Ardhi University(ARU) - Special Thread

Ardhi University(ARU) - Special Thread

Kama haujasoma physics o level ndio hauna qualification maana wanataka atleast uwe na subsidiary pass in physics at o level
 
Kama haujasoma physics o level ndio hauna qualification maana wanataka atleast uwe na subsidiary pass in physics at o level
Sawa nimekupata,, So kwa matokeo hayo siwezi soma course yoyote inayohusiana na Ardhi??
 
Wadau was ARU hivi kwa matokeo haya naweza soma Course ya Buildings economics,,

A_level
AdvMath-C
Economics -C
Geography-D

Na Olevel Physics nlipata F
ARU Wanaangalia Sana o level sidhani kama atafanikiwa maana competition ni kubwa
 
Kwenye matokeo yangu advance nina D-CHEM,D-BIOLOGY,E-PHY, o-level nina Eng-B,Chem-B,Bio-A,Phys-C,Maths-C, kwa matokeo hayo, hapo ARU naeza pata nafasi..? Naombeni ushauri, natarajia kuapply mwaka huu.!!
 
Ukija hapa ARU zingatia sheria , maana hapa SYSTEM INA consider sheria zilizowekwa na senate . Mzee karibu sana .
 
Ukija hapa ARU zingatia sheria , maana hapa SYSTEM INA consider sheria zilizowekwa na senate . Mzee karibu sana .
Kwa matokeo hayo niliyoweka hapo juu kwenye comment #371, ni course gani ya engineering naweza kusoma hapo ARU.? Naombeni kufahamishwa.
 
Kwa matokeo hayo niliyoweka hapo juu kwenye comment #371, ni course gani ya engineering naweza kusoma hapo ARU.? Naombeni kufahamishwa.
Mie sio staff wa hapa , ila kuna course kama environment engineering , geo-matics , ila omba sana , upepo wa mwaka huu husike mkali maana , madogo wengi watafaulu sana , coz of covid-19 , mie yangu hayo tu .
 
Kama hautojali, unaeza kunipatia mwanga japo kidogo kuhusu Course ya Environmental engineering, vitu kama vile sehemu ambayo inawezakuwa applicable, na soko lake kwasasa hapa tz.
Unaweza fanya kazi sehemu zifuatazo
Serikalini
1.Idara zote za maji kama water engineer au sewarage engineer.

2.Halmashauri zote na migodini kama environmental officer.

3 Government chemistry laboratory authority kama chemist.

4.Hospitali kubwa mfano muhimbili kama environmental officer hapa utadeal na solid na hazard wastes management as well as disposal.

5.TIRDO hapa unaweza fanya kazi kama assistant researcher kama umemasta vizuri thermofluids(hii ni optional course mwaka wa tatu).

6.TBA hapa kuna tenda nyingi za ujenzi na zote zinahitaji kufanyiwa assessment ni kiasi gani zitaathiri mazingira. Hii inaitwa environmental impact assessment (EIA).

Sekta binafsi
1.Viwandani mfano viwanda vya vinywaji na cement kama waste water treatment engineer.

2. Miradi ya maji chini ya USAID mfano WASH program.

3.Dealer wa pump za maji kwenye kampuni mbali mbali.

4.Kampuni za ujenzi wa majengo, Miradi ya barabara, ujenzi wa mabwawa nk. Hapa utafanya EIA. Mfano mradi wa SGR na ujenzi wa bwawa la nyerere environmental engineers ni moja ya watu muhimu waliopo kufanikisha Miradi hiyo.
Karibu sana.
 
Unaweza fanya kazi sehemu zifuatazo
Serikalini
1.Idara zote za maji kama water engineer au sewarage engineer.

2.Halmashauri zote na migodini kama environmental officer.

3 Government chemistry laboratory authority kama chemist.

4.Hospitali kubwa mfano muhimbili kama environmental officer hapa utadeal na solid na hazard wastes management as well as disposal.

5.TIRDO hapa unaweza fanya kazi kama assistant researcher kama umemasta vizuri thermofluids(hii ni optional course mwaka wa tatu).

6.TBA hapa kuna tenda nyingi za ujenzi na zote zinahitaji kufanyiwa assessment ni kiasi gani zitaathiri mazingira. Hii inaitwa environmental impact assessment (EIA).

Sekta binafsi
1.Viwandani mfano viwanda vya vinywaji na cement kama waste water treatment engineer.

2. Miradi ya maji chini ya USAID mfano WASH program.

3.Dealer wa pump za maji kwenye kampuni mbali mbali.

Nimeipenda.Vp wewe umesomea kazi gani..?
 
Kwa ufaul wa EDD (PCM) coz gani ipo nzuri mdogo angu anawezasoma?
 
Wakuu kwa mtu aliyesoma cbg A level anaweza soma coz gani hapo ardhi university
 
Back
Top Bottom