Tetesi: Ardhi yadaiwa kushuka thamani kwa 80% Magomeni, Ubungo, Riverside, Shekilango na Mbagala!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Baada ya 17/8/2026, tamko la Mkuu wa Mkoa lilielekeza magari kurudi Mbezi Luis Stand. Kampuni zote zimetii, isipokuwa “kampuni pendwa 3” ambazo hazijatajwa majina, zimeruhusiwa kuendelea kuanzia mjini.

Hakuna mwandishi aliyenyanyua mdomo kuhoji sababu na vigezo vya hizo kampuni. Ila katika moja na mbili, usihoji sana, kula kama huoni.

Pale Riverside kuna mzee aliringa kuuza eneo kwa bilioni 2 ili B One aweke stendi, sasa limeshuka mpaka milioni 300 na hataona mnunuzi.

Fremu ya laki 5 sasa ni laki moja na mtu anaringa kulipa.

Biashara zote za Big Brother mpaka Ubungo Mataa ndiyo kwaheri. Baada ya wiki mtaona fremu zinaandikwa “Tunapangisha.”

Wale wakazi wa Ubungo NHC waliochukua kodi ya miezi mingi wamepiga bingo, the rest ni kilio, na sasa zile nyumba zinageuzwa kuwa za makazi kama zamani.

Daladala za Kariakoo/Posta mpaka Ubungo nazo zitakosa abiria kwa kuwa zilitegemea sana hawa wa kusafiri. Kufa kufaana.

Mwisho: Tii sheria bila shuruti. Twendeni Mbezi Luis, mbona mkienda Ulaya mnaifuata Airport na hamlalamiki?
 
Baada ya 17-8-2-26 tamko la mkuu wa Mkoa magari yarudi Mbezi Luis Standi, Makampuni yote yametii isipokuwa "kampuni pendwa 3" ambazo hazijatajwa majina zimeruhusiwa kuendelea kuanzia mjini.

Hakuna mwandishi aliyenyanyua mdomo kuhoji sababu na vigezo vya hizo kampuni , ila katika moja na mbili, usihoji sana , kula kama huoni.

Pale River side kun a mzee aliringa kuuza eneo kwa bilioni 2 ili B One aweke Stendi, sasa limehsuka mpaka milioni 300 na hataona mnunuzi.

Fremu ya laki 5 sasa ni laki moja na mtu anaringa kulipa.
Biashara zote za Big Brother mpaka Ubungo mataa ndio kwaheri , baada ya wiki mtaona fremu zinaandikwa tunakodisha.

Wale wakazi wa Ubungo NHC waliochukua kodi ya miezi mingi wamepiga bingo, the rest ni kilio na sasa zile nyumba zinageuzwa kuwa za makazi kama zamani.

Daladala za Kariakoo/Posta mpaka ubungo nazo zitakosa abiria kwakuwa walitegegmea sana hawa wa kusafiri , kufa kufaana.

MWISHO: Ti sheri bila shuruti, twendeni Mbezi Luis, mbona mkienda Ulaya mnaifuata Airport na hamlalamiki?
Dom pekee ndiko Kwa uhakika Kwa sasa
 
Ofisi zitatumika kukatia tuketi, kupokelea mizigo nk.

Hata hivyo serikali ifikirie kujemga stands zaodi, hii moja sio sawa, jiji ni kubwa, lina watu wengi.
Ticket zipo online, Nitoke Chanika buyuni mpaka shekilango kukata tiketi, then nirudi chanika kujiandaa kuja shkilango tena kwaajili ya safari?
Mizigo nayo Shirika la Posta litapenyeza hoja isisafirishwe na mabasi, maana wameomba leseni za abiria tu na si leseni ya abiria na mizigo.
 
Hio ya kuzuia mizigo walijaribu naona wakashindwa
 
Baada ya 17/8/2026, tamko la Mkuu wa Mkoa lilielekeza magari kurudi Mbezi Luis Stand. Kampuni zote zimetii, isipokuwa “kampuni pendwa 3” ambazo hazijatajwa majina, zimeruhusiwa kuendelea kuanzia mjini.

Hakuna mwandishi aliyenyanyua mdomo kuhoji sababu na vigezo vya hizo kampuni. Ila katika moja na mbili, usihoji sana, kula kama huoni.

Pale Riverside kuna mzee aliringa kuuza eneo kwa bilioni 2 ili B One aweke stendi, sasa limeshuka mpaka milioni 300 na hataona mnunuzi.

Fremu ya laki 5 sasa ni laki moja na mtu anaringa kulipa.

Biashara zote za Big Brother mpaka Ubungo Mataa ndiyo kwaheri. Baada ya wiki mtaona fremu zinaandikwa “Tunapangisha.”

Wale wakazi wa Ubungo NHC waliochukua kodi ya miezi mingi wamepiga bingo, the rest ni kilio, na sasa zile nyumba zinageuzwa kuwa za makazi kama zamani.

Daladala za Kariakoo/Posta mpaka Ubungo nazo zitakosa abiria kwa kuwa zilitegemea sana hawa wa kusafiri. Kufa kufaana.

Mwisho: Tii sheria bila shuruti. Twendeni Mbezi Luis, mbona mkienda Ulaya mnaifuata Airport na hamlalamiki?
Sheria Gani inasema mabasi yote yaishie Mbezi?
 
Back
Top Bottom