Are spies made or born?

Nilijazishwa fomu kutaka kujiunga na TISS 1993. Sikupata taarifa wala majibu. je nilionekana sifai?
 
Nilijazishwa fomu kutaka kujiunga na TISS 1993. Sikupata taarifa wala majibu. je nilionekana sifai?

Baada ya kujazishwa form ulifanyiwa vetting? au ulivyo jaza ndo ikapotezewa
 
But, what if someone is born a spy but doesn't get that chance to work as it, what would he be doing?????
 
......
...... Infantri soja bana. Naomba unipe michongo flani flani basi.
 
Kitendo cha kukubali kuridhia tu kujaza hizo form, tayari mlisha onekana kuwa nyie wote ni fake and you couldn't fit for the tasks ahed of you.

Samahani Mkuu, nilitakiwa nifanyeje? Alinipeleka ofisini kwao akanipa fomu nijaze. Akasema kuna kazi hapa upo tayari? Sikuuliza n kazi gani. Nilikuwa muoga kiasi. Anyway hayo yalitokea enzi hizo.
 
Samahani Mkuu, nilitakiwa nifanyeje? Alinipeleka ofisini kwao akanipa fomu nijaze. Akasema kuna kazi hapa upo tayari? Sikuuliza n kazi gani. Nilikuwa muoga kiasi. Anyway hayo yalitokea enzi hizo.
Ni bora hata ulivyoikosa hiyo kazi mkuu. Akunyimae kunde/mbaazi...............
 

Ujasiri, Usiri, No paper work
 
Kuna shule nzito sana hapa. Picked bunch of lessons. By the way, hivi intelijensia yetu ipo huru kiitikadi? Kwamba transition ya madaraka kutoka kundi la mrengo mmoja kwenda kwa jingine yaweza fanyika na loyalty ya idara isiyumbe? Najaribu kuangalia CIA kule USA (Republican vs Democrats) n.k
 

Do you know that the Republicans and Democrats kilikuwa ni chama kimoja???
 
Hivi mishahara yao inakuaje?
Inatoka serikalini?
Wana Ac za bank?

Na huwa wanakwenda vp ofisini ili watu wengine wasiwaone?

Vipi kuhusu bodi yao, huwa wanatimiziwa kilakitu kias cha kwamba hakuna malumbano wala migomo ndani ya taasisi yao?

Na je, huwa wanaongelewa bungeni? Au matatizo yao wanayatatua kimya kimya? Mfano upungufu wa vifaa vya mawasiliano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…