Are spies made or born?

Are spies made or born?

Inawezekana kabisa, unafikia hali ambayo pain inatii command yako asikwambie mtu emotianal pain ndo challenging kuimudu ila physical iwe hata "excruciating vipi" still you can be "still".
daaaaaah.........hii ni baab kubwa.
.......and how comes watu wengi hususani vijana wanapenda sana taaluma ngumu kiasi hiki???
 
depiction- yaani namna gani jamii hasa kupitia vyombo vya habari "inavyochora" kazi fulani mfano yani Intel.agent anaonekana kama 007. ndo maana mtu anatamani kuwa kama Intel.agent in reality ni tofauti! sio mstari mnyoofu ni hivi - --- -.
 
mkuu, basi hii ni hatari sana kwa kweli, ni bora niendelee na kibanda changu cha kuuza tu vinywaji baridi ili kuzidi kusogeza siku
 
Ni vizuri uwe intel.agent wa eneo lako just look for anything "suspicious" siku utaona uzuri wa hiyo kazi utagundua tukio mda mchache kabla, utavyozoea utaweza kuwa hata na uwezo wa maamuzi sahihi juu ya tukio hilo.
 
poa poa kaka
 
Bila shaka wote mu wazima wa afya, kama heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari na hizi attributes?

Ninawasilisha.
alafu ya kiaskari, hii taaluma inahitaji vijana ambao ni sharp-minded, agile and too swift kwa kiasi kwanza vijana wanakuwa wabunifu wa mbinu mbalimbali za kuweza kufanikisha kazi zao na si lazima kukazania kile walichofundishwa na chuoni kwao, ili mradi hawakiuki kanuni na misingi ya majukumu yao. nakumbuka kwa mfano mossad, huwa hawaruhusu assassination method moja, kutumika katika mission zingine zote zitakazofuata ili kuepuka kwa agents kukamatwa kwa maana kwa kila tukio la kihalifu katika hostile country, vyombo vya usalama hufanya assessment ya kuangali wapi kulinkuwa na loopholes zilizowezesha mission ya maadui kukamilika.
yangu hayo tu kwa leo.
 
Ni kipaji tuu kama vipaji vingine ukiongezea na mafunzo wanayopewa, sio watu special kihivyo kama mnavyofikiria au kama wanavyoonyeshwa kwny movies za Hollywood. Ila mikubwa wanataka mtu mtiifu, mwenye IQ kubwa na pia mwenye uwezo wa kuficha siri
Hapo kwenye IQ kubwa ndipo panapo watofautisha na wengine.
 
Nafahamu kuwa hamna neno "IQ ya shuleni"
Nafikiri kama kada nyengine zilivyo,hata Mashushushu wapo BORN SPIES na TAUGHT SPIES...Inategemea huyo mtu anafaa katika category ipi?...Siku hizi Recruitiment yake kwa upande wa Mashuleni na Vyuoni haijioneshi sana...

Kuna watoto ni wadadisi na problem solvers katika familia,Ana jua majirani na mambo yanayo endelea,Intelijensi wanaweza mfanyia scouting na hatimae kumchukua...SPIES NI WATU MUHIMU SANA KWA MAENDELEO YA NCHI,HAITOSHI KUWA NI WA KUZALIWA,ELIMU YA SPY HUMJENGA.

MUWASILISHA SWALI,KWA UPANDE WAKO UNAONAJE HAWA WANAO FELI KIDATO CHA PILI MARA MBILI WAKIPEWA MAFUNZO HAYA?
 
mkuu, sasa kwa tanzania hii hao wenye IQ kubwa tutawatoa wapi kwa mfumo wetu huu wa elimu???

kuna siku baba aliniambia hivi'' you must be the right person not necessarily the best one''.....akaendela kusema they always look for the right person not the best one...ipo tfauti kubwa ya mafanikio ya darasani na kazi hii...sisemi elimu haifai lakini hapana lakini kuna vitu vingine vinaangaliwa kwenye mambo haya:..
kuna siku kuna kijana mmoja darasani alikuwa ana akil sana ya darasani..makaratasi yake ya mitihani yalionyesha ufaulu wa hali ya juu sana...basi mda mwafaka ukafika na nikaanza kumuliza tofauti ya shuguli na kazi, jibu na jawabu...nikamuuliza tena ili eneo flani liitwe kijiji linapaswa kuwa na sifa gani?.....majawabu yake yalishindwa kukidhi haja yangu ..kwa kifupi he was the best not the right one!!!

nimeona humu michango ya watu na kila mtu amechangia kwa namna anavyojua..nadhani huko nyuma kwenye thread hii nimeeleza watu wa kazi hiyo wanapaswa kuwa wa aina ipi...lakini nisema hivi kila eneo la kazi hii huwa linahitaji watu wa aina flani...wasomi na maprof wapo wana eneo lao..walevi,malaya, waongo, nk.....
hii kazi ni kazi yenye risk kubwa na faida pia ipo kubwa tu ya kuwa huko kikubwa ni kwamba unaishi kwenye kivuli mpaka mwisho, kila kinachopit mbele unajiuliza ni nini hiki na kwa nini kiwe hapa nilipo, humuamini mtu labda maiti tu, utulivu wa akili unatakiwa, uweo wa kutunza siri nk...
wapo watu hawana elimu kubwa lakini mambo yao wanayofanya ni makubwa balaa huko idarani...kuna mtoto wangu tangu akiwa mdogo nimemfundisha namna ya kuwasiliana na mimi..nimemfundisha karibu njia tano za namnaya kuongea na mimi..nimemfundisha pia namna ya kutambua nini kinaongelewa na watu wawili walio umbali flani nini wanaongea kwa kuwaangalia lips za midomo yao na ishara za mikono....hata kama hasikii sauti zao na mikono wakiweka mfukoni still anatambua nini kinaongelewa...
shida kubwa ni watu wengi kujaza uchafu mwingi kwenye vichwa vyao..kukosa utulivu wa nafsi, kutokuwa wadadisi, shidakuwa sehemu ya maisha yao, kufikiri jambo moja kila siku... kwa siku katika kichwa cha average person huwa kuna idadi ya mawazo 60,000 yanayokuwa processed...lakini 95% ya mawazo hayo ni yale yale aliyofikiri jana...mtu wa aina hii hawezi kuendelea katika jambo lolote
sasa kazi kama hizi zinahitaji watu makini wenye utulivu mkubwa wa akili, wanaojielewa nini wanakifanya....wengi wanazaliwa wakiwa watu wazuri tu wenye hizo mnazoita IQ kubwa lakini kadri wanavyokua na kujaza ucha mwingi kichwani ndivyo wanavyokosa sifa

jambo la mwisho aliloniambia baba ni alisema hivi '' your IQ is nothing to us, what matters to us is your i can''
 
mkuu, wewe huwa unapotea lakini ukirudi unakuja na nondo za ajabu sana aisee
 
Ebana ukubari au ukatae wewe ni abnormal chanya.Hebu anzisha thread ya hizo njia za kumtambua/kuwatambua wanao ongea kwa kutazama lips,.
 
hyo njia ilikua inasumbua kutofautisha "P" na "B" maadui wengi walikua wanafanikiwa njama zao sabab spy weng walishndwa kuelewa mfana walipokua wanataka kushoot mtu alie nyuma ya mtu au kitu flan "back" na "pack" ilitesa saana maspy ila kwa ss haisumbui
 
humu jf huwa kunakuwaga na mambo ya ajabu sana aisee. mimi siwawezi
 
Back
Top Bottom