MAKANJAMNA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,138
- 1,514
Huwa nawaambia waKenya. Kihistoria hapa Africa Mashariki ilibidi wawe mbali sana, yani mbali sana level ya South Korea. Ukizingatia position yao kipindi cha ukoloni na hata baada ya uhuru.. lakini wanatia aibu kwa kuwa bado wapo nyuma..
Miaka ya 60 uchumi wao ulikuwa mkubwa kuliko wa Korea.. na hawakuwa na vita.. ila angalia sasa hivi walipo.
Wakorea wamekimbia na kupaa.. wao wamebaki kutuonyesha flyover, malls na maghorofa ya Nairobi. Huko vijijini umaskini wa kutupa. Mna wasomi wengi ila hawana kazi.. ufisadi umezidi plus mnaongoza kwa inequality.
Waingereza waliwapa position nzuri sana kuwa na uchumi mkubwa ila hamna mlichofanya.. ukilinganisha na Tanzania ambapo ilibidi tuanze moja..
Ni aibu kubwa sana mnaendesha magari kwenye barabara 8 wakati watoto wenu mashuleni hawana mahali pa kukaa..