Ardhi University(ARU) - Special Thread

Ardhi University(ARU) - Special Thread

Hongereni mliochaguliwa ardhi, dit na must mpaka sasa wamekaza duuuh

Vyuo vya ufundi bila diploma holders ni ngumu kutoa majina na mwaka huu kwa diploma kwenda degree kumecheleweshwa sana ndiyo maana hakuna diploma holder ata mmoja amejua kaenda wap?, kwahiyo ukisikia Nacte wametoa selection kwa watu wa diploma kwenda degree haitachukua muda utaona Dit,Must wanaachia majina yote kwa pamoja
 
Aaaaah poa mkuu ngoja tuwavungie kwanza
 
Ww umechaguliwa Ardhi au wauliza tu?anyway hostel za chuo ni 120000/semister,vyumba vya kupang nje ni 60000 kuendlea ukoo,
Sehemu gani naweza pata kwa being rahisi mkuu nje ya chuo?
 
Wakati naanza chuo pale kila mtu ukimwambia ninasoma BE atakupa hongera kozi nzuri sana ajira nje nje na blah blah kibao.., nimemaliza shule Naendelea kuisoma namba.. sijui zisingekua 'site' tungeishije mjini
 
Wakuu, msaada nimepiga HGL nataka nikapige bachelor of environment science and management""" O-LEVEL NIMEPASS MASOMO YA SCIENCE ILa MATHEMATICS TU# Nina f
 
мм иι кιʝαиα иιℓιємαℓιzα кι∂αтσ ¢нα ииє мωαкα ʝαиα иιиα υfαυℓυ ωα 4 уα ρσιит 26 иιиα C ya geography C ya English, C ya kiswahili, afu masomo ya civics, history, bios, nina D na math F sasa nauliza naeza pata chuo cha ardhi kwa Course ya land management kweli naombeni msaaada wenu jamaaaaan
 
Back
Top Bottom