Ardhi University(ARU) - Special Thread

Young mesult Nan dogo mi sio mdogo wako na sihitaji msaada kutoka kwako ni graduate mda sana na nna kazi kusema sielewi issue za building economics c kwamba nataka msaada
 
Last edited by a moderator:
 
Quantity surveyor ni pana sana pia una nafasi nyingi sana za ajira mimi ni procurement officer nina fanya kazi na quantity surveyor ki ukweli jamaa anajua vingi sana yani procurement mpaka construction na nikikwama mambo ya procurement especially kwenye regulation and act ni bonge la msaada yani kwa kifupi cozi yangu ya procurement ipo ndani ya iyo building economics, kasome ni nzuri
 
??What about geomatics?


geomatics is one among the best courses offered
at ardhi university.. msuli wake sio wa kitoto.
kwa kweli no mgumu. lakini una matunda sana..
geomatics inahusu land surveying, upimaji wa
ardhi. inadili sana.. kuanzia chuoni utaanza
kupata pata vidili vya watu wanaotaka kupimiwa
vipande vyao vya ardhi.. kutafuta hati... au
kulocate tu shamba lake au kiwanja chake kujua
kina ukubwa gani na features zilizomo.. pia
kwenye ujenzi wa projects kama barabara,reli,
majengo wakati mwingine, waliosoma geomatics
wanahusika sana kulocate na kushauri wakati wa
kudesign.. advantage ingine ya hii course ni kua
ni rahisi kujiairi. capital yako iko kichwani mwako
sana sana.. ukimfanyia mteja mmoja kazi nzuri
kesho atakutangaza kwa ndugu zake.. hivyo
hivyo your network grows. ni uaminifu tu
unaohitajika. hayo ni yangu tu mkuu. i hope
nitakua nimekupa mwanga kidogo japokua mimi
sio surveyor but i have a lot of friends ambao ni
masurveyor
 
aiseee nataka more detail za architecture
 
Mwambie asome mkuu ila ajitahidi afaulu vizuri tu ,hapa nilipo huku kuna wa Zimbabwe ndo wamejaa walisoma hiyo mkuu .kwenye construction industry wanahitajika mpaka kweye miradi mikubwa.Jamaa wana miaka 10 tangu wamazile chuo lakini wameshafanya kazi karibu nchi 4.Wameshazunguka dunia mpaka uarabuni kufanya kazi hizo .Tatizo wabongo hatuko aggressive na hatujiamani kama tunaweza.Hata kama rangi ya ngozi yako inaweza kua kikwazo mara nyingine lakini we angalia mbele na komaa tu .In brief aendelee na course yake kama kawaida
 
Mwambie asome mkuu ila ajitahidi afaulu vizuri tu ,hapa nilipo huku kuna wa Zimbabwe ndo wamejaa walisoma hiyo mkuu .kwenye construction industry wanahitajika mpaka kweye miradi mikubwa.Jamaa wana miaka 10 tangu wamazile chuo lakini wameshafanya kazi karibu nchi 4.Wameshazunguka dunia mpaka uarabuni kufanya kazi hizo .Tatizo wabongo hatuko aggressive na hatujiamani kama tunaweza.Hata kama rangi ya ngozi yako inaweza kua kikwazo mara nyingine lakini we angalia mbele na komaa tu .In brief aendelee na course yake kama kawaida
 
tofauti ya geomatics na geoinformatics ni ipi?
kiutendaji? kwenye kupata kazi? inayolipa zaidi?
 
Jamani naomba mniambie ubora wa kozi ya environmental engineering hapo ardhi university kwenye soko la ajira iko vipi wadau.
Msaada jamani
 
Chuo Ardhi ni moja kati ya vyuo vyenye course nzuri ambazo ni marketable ila fahamu tu ni miaka minne mpaka mitano uko darasani, course za miaka 3 zipo tatu tu, BSc. Economics, BSc Community Development ,,,,,,,,

Kwahiyo ni kusoma kwa kwenda mbele. Muda mwingi utakuta vijana wako madarasani mpaka usiku wa manane wakichora na wakati mwingine asubuhi inakukuta darasani.

Vijana wengi wamekuwa wakifanikiwa sana, hakuna anayekosa kazi, labda uwe umefeli na hukumaliza course yako. Ukadisco.

Karibuni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…