- uwekezaji kwenye ardhi pia una risk
- unaweza kununua ardhi kumbe ni ardhi iliyotengwa Kwa ajili ya maeneo ya wazi, sehemu ya viwanda,hifadhi ya barabara,hifadhi ya vyanzo vya maji, hifadhi ya miundombinu ya maji like dawasa, pia kunaweza kukawa na migogoro ya ardhi.
kuna miradi ya serikali hawachelewi kukupora halafu unaambiwa ardhi ni mali ya serikali
- hiyo sio sahihi Katiba inatoka haki ya kumiliki mali,na mali inajumuisha hadi ardhi.
- Sheria ya Ardhi inaeleza fidia ilipwe pale ardhi inapochukuliwa ambayo ni fair,and prompt compensation
- Sheria ya Utwaji Ardhi imetoa haki ya kulipwa fidia Kwa wananchi
Mfano wapini kweli, ila jamaa wameshanyang'anya wengi bila ya kuwalipa
Labda kama ni wavamizi lakini kama wanamiliki kihalali na mradi umewakuta Fidia ni Lazimani kweli, ila jamaa wameshanyang'anya wengi bila ya kuwalipa
Hamna ishu za ivyo labda ilo eneo uwe umevamia au umenunua watu washakulaga hela zaman hukoni kweli, ila jamaa wameshanyang'anya wengi bila ya kuwalipa
inaonekana umejipata kakaMi huwa, naamini, katika kuwekeza katika ardhi, nyumba, chakula, idadi ya watu inaongezeka, ardhi itahitajika Sana, cha msingi ni kuangalia unanunua wapi,
Ukinunua heka moja bukoba kwa laki, 5,na, ukanunua heka, moja Dodoma kwa milioni tatu, baada ya mwaka mmoja,heka ya Dodoma Ina thamani Mara 20,ya, ile ya Bukoba,
Hv unasemaje ardhi sio kitu cha maana,eti ni kuzika pesa,kama upo Dar, ukipita njia ya, Goba, au, madale Yale maflemu, maduka, apartments zilizojaa, zimejengwa hewani!?
Huyu IGP, wa sasa, nasikia amejenga apartment kibao Goba, za, ghorofa moja moja, alinunua kabla rami haijajengwa! Leo Je! Wenye akili ndogo ndio, huamini ardhi ni kupoteza pesa, sasa unataka vijana wakauze simu na cover sake kariakoo, au, nguo mwenge? Au,
Ardhi Ujenzi wa nyumba ya kuishiHabari zenyu wana JF
Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi.
Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?
Unakosaje alternative ya biashara yyte ya kufanya kweliNadhani ikiwa pesa/fedha ulio nayo huna alternative nyingine ya uwekezaji, wekeza kwenye ardhi. Naunga hoka