Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Monogram ya CIA iko open kwa kila mtu kujua who is who
Hiyo ya TISS vipi?
Nilijazishwa fomu kutaka kujiunga na TISS 1993. Sikupata taarifa wala majibu. je nilionekana sifai?
Nilijazishwa fomu kutaka kujiunga na TISS 1993. Sikupata taarifa wala majibu. je nilionekana sifai?
Does this topic still hold up????!!!!!!!
The older the wine. . . . . .
But, what if someone is born a spy but doesn't get that chance to work as it, what would he be doing?????
Kitendo cha kukubali kuridhia tu kujaza hizo form, tayari mlisha onekana kuwa nyie wote ni fake and you couldn't fit for the tasks ahed of you.
Ni bora hata ulivyoikosa hiyo kazi mkuu. Akunyimae kunde/mbaazi...............Samahani Mkuu, nilitakiwa nifanyeje? Alinipeleka ofisini kwao akanipa fomu nijaze. Akasema kuna kazi hapa upo tayari? Sikuuliza n kazi gani. Nilikuwa muoga kiasi. Anyway hayo yalitokea enzi hizo.
mtoto akizaliwa katika jamii huwa anabembelezwa na na kila mtu atamuona kama malaika...hana dhambi, hajui lolote juu ya dunia hii...kadri anavyokuwa na ubongo wake ulio katika kundi la ''tabula lasa'' taratibu unaanza kushika vitu anaanza kuelewa mambo kwa hatua...mtoto huyu akikuwa na akawa mtu mzima na akawa na tabia za ajabu kama ujambazi kila mtu atashangaa malaika huyu aliyekuwa mdogo amepatwa na nini.....
kuna vitu tunazaliwa navyo...viko ndani lakini vingine tunajifunza kwa kadri tunavyokuwa..binti akitoa mimba na kuua kicanga au kukitupa chooni sijui kama nae huyu kazaliwa na tabia ya kuua au amejifunza ukubwan baada ya kuona maisha magumu basi akaamua kufanya vile....
nikijikitaka tika swali lako nianze kwa kusema hivi...mauaji mengi hupangwa mara baad aya kuona hatari ya mtu falni katika jamii..kuwa uwepo wake ni hatari kwa ustawi na usalama wa eneo au nchi kwa ujumla na hivyo akiondolewa kuna mengi ya heri na usalama yatapatikana..kwa hiyo ni lazima faida za kumuondowa ziwe ni nyingi na za maana.,,mipango yote hii ni lazima ifanywe kwa siri na hairihusiwi kuandika mahali popote pale.
sasa ili kufanikisha jambo hli ni lazima kujua kabisa kwamba yule mlengwa anafahamu juu ya maisha yake...je anafahamu kuwa anaweza kuuwawa? je hafahamu kama yu katika hatari? analindwa? halindwi?
kama hafahamu kuwa anaweza kuuwawa na hana ulinzi basi hatua ya kumuondoa huitwa ''rahisi''(simple) , kama anafahamu yu katika hatari na ana ulinzi basi hatua ya kumuondoa huitwa '' fukuza'' na kama analewa na analindwa huitwa''ulinzi''....sasa baada ya kuona mlengwa yu katika hali gani basi kusudio la kumuondoa na mipango husukwa kwa ustadi wa hali ya juu kabisa kumbuka no paper work ni kichwani tu!!! mipango hii hasa ni lazima izingatie maisha ya mlengwa na ratiba zake, anapenda nini,anaishi wapi, ni mlevi au si mlevi anapenda wanawake sana? nk... maisha yake lazima yawe yanajulikana kila kitu.
hilo likikamilika hatua inayofuata ni kupanga nani akakamilishe kazi ile na aikamilishe kwa namna ipi? kama ni kuikamilsha na yeye kubaki hai basi process hiyo huitwa ''salama''(safe) kama nae itabidi kufa wakati wa kukamilisha zoezi basi process hiyo hiutwa ''poteza''(lost)...anaweza kuandaliwa kulingana na mazingira ya utekelezaji wa tukio hilo kama nani lazima awe na sifa zifaazo (must be determined,intelligent, resourceful and physically active.)..mtu mwnye moyo kwa kwale hatakiwi hata kidogo....kupoteza maisha ya mtu si mchezo...so mtu muoga muoga hatakiwi kabisa ..kuna watu hawawezi hata kuuwa mbwa!!...kama muuaji itampasa kuuwawa basi lazima aangaliwe mtu mwenye mlengo flani wa kidini, kisiasa au mwenye haja ya kulipiza kisasi...
hayo na mengine mengi yakifanyika basi njia ya kukamilisha zoezi hupangwa mchoro mzima lazima uandaliwe....remember no paper work!!...mda wa kukamilisha zoezi na wapi hupangwa....haijalishi itachukua mda gani kikubwa yule targeti lazima apotee ndani ya mda uliopangwa...zipo mbinu kibao sana ni nyingi mno ..za maumimvu makali, zisizo na maumivu makali ....na yule muuaji ni lazimaaandaliwe au waandaliwe na ni muhimu pia asijue/wasijue rule of the game ikoje sababu hasa ni nini ya kukamilisha zoezi...wao ni kukamilsha zoezi tu.
wapo walizaliwa wakiwa na roho ngumu sana hasa wanawake ni wazuri sana katikakukamilisha mambo haya hasa kama unataka kutumia njia isiyo na maumivu na kama targeti anapenda mambo yetu yalee...(mmiliki mmoja wa mahoteli huko dar alipotea kwa njia hiyo)..alikwa anapenda sana blowjob...
kuna jamaa mmoja anaitwa chepuga miaka ya mwanzoni 2000 huko kwnye mbuga za wanyama ruaha yeye alikuwa bingwa wa kuuwa tembo..jamaa alikuwa katili sana yule...hakuwa na huruma kabisa...pengine huyu ne alizaliwa akiwa hivyo maana hakutengenezwa mahali...kuna siku askari wanyamapori walikuta kijana mmoja aliekwenda nae kuwinda anachoma nyma ya swala porini na jamaa huyo alikuwa ameenda kukusanya kuni..askari wale walimkata miguu yule kijana kwa risasi wakamwacha pale yule ..chepuga akarudi na kuni zake na kumkuta kijana analia pale akajua moja kwa moja waliotenda hivi ni askari wanyama pori...alichokifanya pale ni kummalizia yule kijana kwa risasi na akamzika kule kule..yeyey akarudi mpaka kijijini kwake madibira...akajipanga ....akarudi porini siku nyingine safari hii alikwenda si kuwinda tembo bali kuwasaka askari wa wanayama pori..akaliona gari likiw alimesheheni askari..kwa njia zake anazozijua yeye aliwauwa askari 12 pale pale akabaki dreva wa gari...akamuamuru akusanye silaha za askari wenzake na apakie miili ya wenzake kwenye gari..yule askari akatii....baadaya hapo akamuamuru aendeshe gari lile mpaka kituo cha polisi madibira...kupfika pale polisi chepuge akafyatua risasi na kumuua yule dreva...kisha akaowambia polisi mizigo yenu hiyo....akaondoka.....
alitafutwa kwa njia zote hadi alipopatikana na na iliamliwa asiuwawe...akapelekwa dsm ..baadaya hapo wakamuomba aachane na kazi ya kuwinda tembo bali sasa awe mlinzi wa kuwalinda tembo..akakubali...akapewa piki piki na silaha akarudishwa ruaha akawa anakaa huko ni weli allisaidia sana kukamata majangiri akisaidiana na askari wa wanyamapori..baada ya miaka kama mitatu ilitengenezwa fomula nzuri sana kisha akaungana na wale askari aliowauwa...
nimalize kwa kusema kuwa wapo waliozaliwa na roho ngumu na wengine nyepesi....na wengine hufunshwa ujasiri wa kutekeleza mambo hayo hataka kama wana roho nyepesi...zoezi hili hufanyika kwa usiri mkubwa na pengine muuaji asijue sababu hasa ni ipi...lazima wahusika wawe na wachache..waliojipanga sawa sawa....
ngoja niulze swali....hivi ikiotokea siku moja sukari ikapigwa marufuku (yaani ikawekwa kwenye kundi moja na cocaine au heroin) kutumiwa na binadamu unadhani nini kitatokea katika jamii?..
jion njema
Tafuta movie ya SALT ya Angeline Jolie uanzie hapo!!!!!
Kuna shule nzito sana hapa. Picked bunch of lessons. By the way, hivi intelijensia yetu ipo huru kiitikadi? Kwamba transition ya madaraka kutoka kundi la mrengo mmoja kwenda kwa jingine yaweza fanyika na loyalty ya idara isiyumbe? Najaribu kuangalia CIA kule USA (Republican vs Democrats) n.k
Monogram ya CIA iko open kwa kila mtu kujua who is who
Hiyo ya TISS vipi?