kidogo hesabu akaamka na tra wakamfilisi akarudi zero.
Mi huwa, naamini, katika kuwekeza katika ardhi, nyumba, chakula, idadi ya watu inaongezeka, ardhi itahitajika Sana, cha msingi ni kuangalia unanunua wapi,Habari zenyu wana JF
Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi.
Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?
-afande IGP alinunua zamani lakini, alikuwa na position nzuri sana kwa sababu alikuwa ofisa,Mi huwa, naamini, katika kuwekeza katika ardhi, nyumba, chakula, idadi ya watu inaongezeka, ardhi itahitajika Sana, cha msingi ni kuangalia unanunua wapi,
Ukinunua heka moja bukoba kwa laki, 5,na, ukanunua heka, moja Dodoma kwa milioni tatu, baada ya mwaka mmoja,heka ya Dodoma Ina thamani Mara 20,ya, ile ya Bukoba,
Hv unasemaje ardhi sio kitu cha maana,eti ni kuzika pesa,kama upo Dar, ukipita njia ya, Goba, au, madale Yale maflemu, maduka, apartments zilizojaa, zimejengwa hewani!?
Huyu IGP, wa sasa, nasikia amejenga apartment kibao Goba, za, ghorofa moja moja, alinunua kabla rami haijajengwa! Leo Je! Wenye akili ndogo ndio, huamini ardhi ni kupoteza pesa, sasa unataka vijana wakauze simu na cover sake kariakoo, au, nguo mwenge? Au,