Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Hapa http://www.aru.ac.tz/images/admission2016/LIST OF UG ADMISSION 2016-2017-FIRST SELECTION website.pdfArdhi washatoa selection mwenye link atupie apa
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] mkuu
mbona sion???????????????????😱😱😱Majina ya waliochaguliwa kujiunga ardhi University first batch
Www.aru.ac.tz
[emoji120]Hongereni mliochaguliwa ardhi, dit na must mpaka sasa wamekaza duuuh
Hongereni mliochaguliwa ardhi, dit na must mpaka sasa wamekaza duuuh
Aaaaah poa mkuu ngoja tuwavungie kwanzaVyuo vya ufundi bila diploma holders ni ngumu kutoa majina na mwaka huu kwa diploma kwenda degree kumecheleweshwa sana ndiyo maana hakuna diploma holder ata mmoja amejua kaenda wap?, kwahiyo ukisikia Nacte wametoa selection kwa watu wa diploma kwenda degree haitachukua muda utaona Dit,Must wanaachia majina yote kwa pamoja
Chuo kizuri ila majengo mabovu kama nini.
Sehemu gani naweza pata kwa being rahisi mkuu nje ya chuo?Ww umechaguliwa Ardhi au wauliza tu?anyway hostel za chuo ni 120000/semister,vyumba vya kupang nje ni 60000 kuendlea ukoo,