Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #341
mkuu, unaweza ukachomwa moto then usilie??? hii kisayansi haiwezekani kbisa kakahata ukichomwa MOTO upige kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu, unaweza ukachomwa moto then usilie??? hii kisayansi haiwezekani kbisa kakahata ukichomwa MOTO upige kimya
Inawezekana kabisa, unafikia hali ambayo pain inatii command yako asikwambie mtu emotianal pain ndo challenging kuimudu ila physical iwe hata "excruciating vipi" still you can be "still".mkuu, unaweza ukachomwa moto then usilie??? hii kisayansi haiwezekani kbisa kaka
daaaaaah.........hii ni baab kubwa.Inawezekana kabisa, unafikia hali ambayo pain inatii command yako asikwambie mtu emotianal pain ndo challenging kuimudu ila physical iwe hata "excruciating vipi" still you can be "still".
depiction- yaani namna gani jamii hasa kupitia vyombo vya habari "inavyochora" kazi fulani mfano yani Intel.agent anaonekana kama 007. ndo maana mtu anatamani kuwa kama Intel.agent in reality ni tofauti! sio mstari mnyoofu ni hivi - --- -.daaaaaah.........hii ni baab kubwa.
.......and how comes watu wengi hususani vijana wanapenda sana taaluma ngumu kiasi hiki???
mkuu, basi hii ni hatari sana kwa kweli, ni bora niendelee na kibanda changu cha kuuza tu vinywaji baridi ili kuzidi kusogeza sikudepiction- yaani namna gani jamii hasa kupitia vyombo vya habari "inavyochora" kazi fulani mfano yani Intel.agent anaonekana kama 007. ndo maana mtu anatamani kuwa kama Intel.agent in reality ni tofauti! sio mstari mnyoofu ni hivi - --- -.
Ni vizuri uwe intel.agent wa eneo lako just look for anything "suspicious" siku utaona uzuri wa hiyo kazi utagundua tukio mda mchache kabla, utavyozoea utaweza kuwa hata na uwezo wa maamuzi sahihi juu ya tukio hilo.mkuu, basi hii ni hatari sana kwa kweli, ni bora niendelee na kibanda changu cha kuuza tu vinywaji baridi ili kuzidi kusogeza siku
poa poa kakaNi vizuri uwe intel.agent wa eneo lako just look for anything "suspicious" siku utaona uzuri wa hiyo kazi utagundua tukio mda mchache kabla, utavyozoea utaweza kuwa hata na uwezo wa maamuzi sahihi juu ya tukio hilo.
asanteAre made
alafu ya kiaskari, hii taaluma inahitaji vijana ambao ni sharp-minded, agile and too swift kwa kiasi kwanza vijana wanakuwa wabunifu wa mbinu mbalimbali za kuweza kufanikisha kazi zao na si lazima kukazania kile walichofundishwa na chuoni kwao, ili mradi hawakiuki kanuni na misingi ya majukumu yao. nakumbuka kwa mfano mossad, huwa hawaruhusu assassination method moja, kutumika katika mission zingine zote zitakazofuata ili kuepuka kwa agents kukamatwa kwa maana kwa kila tukio la kihalifu katika hostile country, vyombo vya usalama hufanya assessment ya kuangali wapi kulinkuwa na loopholes zilizowezesha mission ya maadui kukamilika.Bila shaka wote mu wazima wa afya, kama heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari na hizi attributes?
Ninawasilisha.
Hapo kwenye IQ kubwa ndipo panapo watofautisha na wengine.Ni kipaji tuu kama vipaji vingine ukiongezea na mafunzo wanayopewa, sio watu special kihivyo kama mnavyofikiria au kama wanavyoonyeshwa kwny movies za Hollywood. Ila mikubwa wanataka mtu mtiifu, mwenye IQ kubwa na pia mwenye uwezo wa kuficha siri
mkuu, sasa kwa tanzania hii hao wenye IQ kubwa tutawatoa wapi kwa mfumo wetu huu wa elimu???Hapo kwenye IQ kubwa ndipo panapo watofautisha na wengine.
IQ sio lazima ya shuleni. Watu wa usalama wanao uwezo wa kutambua uwelewa wa mtu wamtakae kwa task fulani.mkuu, sasa kwa tanzania hii hao wenye IQ kubwa tutawatoa wapi kwa mfumo wetu huu wa elimu???
Nafahamu kuwa hamna neno "IQ ya shuleni"IQ sio lazima ya shuleni. Watu wa usalama wanao uwezo wa kutambua uwelewa wa mtu wamtakae kwa task fulani.
Nafikiri kama kada nyengine zilivyo,hata Mashushushu wapo BORN SPIES na TAUGHT SPIES...Inategemea huyo mtu anafaa katika category ipi?...Siku hizi Recruitiment yake kwa upande wa Mashuleni na Vyuoni haijioneshi sana...Nafahamu kuwa hamna neno "IQ ya shuleni"
mkuu, sasa kwa tanzania hii hao wenye IQ kubwa tutawatoa wapi kwa mfumo wetu huu wa elimu???
mkuu, wewe huwa unapotea lakini ukirudi unakuja na nondo za ajabu sana aiseekuna siku baba aliniambia hivi'' you must be the right person not necessarily the best one''.....akaendela kusema they always look for the right person not the best one...ipo tfauti kubwa ya mafanikio ya darasani na kazi hii...sisemi elimu haifai lakini hapana lakini kuna vitu vingine vinaangaliwa kwenye mambo haya:..
kuna siku kuna kijana mmoja darasani alikuwa ana akil sana ya darasani..makaratasi yake ya mitihani yalionyesha ufaulu wa hali ya juu sana...basi mda mwafaka ukafika na nikaanza kumuliza tofauti ya shuguli na kazi, jibu na jawabu...nikamuuliza tena ili eneo flani liitwe kijiji linapaswa kuwa na sifa gani?.....majawabu yake yalishindwa kukidhi haja yangu ..kwa kifupi he was the best not the right one!!!
nimeona humu michango ya watu na kila mtu amechangia kwa namna anavyojua..nadhani huko nyuma kwenye thread hii nimeeleza watu wa kazi hiyo wanapaswa kuwa wa aina ipi...lakini nisema hivi kila eneo la kazi hii huwa linahitaji watu wa aina flani...wasomi na maprof wapo wana eneo lao..walevi,malaya, waongo, nk.....
hii kazi ni kazi yenye risk kubwa na faida pia ipo kubwa tu ya kuwa huko kikubwa ni kwamba unaishi kwenye kivuli mpaka mwisho, kila kinachopit mbele unajiuliza ni nini hiki na kwa nini kiwe hapa nilipo, humuamini mtu labda maiti tu, utulivu wa akili unatakiwa, uweo wa kutunza siri nk...
wapo watu hawana elimu kubwa lakini mambo yao wanayofanya ni makubwa balaa huko idarani...kuna mtoto wangu tangu akiwa mdogo nimemfundisha namna ya kuwasiliana na mimi..nimemfundisha karibu njia tano za namnaya kuongea na mimi..nimemfundisha pia namna ya kutambua nini kinaongelewa na watu wawili walio umbali flani nini wanaongea kwa kuwaangalia lips za midomo yao na ishara za mikono....hata kama hasikii sauti zao na mikono wakiweka mfukoni still anatambua nini kinaongelewa...
shida kubwa ni watu wengi kujaza uchafu mwingi kwenye vichwa vyao..kukosa utulivu wa nafsi, kutokuwa wadadisi, shidakuwa sehemu ya maisha yao, kufikiri jambo moja kila siku... kwa siku katika kichwa cha average person huwa kuna idadi ya mawazo 60,000 yanayokuwa processed...lakini 95% ya mawazo hayo ni yale yale aliyofikiri jana...mtu wa aina hii hawezi kuendelea katika jambo lolote
sasa kazi kama hizi zinahitaji watu makini wenye utulivu mkubwa wa akili, wanaojielewa nini wanakifanya....wengi wanazaliwa wakiwa watu wazuri tu wenye hizo mnazoita IQ kubwa lakini kadri wanavyokua na kujaza ucha mwingi kichwani ndivyo wanavyokosa sifa
jambo la mwisho aliloniambia baba ni alisema hivi '' your IQ is nothing to us, what matters to us is your i can''
Ebana ukubari au ukatae wewe ni abnormal chanya.Hebu anzisha thread ya hizo njia za kumtambua/kuwatambua wanao ongea kwa kutazama lips,.kuna siku baba aliniambia hivi'' you must be the right person not necessarily the best one''.....akaendela kusema they always look for the right person not the best one...ipo tfauti kubwa ya mafanikio ya darasani na kazi hii...sisemi elimu haifai lakini hapana lakini kuna vitu vingine vinaangaliwa kwenye mambo haya:..
kuna siku kuna kijana mmoja darasani alikuwa ana akil sana ya darasani..makaratasi yake ya mitihani yalionyesha ufaulu wa hali ya juu sana...basi mda mwafaka ukafika na nikaanza kumuliza tofauti ya shuguli na kazi, jibu na jawabu...nikamuuliza tena ili eneo flani liitwe kijiji linapaswa kuwa na sifa gani?.....majawabu yake yalishindwa kukidhi haja yangu ..kwa kifupi he was the best not the right one!!!
nimeona humu michango ya watu na kila mtu amechangia kwa namna anavyojua..nadhani huko nyuma kwenye thread hii nimeeleza watu wa kazi hiyo wanapaswa kuwa wa aina ipi...lakini nisema hivi kila eneo la kazi hii huwa linahitaji watu wa aina flani...wasomi na maprof wapo wana eneo lao..walevi,malaya, waongo, nk.....
hii kazi ni kazi yenye risk kubwa na faida pia ipo kubwa tu ya kuwa huko kikubwa ni kwamba unaishi kwenye kivuli mpaka mwisho, kila kinachopit mbele unajiuliza ni nini hiki na kwa nini kiwe hapa nilipo, humuamini mtu labda maiti tu, utulivu wa akili unatakiwa, uweo wa kutunza siri nk...
wapo watu hawana elimu kubwa lakini mambo yao wanayofanya ni makubwa balaa huko idarani...kuna mtoto wangu tangu akiwa mdogo nimemfundisha namna ya kuwasiliana na mimi..nimemfundisha karibu njia tano za namnaya kuongea na mimi..nimemfundisha pia namna ya kutambua nini kinaongelewa na watu wawili walio umbali flani nini wanaongea kwa kuwaangalia lips za midomo yao na ishara za mikono....hata kama hasikii sauti zao na mikono wakiweka mfukoni still anatambua nini kinaongelewa...
shida kubwa ni watu wengi kujaza uchafu mwingi kwenye vichwa vyao..kukosa utulivu wa nafsi, kutokuwa wadadisi, shidakuwa sehemu ya maisha yao, kufikiri jambo moja kila siku... kwa siku katika kichwa cha average person huwa kuna idadi ya mawazo 60,000 yanayokuwa processed...lakini 95% ya mawazo hayo ni yale yale aliyofikiri jana...mtu wa aina hii hawezi kuendelea katika jambo lolote
sasa kazi kama hizi zinahitaji watu makini wenye utulivu mkubwa wa akili, wanaojielewa nini wanakifanya....wengi wanazaliwa wakiwa watu wazuri tu wenye hizo mnazoita IQ kubwa lakini kadri wanavyokua na kujaza ucha mwingi kichwani ndivyo wanavyokosa sifa
jambo la mwisho aliloniambia baba ni alisema hivi '' your IQ is nothing to us, what matters to us is your i can''
hyo njia ilikua inasumbua kutofautisha "P" na "B" maadui wengi walikua wanafanikiwa njama zao sabab spy weng walishndwa kuelewa mfana walipokua wanataka kushoot mtu alie nyuma ya mtu au kitu flan "back" na "pack" ilitesa saana maspy ila kwa ss haisumbuiEbana ukubari au ukatae wewe ni abnormal chanya.Hebu anzisha thread ya hizo njia za kumtambua/kuwatambua wanao ongea kwa kutazama lips,.
humu jf huwa kunakuwaga na mambo ya ajabu sana aisee. mimi siwawezihyo njia ilikua inasumbua kutofautisha "P" na "B" maadui wengi walikua wanafanikiwa njama zao sabab spy weng walishndwa kuelewa mfana walipokua wanataka kushoot mtu alie nyuma ya mtu au kitu flan "back" na "pack" ilitesa saana maspy ila kwa ss haisumbui