Ardhi yenye Ubora

Ardhi yenye Ubora

Jesusfreak08

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2019
Posts
822
Reaction score
1,803
Kama binadamu inabidi atunzwe au ajitunze kuendelea kuwa hai ndivyo hivyo hivyo ardhi inahitaji matunzo kuweza kuwa hai, uzalishaji mzuri wa mazao katika eneo lako ulilolima ni ishara ya kuwa ardhi yako ni hai.

Kuhakikisha ardhi yako inakuwa hai usitumie sana mbolea za viwandani ukasahau mbolea tulizo zoea (samadi ya ng'ombe, kuku, mbuzi n.k).

Note: Haimanishi usitumie kabisa ila hasa inapo hitajika
 
Back
Top Bottom