Are laptops more important than desks in Kenya's schools?

Huwa nawaambia waKenya. Kihistoria hapa Africa Mashariki ilibidi wawe mbali sana, yani mbali sana level ya South Korea. Ukizingatia position yao kipindi cha ukoloni na hata baada ya uhuru.. lakini wanatia aibu kwa kuwa bado wapo nyuma..

Miaka ya 60 uchumi wao ulikuwa mkubwa kuliko wa Korea.. na hawakuwa na vita.. ila angalia sasa hivi walipo.

Wakorea wamekimbia na kupaa.. wao wamebaki kutuonyesha flyover, malls na maghorofa ya Nairobi. Huko vijijini umaskini wa kutupa. Mna wasomi wengi ila hawana kazi.. ufisadi umezidi plus mnaongoza kwa inequality.

Waingereza waliwapa position nzuri sana kuwa na uchumi mkubwa ila hamna mlichofanya.. ukilinganisha na Tanzania ambapo ilibidi tuanze moja..

Ni aibu kubwa sana mnaendesha magari kwenye barabara 8 wakati watoto wenu mashuleni hawana mahali pa kukaa..
 
education-Africa-300x225.jpg
img_9670-2.jpg
kenya_school001.jpg

Wanafunzi wa kenya wakiwa assembly shuleni kwao nyuma yao ndio madarasa yao na academic block

living in a glass houses stay away from stones!!!!

tanzania situation
upload_2016-11-21_8-15-2.jpeg

2013-09-12-oldclassroom.JPG

IMG00149-20120418-1026.jpg

2014_Tanzania_childmarriage.jpg

p1010206.jpg

20140404093427-c4.JPG

kigoma

students-primary-school-kigoma-tanzania-has-still-alarming-drop-out-rate-68322551.jpg

kenyan new village ecd classes baada ya ugatuzi

yatta.jpg

ECD-classes-940x260.png

class-one-laptops-project-in-Kenya.jpg

1343906.jpg

crge8g6k6ezo56b9f8a778023.jpg

primary-school-laptops-in-kenya-4.jpg
 
living in a glass houses stay away from stones!!!!

tanzania situation
View attachment 437349

2013-09-12-oldclassroom.JPG

IMG00149-20120418-1026.jpg

2014_Tanzania_childmarriage.jpg

p1010206.jpg

20140404093427-c4.JPG

kigoma

students-primary-school-kigoma-tanzania-has-still-alarming-drop-out-rate-68322551.jpg

kenyan new village ecd classes baada ya ugatuzi

yatta.jpg

ECD-classes-940x260.png

class-one-laptops-project-in-Kenya.jpg

1343906.jpg

crge8g6k6ezo56b9f8a778023.jpg

primary-school-laptops-in-kenya-4.jpg
You should check out your records and review them Tanzania haina upungufu wa dawati tokea August this year madawati yamezidi baada ya desks national campaign so pictures utakazoleta hakikisha ni za kuanzia September this year.

Old pictures we call them history.
 
Really? If that really was the case, hamngejipata humu....
LDC_map_1500x936.jpg

Ieleweke hivi, matatizo yaliyopo Kenya ni at least 5x makubwa zaidi huko Dar. Ndio maana nyinyi kamwe huwa mko ranked towards the bottom end of the registry in virtuallly every indices. Health, education, poverty, nutrition, sijui nini. Ama unataka proof?
 
Na kama ni history, why is not that the case with the pictures u have posted about those schools in Kenya?
 
I
Really? If that really was the case, hamngejipata humu....
LDC_map_1500x936.jpg

Ieleweke hivi, matatizo yaliyopo Kenya ni at least 5x makubwa zaidi huko Dar. Ndio maana nyinyi kamwe huwa mko ranked towards the bottom end of the registry in virtuallly every indices. Health, education, poverty, nutrition, sijui nini. Ama unataka proof?
Hivi nyie hapo kenya yote mnayo hospital kama hii ambapo kwa Tanzania zipo tatu kama hizi mpya kabisa? VIP hospital presidential ward kwenu si ndoto za saa sita?
 
Usihamishe mada. Fungua thread kuhusu hilo na tutajadiliana. Hili mada ni kuhusu masomo, shule za Kenya.

Bado haujaelezea ni asilimia ngapi za shule Kenya zipo katika hiyo hali umeonyesha hapo, mimi tayari nimekuonyesha asilimia 90% za shule tayari zimeunganishwa umeme.

Sasa tuendelee na mjadala.

Merrueshi.school.gif

january2015.htm-5_1.jpg

Look closely, on the roofs.
07%20Lodwar%20-%20Turkana%20Girls%20School.JPG

000133928.jpg

3.jpg

post_1.jpg
 
And above are schools from the marginalized counties from which the other pictures were posted: Turkana, Mandera etc.
 
Sawa, na usidhani sis pia hatufanyi mikakati yetu kupunguza matatizo kama haya, katika masuala ya kielimu, lishe, afya, makazi, energy nk.

Turkana (undoubtedly the poorest region in Kenya)

Shule.jpg

january2015.htm-5_1.jpg

febmarch-11_1.jpg

IMGP2367.jpg

TurkanaDSC_1197.jpg

DSC_8366.jpg
 
Huwa nawaambia waKenya. Kihistoria hapa Africa Mashariki ilibidi wawe mbali sana, yani mbali sana level ya South Korea. Ukizingatia position yao kipindi cha ukoloni na hata baada ya uhuru.. lakini wanatia aibu kwa kuwa bado wapo nyuma..

Miaka ya 60 uchumi wao ulikuwa mkubwa kuliko wa Korea.. na hawakuwa na vita.. ila angalia sasa hivi walipo.

Wakorea wamekimbia na kupaa.. wao wamebaki kutuonyesha flyover, malls na maghorofa ya Nairobi. Huko vijijini umaskini wa kutupa. Mna wasomi wengi ila hawana kazi.. ufisadi umezidi plus mnaongoza kwa inequality.

Waingereza waliwapa position nzuri sana kuwa na uchumi mkubwa ila hamna mlichofanya.. ukilinganisha na Tanzania ambapo ilibidi tuanze moja..

Ni aibu kubwa sana mnaendesha magari kwenye barabara 8 wakati watoto wenu mashuleni hawana mahali pa kukaa..

huu upungufu wa akili mpunguze jameni watz.
.... yani mijitu hua hata haiwezi fikiria, unakuta inajitolea mawazo mku*%£?i...

hivi haujui wakati huo pia uchumi wa Tz ulikua mkubwa kushinda hio south korea?
-hivi haujui kua hapo baada ya uhuru uchumi zetu zilikua karu sawa?

isitoshe miaka ya sabini na ya themanini (sikumbuki vizuri) , kenya ilikumbwa na janga mbaya zaidi ambapo ilipoteza zaidi ya 70% ya ngombe na mbuzi na mazao ambayo ilisababisha uchumi kudorora kabisa!

Angalia picha yoyote au tembelea nairobi ujionee ni majengi mangapi yalikuweko tangu enzi za kupata uhuru........

hizi propaganda zenu mlizoelezewa enzi za ujamaa kuhusu kenya jamani muanze kujiwazia wenyewe, msitegemee story........

angalia miaka ya 70 (miaka saba tu baada ya uhuru kenya)

Uchumi wa Tz na wa Kenya ulikua pamoja! kwahivyo hizo propaganda sijui mkoloni aliwachia kenya kila kitu muache jameni!

View attachment 437435
 
Huwa nawaambia waKenya. Kihistoria hapa Africa Mashariki ilibidi wawe mbali sana, yani mbali sana level ya South Korea. Ukizingatia position yao kipindi cha ukoloni na hata baada ya uhuru.. lakini wanatia aibu kwa kuwa bado wapo nyuma..

Miaka ya 60 uchumi wao ulikuwa mkubwa kuliko wa Korea.. na hawakuwa na vita.. ila angalia sasa hivi walipo.

Wakorea wamekimbia na kupaa.. wao wamebaki kutuonyesha flyover, malls na maghorofa ya Nairobi. Huko vijijini umaskini wa kutupa. Mna wasomi wengi ila hawana kazi.. ufisadi umezidi plus mnaongoza kwa inequality.

Waingereza waliwapa position nzuri sana kuwa na uchumi mkubwa ila hamna mlichofanya.. ukilinganisha na Tanzania ambapo ilibidi tuanze moja..

Ni aibu kubwa sana mnaendesha magari kwenye barabara 8 wakati watoto wenu mashuleni hawana mahali pa kukaa..
Na si hata Tanzania pia ilikuwa na hiyo opportunity ya kuwa the economic tiger? Tz kwanza ina resources nyingi karibu zaidi ya nchi yoyote Africa, isipokuwa Congo.
 
I

Hivi nyie hapo kenya yote mnayo hospital kama hii ambapo kwa Tanzania zipo tatu kama hizi mpya kabisa? VIP hospital presidential ward kwenu si ndoto za saa sita?

Kwa heshima zako wacha kujiaibisha kakangu! Yaani hivi unasema hiyo ndio Hospitali utapiga nayo mifano?? duuuh! Lakini sitakulaumu ni vile hujajionea!
P1060108.JPG

Nairobi-Hospital-Doctors-Plaza.jpg

entrance-to-karen-hospital2.jpg
 
Ihhjjjnnh
entrance-to-karen-hospital2.jpg
Acha kufananisha mloganzila na uchafu mloganzila hospital ina ukubwa wa hekta 3800 hospital imegharimu USD 200 million ina uwezo wa kuchukua MD students 15,000 ina wards za VIP and presidential suit ina kila kipimo cha kisasa duniani.

Hapo sijaongelea nyingine brand new ya UDOM na JK cardiac hospital zote ni balaa
 
Some of the best schools in EA...Are found in Danganyika
shulembuyuuuuu.jpg

20140404093427-c4.JPG

watoto+wachafu+shuleni.jpg
 
Acha kufananisha mloganzila na uchafu mloganzila hospital ina ukubwa wa hekta 3800 hospital imegharimu USD 200 million ina uwezo wa kuchukua MD students 15,000 ina wards za VIP and presidential suit ina kila kipimo cha kisasa duniani.

Hapo sijaongelea nyingine brand new ya UDOM na JK cardiac hospital zote ni balaa

Hii hapa ndo VIP?
john-magufuli-visits-wife-public-hospital.jpg

Kwetu tunaziita Level 5,
Ndani hukaa hivi
11055292_467206203428993_1660167715421546501_n.jpg

1.jpg

1.jpg
 
Back
Top Bottom