Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Dom pekee ndiko Kwa uhakika Kwa sasaBaada ya 17-8-2-26 tamko la mkuu wa Mkoa magari yarudi Mbezi Luis Standi, Makampuni yote yametii isipokuwa "kampuni pendwa 3" ambazo hazijatajwa majina zimeruhusiwa kuendelea kuanzia mjini.
Hakuna mwandishi aliyenyanyua mdomo kuhoji sababu na vigezo vya hizo kampuni , ila katika moja na mbili, usihoji sana , kula kama huoni.
Pale River side kun a mzee aliringa kuuza eneo kwa bilioni 2 ili B One aweke Stendi, sasa limehsuka mpaka milioni 300 na hataona mnunuzi.
Fremu ya laki 5 sasa ni laki moja na mtu anaringa kulipa.
Biashara zote za Big Brother mpaka Ubungo mataa ndio kwaheri , baada ya wiki mtaona fremu zinaandikwa tunakodisha.
Wale wakazi wa Ubungo NHC waliochukua kodi ya miezi mingi wamepiga bingo, the rest ni kilio na sasa zile nyumba zinageuzwa kuwa za makazi kama zamani.
Daladala za Kariakoo/Posta mpaka ubungo nazo zitakosa abiria kwakuwa walitegegmea sana hawa wa kusafiri , kufa kufaana.
MWISHO: Ti sheri bila shuruti, twendeni Mbezi Luis, mbona mkienda Ulaya mnaifuata Airport na hamlalamiki?
Simple and clear. "Ti sheri bila shuruti,'MWISHO: Ti sheri bila shuruti, twendeni Mbezi Luis, mbona mkienda Ulaya mnaifuata Airport na hamlalamiki?
Nalo neno, Walioringa kuuza sasa wanajutia , lodge za manzese, mabibo na sinza kwisha habari yake.Dom pekee ndiko Kwa uhakika Kwa sasa
Ha ha ha h ahah !Kampuni ya IGP mstaafu inaanzia mbezi?
Yule aliyekamata mapanga na majambia bandarini
HAPPY NATIONAL + ESTER AKA DADA WA TAIFAKampuni ya IGP mstaafu inaanzia mbezi?
Yule aliyekamata mapanga na majambia bandarini
Ticket zipo online, Nitoke Chanika buyuni mpaka shekilango kukata tiketi, then nirudi chanika kujiandaa kuja shkilango tena kwaajili ya safari?Ofisi zitatumika kukatia tuketi, kupokelea mizigo nk.
Hata hivyo serikali ifikirie kujemga stands zaodi, hii moja sio sawa, jiji ni kubwa, lina watu wengi.
Dua kwa serikali? Huwa sielwi mtu akisema anaiombea serikali, maana kuna mtu anasema Serikali ni wewe na mimi, mara ooh ....jamani!sawa ila tukiachana na yote kwa yote kwa kweli sisi zetu ni dua tu
WAchaga hawauzi, kunaitwa "Gaza"Natafuta kiwanja mbezi luiz
Hio ya kuzuia mizigo walijaribu naona wakashindwaTicket zipo online, Nitoke Chanika buyuni mpaka shekilango kukata tiketi, then nirudi chanika kujiandaa kuja shkilango tena kwaajili ya safari?
Mizigo nayo Shirika la Posta litapenyeza hoja isisafirishwe na mabasi, maana wameomba leseni za abiria tu na si leseni ya abiria na mizigo.
Sheria Gani inasema mabasi yote yaishie Mbezi?Baada ya 17/8/2026, tamko la Mkuu wa Mkoa lilielekeza magari kurudi Mbezi Luis Stand. Kampuni zote zimetii, isipokuwa “kampuni pendwa 3” ambazo hazijatajwa majina, zimeruhusiwa kuendelea kuanzia mjini.
Hakuna mwandishi aliyenyanyua mdomo kuhoji sababu na vigezo vya hizo kampuni. Ila katika moja na mbili, usihoji sana, kula kama huoni.
Pale Riverside kuna mzee aliringa kuuza eneo kwa bilioni 2 ili B One aweke stendi, sasa limeshuka mpaka milioni 300 na hataona mnunuzi.
Fremu ya laki 5 sasa ni laki moja na mtu anaringa kulipa.
Biashara zote za Big Brother mpaka Ubungo Mataa ndiyo kwaheri. Baada ya wiki mtaona fremu zinaandikwa “Tunapangisha.”
Wale wakazi wa Ubungo NHC waliochukua kodi ya miezi mingi wamepiga bingo, the rest ni kilio, na sasa zile nyumba zinageuzwa kuwa za makazi kama zamani.
Daladala za Kariakoo/Posta mpaka Ubungo nazo zitakosa abiria kwa kuwa zilitegemea sana hawa wa kusafiri. Kufa kufaana.
Mwisho: Tii sheria bila shuruti. Twendeni Mbezi Luis, mbona mkienda Ulaya mnaifuata Airport na hamlalamiki?
Sheria Gani inasema mabasi yote yaishie Mbezi.Simple and clear. "Ti sheri bila shuruti,'
Inaanzia mjiniKampuni ya IGP mstaafu inaanzia mbezi?
Yule aliyekamata mapanga na majambia bandarini
Turudi zetu kwenye ambo ya mpira, haya ya mabasi hayatuhusu.sawa ila tukiachana na yote kwa yote kwa kweli sisi zetu ni dua tu
Tamko.Sheria Gani inasema mabasi yote yaishie Mbezi?