Ardhi university hakuna katiba pendekezwa

fisi 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
3,280
Reaction score
4,645
Sijui hazijafika? Au zinafichwa kwa faida gani. Hakuna hata copy moja sio library , kwenye idara au wakuu wa Schools. Tutapigia kura nini? Kazi ipo. Hapo ni kilometer 12 tu toka Magogoni je huko........
 
Morogoro mjini zililetwa kopy 13 mamispaa nzima, nikaibamba kwa bodaboda moja hivi mitaa ya kigurunyembe nilipojaribu kumsihi aachie tukatoe kopi alitimua nayo mbio huyo eti naenda kukusemea manispaa. Nchi yetu hii. Raia tuko wapi haki zetu zinafichwa hivihivi
 
Copy moja ya katiba inatakiwa isomwe na watu 432,000 (1:432,000).

Zime printiwa chache purposely!
 
Morogoro mjini zililetwa kopy 13 mamispaa nzima, nikaibamba kwa bodaboda moja hivi mitaa ya kigurunyembe nilipojaribu kumsihi aachie tukatoe kopi alitimua nayo mbio huyo eti naenda kukusemea manispaa. Nchi yetu hii. Raia tuko wapi haki zetu zinafichwa hivihivi

Wasaliti wako kila kona hapa nchini Jerhy
 
Last edited by a moderator:
morogoro mjini zililetwa kopy 13 mamispaa nzima, nikaibamba kwa bodaboda moja hivi mitaa ya kigurunyembe nilipojaribu kumsihi aachie tukatoe kopi alitimua nayo mbio huyo eti naenda kukusemea manispaa. Nchi yetu hii. Raia tuko wapi haki zetu zinafichwa hivihivi

una uhakika au unajiskia tu kuropoka na kudanganya umma? Soma katiba hiyo maneno mengine si mwenye mamlaka kuyazungumzia!
 
sijui hazijafika? Au zinafichwa kwa faida gani. Hakuna hata copy moja sio library , kwenye idara au wakuu wa schools. Tutapigia kura nini? Kazi ipo. Hapo ni kilometer 12 tu toka magogoni je huko........

unaonekana huna nia na huu mpango, nakushauri ujitahidi kutafuta kwa bidiii sehemu husika zinakopatikana ambako ni wizara ya katiba na sheria kisha uisome na kuilewea na kufanya maamuzi sahihi.
 
Rasimu ya Warioba Ardhi university tuligawiwa wengine mbili mbili moja uwe nayo ofisini na nyingine uende nayo nyumbani. SERIKALI SI hiyo hiyo. Mitandaoni haifunguki na sometimes hata website haifunguki.
 
Baada ya kugaiwa watu wote KATIBA YA WARIOBA, kuna maboksi na maboksi, hayafunguliwa, zimebaki tele! Hii ya CHENGE, hata CEO wetu hajui ina rangi gn
 
baada ya kugaiwa watu wote katiba ya warioba, kuna maboksi na maboksi, hayafunguliwa, zimebaki tele! Hii ya chenge, hata ceo wetu hajui ina rangi gn

nimegundua nyie watu mnajiita kutoka ardhi au mnaoshabikia watu wa ardhi university hamna hoja humu ndani zaidi ya kufuata upepo wa mtoa mada kama bendera, toeni hoja kuweni wazalendo, maneno mengi hayawasadii coz mwisho wa siku mtakuja kujionea aibu.
 
unaonekana huna nia na huu mpango, nakushauri ujitahidi kutafuta kwa bidiii sehemu husika zinakopatikana ambako ni wizara ya katiba na sheria kisha uisome na kuilewea na kufanya maamuzi sahihi.

maamuzi gani sahihi.hii ni katiba ya ccm KURA NI HAPANA
 
maamuzi gani sahihi.hii ni katiba ya ccm kura ni hapana

kakura chako unadhani ndo katayumbisha hili jahazi? Thubutu yako, hii inapita tena kama tsunami, nakuomba ikipita unywe sumu ufe ili uondoe aibu itakayokukuta.
 
unatafuta katiba pendekezwa ya nini KURA ni HAPANA. waraka maalumu unatembea makanisani kuonyesha jinsi ccm na serikali yake walivyowahonga waislamu mahakama ya kadhi kwenye katiba huku wakijua wanavunja katiba ya jamhuri ya muungano
 
unatafuta katiba pendekezwa ya nini kura ni hapana. Waraka maalumu unatembea makanisani kuonyesha jinsi ccm na serikali yake walivyowahonga waislamu mahakama ya kadhi kwenye katiba huku wakijua wanavunja katiba ya jamhuri ya muungano

kama umeeshiwa hoja humu ndani kojoa uendelee kulalal ili ukue kisha ukikuwa labda utakuwa na hoja za msingi
 
unatafuta katiba pendekezwa ya nini KURA ni HAPANA. waraka maalumu unatembea makanisani kuonyesha jinsi ccm na serikali yake walivyowahonga waislamu mahakama ya kadhi kwenye katiba huku wakijua wanavunja katiba ya jamhuri ya muungano

Acha uongo wako. Maneno hayo unayatoa wapi wewe Kiruso? Sidhani kama mtu mwenye Busara anaweza kutumia jukwaa hili kuwadanganya Watanzania akijua anasema uongo. Tumia haki yako kujali nchi yako, nchi ni yetu sote tunahitaji kuwa wazalendo na wapenda amani wa Tanzania.
 
Morogoro mjini zililetwa kopy 13 mamispaa nzima, nikaibamba kwa bodaboda moja hivi mitaa ya kigurunyembe nilipojaribu kumsihi aachie tukatoe kopi alitimua nayo mbio huyo eti naenda kukusemea manispaa. Nchi yetu hii. Raia tuko wapi haki zetu zinafichwa hivihivi

Jerhy taarifa yako hiyo ni uongo mtupu! Huna taarifa sahihi. Acha na koma kabisa kuwadanganya Watanzania. Taarifa sahihi kila kata imepewa nakala 300, na bado zinaendelea kugawiwa kwa wananchi kupitia kata zao
 
Back
Top Bottom