Ardhi university hakuna katiba pendekezwa

Ardhi university hakuna katiba pendekezwa

Baada ya kugaiwa watu wote KATIBA YA WARIOBA, kuna maboksi na maboksi, hayafunguliwa, zimebaki tele! Hii ya CHENGE, hata CEO wetu hajui ina rangi gn

Msomi gani wewe? Katiba Inayopendekezwa ipo mpaka mtandaoni. Tumia mtandao kujielimisha sio kuweka ujinga wako na kuwasambazia Watanzania mawazo ya yasiyo ya kizalendo wala yasiyotarajiwa kwa msomi kama wewe. Au wewe ni maluki wa kuchonga?
 
Copy moja ya katiba inatakiwa isomwe na watu 432,000 (1:432,000).

Zime printiwa chache purposely!


Wewe unatembea barabarani unasinzia, na hesabu zako za kupika ugali! unakurupuka tu Ardhi hakuna Katiba Pendekezwa !!!!! nyie ndo walewale mnaopoteza muda na wala hamjui taifa linaelekea wapi?endelea kulala wenzio tunasubiri kupiga kura tumeshaisoma na tumeielewa!!!!!
 
Sijui hazijafika? Au zinafichwa kwa faida gani. Hakuna hata copy moja sio library , kwenye idara au wakuu wa Schools. Tutapigia kura nini? Kazi ipo. Hapo ni kilometer 12 tu toka Magogoni je huko........


Duuu jamani kweli huyu msomi au kanjanja analalama hana katiba na wala hajaiona na wala wakuu wake wa vitengo hawajaiona anaenda mbali zaidi hata library haipo acha kukidharirisha chuo chako wewe mwenyewe mbwiga huna muda afu ona jinsi ulivyo mbugila unafikiri copy zinatoka Magogoni yaani hata hujielewi. Hebu pakua hapa na iwe yako acha kupiga kelele inaelekea kila semester una-sup wewe maana hujui unachokifanya.
 
Rasimu ya Warioba Ardhi university tuligawiwa wengine mbili mbili moja uwe nayo ofisini na nyingine uende nayo nyumbani. SERIKALI SI hiyo hiyo. Mitandaoni haifunguki na sometimes hata website haifunguki.

Nimeshaona wewe una wazimu sio bure kulazimisha mambo yasiyowezekana, unataka kuaminisha watu uongo acha uvivu mbona notice unadownload acha uongo utapelekwa jehanum ya moto wewe!
 
Msomi gani wewe? Katiba Inayopendekezwa ipo mpaka mtandaoni. Tumia mtandao kujielimisha sio kuweka ujinga wako na kuwasambazia Watanzania mawazo ya yasiyo ya kizalendo wala yasiyotarajiwa kwa msomi kama wewe. Au wewe ni maluki wa kuchonga?

Kweli kabisa unaloliongea linajionyesha wazi huyo jamaa ni kanjanja tena anakichwa cha kuku CEO wake ndio kakishikiria, sipati picha TZ ya sasa bado kuna mijitu mizembe kama huyu tena kwenye jambo serious kama hili! We ngoja na siku inakuja atakaposhangaa watu wakimiminika kupiga kura kibao kwa katiba Pendekezwa!
 
Back
Top Bottom