Are spies made or born?

Kuna thread itafute humu jf yaericko aliisnzisha na kueleza mambo kadha wa kadha juu ya jasusi alivyo kiuwezo, kimbinu na majukumu yake asilia na changamoto zinazomkumba katka kuushikilia msimamo wake ktk utendaji
 
kaka upo sahihi kabisa ndugu yangu, lakini licha ya ukweli kwamba mapinduzi makubwa sana ya sayansi na teknolojia yameleta mabadiliko makubwa sana katika tasnia hii ya ujasusi, human gathered intelligence remains the most accurate, indispensable and reliable means of fighting one's rivals.

With reference to the assassination of the top Hamas commander Mahmoud Al-Mabhouh in Dubai, how were the alleged killers capable of knowing in advance where their prey would be planning to go, without maintaining a human contact within the Hamas top cycle?????!!!!!!!!
 


jaribio la kuumua mahmoud lilifanyika mara mbili...jaribio la kwanza halikufanikiwa na la pili lilifanikiwa..mara ya kwanza alipewa sumu lakini aliweza kupona...na huyu bwana ilichukua miaka 20 mpaka anauwawa...mwaka 1989 nafikiri huyu mahmoud akiw ana mwenzake wakiwa wamejifanya kuwa ni viongozi wa dini waliwaua askari wawili wa kiisrael. walivalia mavazi ya kitumishi kama watumishi wa mungu na kuwabeba askari wale wawili na walipofika umbali wa km 3 toka walipowachukua mahmoud alitoa ishara kwa mwenzake na hivyo kufyatua risas zilizowaua....wakawazika vichakani..maisti ya askari mmoja ilionekana baadaya siku 3 na ya mwingine ilionekana baada ya miaka 7...
Mahmoud alikuwa top official katika kundi la hamas..huyu bwana alishughulika na uagizaji na ununua wa silaha toka mataifa ya nje...tukio la kuwaua wale askari wawili wa israel ndilo lilifanya uongozi wa israel ukamuweka kwenye list ya kuuwawa...
kumuua mtu hasa ambae nae anajua kuwa mda wote yuko kwenye hatari kuna taratibu zake...mkikurupuka hamuwezi kutekeleza jambo hilo...kitengo kilichohusika na mauaji hayo ni moja ya kitengo maalumu kilichoko ndani ya Mossad..na hawa jamaa wanajulikana kama ''ceaseria'' kama sijakosea hawachangamani na agent wengine wa kawaida...yaani kwa kifupi kama mossad ingekuwa ni dhehebu la dini basi kitengo cha hawa jamaa ungekiita ''patakatifu pa watakatifu''

Mahmoud aliftiliwa kwa mda mrefu..on the ground and online...na online walipachika trojan horse kwenye komputa yake na hivyo kujua nini kinaendelea juu ya akifanyacho...baada ya kujiridhisha kuwa nchi anazopenda kutembelea kuw ani pamoja syria, sudan na china..mossad walitafuta ni wapi wanaweza kumpata katika maeneo hayo..kwa kuwa walikuwa wakimfatilia hasa online na baada ya kujua kuwa ana safari ya china kwa kupitia dubai waliona dubai ni sehem mwafaya ya kutekeleza mauaji hayo ..
walikiwshapanga namna gani watamuua na kwa njia zipi bila kuacha alama....kabla ya kutekeleza mauaji hayo..mossad walikuwa wakumfatilia jamaa hasa alipokuwa akizuru dubai..walitaka kjua ni hotel gani huwa anafikia ..jamaa alikuwa hafikii hotel moja siku zote..alikuwa akihama hama...so jambo la walilofanya ilikuwa ni kujifunza aina zote za tech zilizokuwa installed kwenye milango katika hotel zote mashuhuri... walilifanya hili vyema sana ...

siku ya siku ilipofika...jumla wa watu 27 wote wakiwa ni kitengo cha mossad walitangulia kufika dubai na wakagawanyika kwenye mahotel tofauti tofauti maana wlaikuwa hawajui ni hotel gani atafikia...waligawana majukumu ipasavyo.na walifika dubai wakitokea nchi tofauti tofaut(rome, german,austria nk) kila mmoja wao alikuwa na jukumu lake.. mahmound alipofika airport jamaa walikuwa wameacha mtu wao pale ...akamfatili mpaka kwenye hotel aliyofikia..mossad wote wlaikuwa wakitumia mawasiliano amabyo ni encripted...so haikuwa rahisi kufahamika...

Mahmoud alifika chumba namba 230 katika hotel hiyo baada a mda akatoka kwenda kwenye mall japo riport haionyeshi alikwenda kufanya nini wala kukutana na nani maana alikaa huko kwa masaa 4 na usiku akarudi hotelini bila kujua hili wala lile...Mossad walishajipanga siku nyingi...wengine kati ya hao 27 walikuwa wameshamaliza majukumu yao na kuondoka nchini huku wakiwaacha wezao wapatao 6...4 walikuw ndani ya chumba cha mahmound na wengine wawili wlaikuwa chumba namba 237..hawa wawili walikuwa wakifanya doria eneo hilo....
kwa utaalamu mkubwa mossad waliprogram upya mlango wa chumba namba 230 in such a way that hata mahmoud aliporudi na weka funguo wake mlango ulikubali kufunguka na akaingia ndani .......ndani ya dakika 20 mossad kumaliza kazi ya miaka 20...Mahmoud akalala milele....
baada ya hapo jamaa wakatokomea kwa kupanda ndege usiku ule ule..na kesho yake mchana majira ya saa 7:30 mhudumu alifika katika chuma kwa ajili ya usafi lakini cha kushangaza alikuta mlango umejifunga kwa ndani na alipota taarifa kwa wahusikana na mlango kufunguliwa walikuta mtu amelala kitandani na pembeni yake kuna kichupa kidogo...
mahmoud alikuwa akitumia passport bandia ya kusafiria...asubuhi ilipofika wakuu wake kule hamasi wlaipatwa mashaka kwa ukimya maana waltegemea atoe taarifa lakini kimya...taarifa zilikuwa zimeanza kuzagaa kuwa kuna mtu amekutwa amekfa ndan ya hotel..hamas wakatuma mtu mwingine kwenda dubai kuhakiki na alipfka alikta kweli ule mwili ni wa mahamoud..na hapo ndipo hamass wakasema mwenzao ameuwawa na mossad....jambo lilimfanya mkuu wa upepelezi wa dubai kuanya uchunguzi wa kina na kutoa repot yake na cctv footeg zilizoonyesha namna gani timu ile ya watu 27 ilivyojipanga kwa ustad mkubwa kutekeleza jambo hilo ....
 
Mkuu mchango wako ni muhimu sana .tafadhali ukipata muda naomba uendelee kusan uya technic mbali mbali za spies na historia zao.
 
yaani kwa kifupi kama mossad ingekuwa ni dhehebu la dini basi kitengo cha hawa jamaa ungekiita ''patakatifu pa watakatifu''
hahahahaaaaaaaaaaa............hapa umenichekesha kidogo kaka mkubwa!!!!!!!!!!
 
aiseeeee, hawa jamaa wa mossad ni hatari sana kaka
 
Mkuu mchango wako ni muhimu sana .tafadhali ukipata muda naomba uendelee kusan uya technic mbali mbali za spies na historia zao.
kama akifanya hivyo itakuwa ni kitu moja amazing sana
 
asante kwa ufafanuzi matata sana
 
sasa kwanini unafikiri jeshi la police halifanyi vetting/usahili wa kina sana kama idara za ujasusi ilhali na wao police pia wanahitaji askari wenye ubora wa hali ya juu sana kama vile integrity, confidentiality (usiri), umakini katika kazi badala yake wao police wanaajiri ajiri tu zigizaga zigizaga?
 
kimyaaaaaaaaaaa........................
 
Kuna series inaitwa The American..ukifuatilia hii series inaonyesha spies are born and made...first their IQ are high also they want to save the world wakiwa wadogo kabisa ..so wakikuona hivyo wanakuchukua na kukuendeleza...km unataka kujua hayo mambo watch that series.
 
..polisi wana utaratibu wao wa ajira..na wso wanapaswa kutafuta watu makini...shida moja kubwa ni rushwa..kuna mbinu chafu wanazitumia katika kuwapata watu sahihi...hili kiko maeneo mengi ya nchi na katik sekta nyingi...polisi wengi hawana weledi wa kazi...kuna mapendekezo yametolewa kama yakifanyiwa kazi tegemea mabadiliko makibwa katik jeshi la polisi...
Kumpata mtu sahihi kwa kazi flani kuna garama zake sasa wahusika wanatanguliza mbele maslaho yao binafsi na hivyo kupata watu wasiofaa kwa kiasi kikubwa...
Jeshi la polis ni sekta inayojihusisha na rushwa kuliko sekta yoyote tanzania...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…