Blessingme
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 250
- 52
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asisome..ni majanga hii kozi..labda kama babake ana kampun hapo sawa.hiv
jamaa kanys boya kweli ni aina ya watanzania ambao hawajui na wanajitia wanajua...dogo huyu anakukatisha tamaa tu hajui chochote kuhusu BE kwa kifupi kijana kozi ipo marketable saàaaaaaaaana
kwanza iinapatikana au inatolewa chuo kikuu ardhi na nairobi africa mashariki na kati
hapa tanzania hakuna diploma wala certificates ya BE ni bachelor tu na ipo ardhi pekee
kwa mwaka ardhi inatoa graduates not more than 150 graduates you can see au marketable it is hawana competition kabisaaaaaa
haya tukija kwenye ajira tambua ukigraduate unaitwa guantity surveyor(gs) yani unatathimini gharama za ujenzi.....tanzania kuna makampuni kibao kweli ya ujenzi kama umepga zako gpa nzuri kuanzia 3.5 nakuhakikishia hautazunguka na baasha kabsa watu wanaanza kupiga madili kuanzia mwaka watatu na uzuri hata kwenye makampuni ya wachina wanakuja na techinical team yao lakini QS lazma awe mbongo ili kufanya negotiation na consultations na kubring up quarries zinazojitokeza kweny site kwani hawajui kizungu kabsa na wajua kiswahili cha kubahatisha na hapo ndio inapokuja haja ya kuwaajiri watz
haya ukija kwenye mpunga au salary aisee hawa jamaa wanakula pesa sana tambua kwenye ujenzi wa majengo gs analipwa 7%ya gharama yote ya ujenzi(consultant qs) wajuvi wataelew hapa haya piga hesabu kama jengo linagharimu bilioni 3 unapata ngapi
kwa kifupi kwenye construction industry ukianza na babalao Arhitect civil engineer quantity surveyor tanzania bado inaitaji san na ni rahisi saaaaana kujiajiri Ardhi pale watu wanauza ramani bdo wanabukua
Usimdanganye mwenzio! Nina big exp na hii kozi..yani si ya kusoma kama unategemea ajira serikalin etc tuwe wakweli
Usimdanganye mwenzio! Nina big exp na hii kozi..yani si ya kusoma kama unategemea ajira serikalin etc tuwe wakweli
dogo hujui bora ukae kimya......
Usimdanganye mwenzio! Nina big exp na hii kozi..yani si ya kusoma kama unategemea ajira serikalin etc tuwe wakweli
mkuu unasomea nini? labda tuanzie hapo yaweza kuwa si matatizo yako pili upo chuo gani? manake hujui mpaka kero
??What about geomatics?
aiseee nataka more detail za architecturehahahahahaahahah,,, mkuu, hata kama ni ukweli,umeusema directly sana!!! Daah,, yani umemkata huyu dogo maini kweli kweli,,, inawezekani mimi nilikua mmoja wa wanafunzi wako mwalimu, kwasababu nimemaliza ardhi university - bachelor of architecture few yearz back,.. Heshma mbele mwalimu!!!
mimi ni mhadhiri ARU hufai hata kujiunga na chuo cha ardhi Tabora ambapo tunatoa diploma. Labda kama una interest na ardhi uombe Certificate Morogoro.