Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Baada ya kugaiwa watu wote KATIBA YA WARIOBA, kuna maboksi na maboksi, hayafunguliwa, zimebaki tele! Hii ya CHENGE, hata CEO wetu hajui ina rangi gn
Copy moja ya katiba inatakiwa isomwe na watu 432,000 (1:432,000).
Zime printiwa chache purposely!
Sijui hazijafika? Au zinafichwa kwa faida gani. Hakuna hata copy moja sio library , kwenye idara au wakuu wa Schools. Tutapigia kura nini? Kazi ipo. Hapo ni kilometer 12 tu toka Magogoni je huko........
Rasimu ya Warioba Ardhi university tuligawiwa wengine mbili mbili moja uwe nayo ofisini na nyingine uende nayo nyumbani. SERIKALI SI hiyo hiyo. Mitandaoni haifunguki na sometimes hata website haifunguki.
Msomi gani wewe? Katiba Inayopendekezwa ipo mpaka mtandaoni. Tumia mtandao kujielimisha sio kuweka ujinga wako na kuwasambazia Watanzania mawazo ya yasiyo ya kizalendo wala yasiyotarajiwa kwa msomi kama wewe. Au wewe ni maluki wa kuchonga?