Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nimekupata,, So kwa matokeo hayo siwezi soma course yoyote inayohusiana na Ardhi??Kama haujasoma physics o level ndio hauna qualification maana wanataka atleast uwe na subsidiary pass in physics at o level
Sawa ndugu,,Ngoja nichekiZipo mkuu wewe pitia kitabu cha TCU utaziona
Sawa nimekupata,, So kwa matokeo hayo siwezi soma course yoyote inayohusiana na Ardhi??
ARU Wanaangalia Sana o level sidhani kama atafanikiwa maana competition ni kubwaWadau was ARU hivi kwa matokeo haya naweza soma Course ya Buildings economics,,
A_level
AdvMath-C
Economics -C
Geography-D
Na Olevel Physics nlipata F
Bachelor of Science in Building Economics (B.Sc. BE) unasoma dogo we apply utakuja nishukuru baadae.
Competition?? Me nadhani matokeo nayo yanachangia au wataka kusema ARU wanachukua Div 1 tuu,,ARU Wanaangalia Sana o level sidhani kama atafanikiwa maana competition ni kubwa
Kwa matokeo hayo niliyoweka hapo juu kwenye comment #371, ni course gani ya engineering naweza kusoma hapo ARU.? Naombeni kufahamishwa.Ukija hapa ARU zingatia sheria , maana hapa SYSTEM INA consider sheria zilizowekwa na senate . Mzee karibu sana .
Mie sio staff wa hapa , ila kuna course kama environment engineering , geo-matics , ila omba sana , upepo wa mwaka huu husike mkali maana , madogo wengi watafaulu sana , coz of covid-19 , mie yangu hayo tu .Kwa matokeo hayo niliyoweka hapo juu kwenye comment #371, ni course gani ya engineering naweza kusoma hapo ARU.? Naombeni kufahamishwa.
Environmental engineering utapata.Kwa matokeo hayo niliyoweka hapo juu kwenye comment #371, ni course gani ya engineering naweza kusoma hapo ARU.? Naombeni kufahamishwa.
Kama hautojali, unaeza kunipatia mwanga japo kidogo kuhusu Course ya Environmental engineering, vitu kama vile sehemu ambayo inawezakuwa applicable, na soko lake kwasasa hapa tz.Environmental engineering utapata.
Unaweza fanya kazi sehemu zifuatazoKama hautojali, unaeza kunipatia mwanga japo kidogo kuhusu Course ya Environmental engineering, vitu kama vile sehemu ambayo inawezakuwa applicable, na soko lake kwasasa hapa tz.
Unaweza fanya kazi sehemu zifuatazo
Serikalini
1.Idara zote za maji kama water engineer au sewarage engineer.
2.Halmashauri zote na migodini kama environmental officer.
3 Government chemistry laboratory authority kama chemist.
4.Hospitali kubwa mfano muhimbili kama environmental officer hapa utadeal na solid na hazard wastes management as well as disposal.
5.TIRDO hapa unaweza fanya kazi kama assistant researcher kama umemasta vizuri thermofluids(hii ni optional course mwaka wa tatu).
6.TBA hapa kuna tenda nyingi za ujenzi na zote zinahitaji kufanyiwa assessment ni kiasi gani zitaathiri mazingira. Hii inaitwa environmental impact assessment (EIA).
Sekta binafsi
1.Viwandani mfano viwanda vya vinywaji na cement kama waste water treatment engineer.
2. Miradi ya maji chini ya USAID mfano WASH program.
3.Dealer wa pump za maji kwenye kampuni mbali mbali.
Nimeipenda.Vp wewe umesomea kazi gani..?
Unaogopa kusema matokeo Ni yako?🤔Kwa ufaul wa EDD (PCM) coz gani ipo nzuri mdogo angu anawezasoma?
haha mkuu mi nimemaliza mwaka janaUnaogopa kusema matokeo Ni yako?[emoji848]