Morogoro mjini zililetwa kopy 13 mamispaa nzima, nikaibamba kwa bodaboda moja hivi mitaa ya kigurunyembe nilipojaribu kumsihi aachie tukatoe kopi alitimua nayo mbio huyo eti naenda kukusemea manispaa. Nchi yetu hii. Raia tuko wapi haki zetu zinafichwa hivihivi
copy moja ya katiba inatakiwa isomwe na watu 432,000 (1:432,000).
Zime printiwa chache purposely!
morogoro mjini zililetwa kopy 13 mamispaa nzima, nikaibamba kwa bodaboda moja hivi mitaa ya kigurunyembe nilipojaribu kumsihi aachie tukatoe kopi alitimua nayo mbio huyo eti naenda kukusemea manispaa. Nchi yetu hii. Raia tuko wapi haki zetu zinafichwa hivihivi
sijui hazijafika? Au zinafichwa kwa faida gani. Hakuna hata copy moja sio library , kwenye idara au wakuu wa schools. Tutapigia kura nini? Kazi ipo. Hapo ni kilometer 12 tu toka magogoni je huko........
wasaliti wako kila kona hapa nchini jerhy
rasimu ya warioba ardhi university tuligawiwa wengine mbili mbili moja uwe nayo ofisini na nyingine uende nayo nyumbani. Serikali si hiyo hiyo. Mitandaoni haifunguki na sometimes hata website haifunguki.
Rasimu ya Warioba Ardhi university tuligawiwa wengine mbili mbili moja uwe nayo ofisini na nyingine uende nayo nyumbani. SERIKALI SI hiyo hiyo. Mitandaoni haifunguki na sometimes hata website haifunguki.
baada ya kugaiwa watu wote katiba ya warioba, kuna maboksi na maboksi, hayafunguliwa, zimebaki tele! Hii ya chenge, hata ceo wetu hajui ina rangi gn
unaonekana huna nia na huu mpango, nakushauri ujitahidi kutafuta kwa bidiii sehemu husika zinakopatikana ambako ni wizara ya katiba na sheria kisha uisome na kuilewea na kufanya maamuzi sahihi.
maamuzi gani sahihi.hii ni katiba ya ccm kura ni hapana
unatafuta katiba pendekezwa ya nini KURA ni HAPANA. waraka maalumu unatembea makanisani kuonyesha jinsi ccm na serikali yake walivyowahonga waislamu mahakama ya kadhi kwenye katiba huku wakijua wanavunja katiba ya jamhuri ya muungano
unatafuta katiba pendekezwa ya nini kura ni hapana. Waraka maalumu unatembea makanisani kuonyesha jinsi ccm na serikali yake walivyowahonga waislamu mahakama ya kadhi kwenye katiba huku wakijua wanavunja katiba ya jamhuri ya muungano